Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
wakuu Tafadhali mwenye uelewa wa hii kadhia ambayo inamtesa mama yangu ambaye ni mzee kijijini, ametokwa na nyama kwenye ulimi na haitaki kukatika, kila akiigusa anatokwa damu nyingi sana hivyo...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Wakuu habari za saa hizi, Nina Mtoto Mwenye umri wa miaka 4 ghafla tu amepoteza uwezo wa kutembea alianza kuugua homa then nikampeleka katika kitua cha afya akapewa dawa na kupona lakini baada ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ugonjwa huu ni uvimbe unaotokea shingoni na hufahamika kwa kitalaamu kama cervical/neck lympadenopathy . Uvimbe huu unapozidi sentimita moja, tezi hizi hugawanywa katika makundi matatu; tezi moja...
1 Reactions
1 Replies
16K Views
  • Poll Poll
Pakua handbook bure chini katika .pdf format... Very resourceful. Wanajamvi tuweke handbooks zote, video illustrations, and any other pertinet information to share with fellow citizens on how we...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu. Kama heading yangu inavyojieleza hapo juu nimekuwa na hayo maumivu sasa karibu mwezi. Nilishaenda hospital ya rufaa ya temeke kupima kwa kipimo cha ultra sound ila...
0 Reactions
39 Replies
73K Views
Habari zenu wakuu polen na hii pandemic ya covid -19 hope mambo yanaenda poa. Leo nimekuja na ushuhuda wangu bwana ikiwa nina miaka 3 na miezi kadhaa bila ya kuugua au kuumwa.. Ugonjwa wowote...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari wana kukaa, Naomba msaada nna ujauzito wa mwezi na siku kadhaa. Naomba kujua kama ina madhara nikimaliza chanjo ya homa ya ini imebaki moja natakiwa niichome mwezi may. Je inaruhusiwa au...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
[emoji433] Zipo dawa nyingi sana zinazotangazwa hapa na pale kwamba zinasaidia kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume . Yapo madawa ya hospitali pia lakini ukweli ni kwamba madawa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wataalam naomba mnisaidie. Kuna ndugu yangu amegundulika na tatizo la Amoebiasis akaandikiwa Flagyl akaanza kutumia. Siku ya pili akaanza kusikia tumbo linavuruga huku anajisaidia choo chenye...
0 Reactions
17 Replies
50K Views
Rejea Kichwa cha Habari hapo juu na tafadhali anza zako tu Kutiriika na Kuserereka kwa Kutupa (Kutoa) Elimu yako na ikiwezekana na Uzoefu (Ubobezi) wako wa Kiuweledi hasa wa Kibaiolojia na Sayansi...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba jamani kazi ya hizi dawa Piroxicam na Tinidazole + Norfloxacin (Nort -T). Je anaweza kunywa na Diclofenac na Ciproflax ya Typhoid. Maana mke wangu alipimwa akakutwa na Typhoid lakini...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Naomba kusaidiwa, ni dawa gani zinaweza saidia kurudisha mzunguko wa hedhi katika hali yake ya kawaida. Mzunguko umevurugika, Pia dawa zinazoweza saidia kupangilia siku vizuri. Asanteni
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau nina mdogo wangu amekuwa na tatizo la kupungukiwa damu, licha ya kutumia dawa na kuzingatia kwa ufasaha vyakula vya kuongeza damu, lakini damu huwa inapungua ghafla na kupelekea kupoteza...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Hii hali bado inaendelea kunisumbua kuanzia shingoni hadi kifuani panauma shingoni panakuwa kama pamejibana au kama mtu ameniviriga kamba kifua kuwaka moto na mgongo kuwaka moto pia na hii yote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki cha hofu kuu ya virusi vya CORONA Wizara inachukua hatua mbalimbali ikiwemo kuwatenga wale waliohisiwa na kukutwa na maambukizi ikiwa ni pamoja na kuendelea kutoa elimu kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu wanajukwaaa. Tatizo la harufu mbaya mtu akipiga Chafya huwa linatokana na nini? Mtu anaumwa mafua Mara kwa mara.Yanapona lakini baada ya muda yanajirudia Tena.Akipiga Chafya inatoka...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Too Much TV Linked To Early Death Watching two to three hours of television a day increases the risk of an early death, type 2 diabetes and heart disease, according to a new study...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
JE, TATIZO LA KUTOKUPATA WATOTO NI TATIZO LA MWANAMKE TU? Na Kilawa the Iron Tatizo la kutokupata watoto limeonekana kuwa ni kitendawili katika ndoa nyingi licha ya wapendano hawa kukutana...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
  • Closed
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani kimeeleza kuwa #CoronaVirus ni ugonjwa mpya na bado Waatalamu wanajifunza namna unavyoenea, unaweza kuenea kwa kiwango gani na makali yake kwa...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Naamini mmesherehekea salama pumziko la pasaka na poleni kwa ambao haikuwa amani kwa namna moja au nyingine. Aidha poleni kwa misukosuko na taaruki ya ugonjwa wa COVID -19 najua imeleta athari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom