Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Msaada na ushauri kwa maumivu ya kichwa, CT SCAN na MRI hainyaonyesha tatizo ila maumivu ni makali mapaka mtu anapoteza fahamu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu naomba kwa anayejua huu ugonjwa unasababishwa na nini na zipi Ni dalili zake anisaidie. Msaada please. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
6K Views
kama heading inavosema, sisi kwetu mgonjwa wa mafua sugu tokea zamani anaweza akatumia tangawizi, maji ya moto, ndimu , na majani ya mti mmoja hivi jina nimelisahau, ila harufu yake ni kama dawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This Thread was deleted and reported to Administrator, somebody use my ID illegally.It is against the privacy policy. I'm a verified User, ikitokea mtu anacheza na ID za watu dawa yake ni...
2 Reactions
186 Replies
64K Views
WAKUU. dawa gani inaondoa uvimbe kwa haraka? Jana niliianza pasaka kwa mkosi, nililizua club nikiwa maji, nimeamka asubuhi nimevimba mdomo wa juu, sasa nataka nipate dawa ya kusawazisha huu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wazee huwa na kinga ndogo kupambana na maradhi kwakua kila kiungo kinaanza kufanya kazi kwa kiwango cha umri. Ukiwasisitiza wasitoke nje bila sababu maalum na kukiwa na sababu maalum wavae...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu poleni na majukumu. Nina tatizo kidogo nahitaji msaada wenu, mimi nina tatizo la mafua la mara kwa mara lakini hii ya kipindi hii imenishika kweli na kama siku ya tatu hivi...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nimejaa na wasiwasi wakuu, Jana jioni nilianza kama dalili za mafua leo asubuhi nimeamka na homa kabisa, ila mafua yapo kwa mbaali. moyo umetanda hofu kwa kweli
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu nataka kujua ni hospitali gani na daktari gani hapa Tanzania ni bingwa kwa upasuaji wa kukuza uume? Naomba msaada tafadhali. Nimekunywa vidonge na nimetumia dawa za kupaka lakini uume bado...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Habarini wakuu na poleni na shughuli za kila siku za kupambana na maisha na hasa katika hili la Covid19, kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu nina mdogo wangu mwenye umri wa miaka 24...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari, Mnamo mwaka 2016 April, nilianza kusumbuliwa na tatizo la muwasho katika korodani zangu. Niliona ni jambo la kawaida but nikaona linadumu mwezi mzima, ikanibidi niende Hospital...
19 Reactions
41 Replies
57K Views
Yajuwe maradhi ya ini na dalili zake JE! UNAJUWA KUWA:- Ini ni katika viungo muhimu sana katika mmeng'enyo wa chakula mwilini. Ini husaidia kuondosha sumu za vyakula na katika utunzaji wa...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
kuna uhusiano gani kati ya kutema mate sehemu chafu kama chooni na kuvimba tezi wanaita tonslets sina uhakika na spelling za hilo jina
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu mwanangu alipata ajali ya kuungua moto Kwa asilimia 75. Mungu mkubwa madakitari Wa hospitali ya jeshi Lugalopamoja na wale wa hospitali ya Taifa MUHIMBILI (heshema na shukrani zangu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa, ni hospitali gani nzuri ya kufanyia internship hapa nchini, hospital ambayo utakua exposed to various cases and practices. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Kama nilivooeleza ninaomba msaada wa haraka. Mawiki yaliyopita nililalamika hapa kuwa kiuno na mgongo vinauma na usaha mzito kwenye uume kwa miaka nane ila sikujua ni nini mie nilihisi nimerogwa...
3 Reactions
113 Replies
31K Views
Ikiwa leo ni Siku ya ufahamu kuhusu usonji duniani tutizame kwa uchache kuhusu suala hili Usonji au tawahudi kwa kiingereza autism ni tatizo la nafsi na hisia linalowatokea watu angali watoto...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaam, Wana JF. Nina kijana wangu tangu juzi analalamika, akienda msalani anapata choo kigumu na anakipata kwa maumivu makali sana, Nini hasa inaweza kuwa sababu? Na tiba yake ni ipi...
1 Reactions
13 Replies
13K Views
  • Closed
1. Ni kawaida kuhisi huzuni, kupata mawazo, kuchanganyikiwa, kuogopa au kuwa na hasira wakati wa matatizo. Ongea na watu unaoamini watakusaidia. Wasiliana na familia yako au marafiki 2. Kama ni...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Inaweza ikatokea mahali popote iwe njiani au nyumbani iwe mchana au hata usiku. Huduma ya kwanza hasa ya kujihudumia mwenyewe ni nini hasa unapokuwa huna nyenzo za kitabibu? Sent using Jamii...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom