Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Tukio lililotokea hivi karibuni la serikali kufungia kituo cha tiba za asili cha Dr Mwaka na wengine wachache ni mwendelezo wa vita ya kimaslahi kati ya tiba asilia na tiba za kimagharibi kwa...
18 Reactions
48 Replies
11K Views
SHIGELA (SHIGELOSIS) Huu ni ugonjwa hatari wa kuharisha ambao husababishwa na kimelea aitwae Shigella dysenteriae ..kimelea huyu aligundulika kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1897 huko Japan,na...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wote, Naomba kujua duka ninaloweza kupata Sulfuric acid plaster 40% na inauzeaje? Mm nipo Arusha lakini hata kwa Dar es salaam na mkoa wowote naweza tuma mtu akaninunulia. Asanteni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za majukumu Wakuu? Napenda kuchukukua fursa hii kuuliza kama kuna kituo cha afya hapa Dar ambacho wanatoa miwani kwa kutumia bima baada ya kuwa umepimwa.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Yafuatayo ni madhara kiafya ya matumizi ya kupitiliza ya hand sanitizer. Ikiwa ni pamoja na kuharibu mfumo wa kinga wa mwili pamoja na homoni. Are we safe?? 5 Hidden Dangers of Hand Sanitizers
0 Reactions
5 Replies
3K Views
UFAHAMU UGONJWA WA HOMA YA LASSA Katika siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu sasa kumekua taarifa sana zilizosambaa juu ya ugonjwa wa homa ya corona, mlipuko ambao ulitokea katika jiji la...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Najiuliza UTI nimepataje, mpenzi wangu hana, mimi sijawai umwa huu ugonjwa toka 2004, Michepuko sidhani. Dokta namweleza hanielewi. Kwa usaf nilionao siwezi pata huu ugonjwa nabishana na Dokta...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji dawa ya mtoto kutoka mfereji kichwani (nzasa).
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali... Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi, wadau Kuna bibi yangu anasema akimeza chakula kuna kitu kama kinamkwama kooni hiv, je ni tatzo gani hili au ni vidonda kooni? Tafadhali naomba msaada Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi umu ndani nilikuwa naomba ushauri dawa ya kuongeza maumbile ya kiume aina matatizo labda kupunguza uwezo wa sex kitandani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Closed
Taarifa za uzushi zinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa maambukizi kwasababu jamii inaweza kuwa imepotoshwa kuhusu njia za kujikinga Kuongeza taharuki na sintofahamu katika jamii. Hofu...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Neno ''depression'' limetafsiriwa katika maana nyingi katika lugha ya kiswahili, wakati mwingine hutafsiriwa kama msongo wa mawazo, huzuni au shinikizo la damu. Lakini maana halisi ya depression...
28 Reactions
93 Replies
19K Views
Wakuu habari za asubuhi, Acha niende direct kwa mada. Binafsi masuala ya Biology yalipita pembeni hivyo naomba kujua hili jambo. Wanaume wanaotoa sperm au shahawa nyepesi ni wana matatizo ya...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa hapa Tanzania bado tunapima JOTO Kutokea Januari 1 mpaka sasa zaidi ya wasafiri milioni 1.8 wamefanyiwa ukaguzi kwa kupimwa joto la mwili katika vituo vya mipaka 27 ikiwemo viwanja vya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini, ndugu zangu. Mnamo mwaka 2014 nilifanyiwa opperation ya Appendix, kidonda kilipona haraka haraka pasipo kupata maumivu yoyote, Tokea mwaka huo 2014 hadi sasa ni miaka 3 sasa, Ila...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Should more of us wear face masks to help slow the spread of coronavirus? This question is to be assessed by a panel of advisers to the World Health Organization (WHO). The group will weigh up...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Naombeni tiba ya ugonjwa huu nateseka toka December mwaka jana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu waheshimiwa. Nauleta huu uzi kwa kujua na kuheshimu ukubwa wa jamii forums kuwa ina kila aina ya watu wenye vipaji, maarifa na karama na vipawa mbali mbali. Huu uzi Ni ombi kwenu...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
  • Closed
Shirika la Afya la Umoja(WHO), limetoa ufafanuzi wa swali hilo kwa kubainisha jinsi magonjwa hayo yanavyofanana na kutofautiana KUFANANA;👇🏿 1: Magonjwa haya yanafanana kwasababu yote huathiri...
2 Reactions
0 Replies
901 Views
Back
Top Bottom