ACHONDROPLASIA Ni tatizo la mfumo wa mifupa. Hii ni hali ambayo ipo sana kwa maana watoto wengi wanazaliwa nayo,hali hii husababishwa na hitilafu katika kinasaba maalumu kiitwacho FGFR3.
Watu...
Wakuu habari za majukumu,
Nimekuwa nasumbuliwa kwa muda marefu na maumivu ya shingo upande wa kushoto na kichwa kwa muda mrefu. Desemba 2019 nikaumwa sana sikio la kushoto pamoja na Koo. Nikahisi...
24/03/2020
by Rosalie Hayes,
In response to queries from individuals living with HIV and our colleagues in the sector, we have sought legal advice from Leigh Day on the employment rights of...
Dunia imekua kijiji kidogo kutokana na tekinolojia. Binadamu wanapenda ku socialise. Ni rahisi kusafiri kwenda sehemu nyingi duniani.
Miaka ya 80-90 Uganda walipata dhoruba kubwa ya UKIMWI...
FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KUNYWA LIMAU KIAFYA
Faida za limau au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa...
Kwa wale wataalamu wa Afya haya maneno Mawili yani Ectopia na Cordis sio mageni kwao.
Ectopia-likimaanisha Kuwa Mahali Pasipotakiwa/Abnormal Position na Cordis Likimaanisha Moyo.
Basi ECTOPIA...
It feels like an eternity ago, but the world only became aware of the coronavirus in December.
Despite incredible efforts by scientists around the world, there is still much we do not understand...
habari ndugu zangu mimi ni kijana wenu humu naomba kusaidiwa mawazo uume wangu ni mkubwa mno kiasi kwamba nimejikuta sidumu kwenye mahusiano na sababu wanasema wanshindwa kumudu nini naweza fanya...
Sustainable and healthy Human life is the output of wellbeing of various sectors integrated to work as one system.
There is a greater degree of interdependency between one thing happening in one...
Kwa watu wengi kufanya kazi wakiwa nyumbani ni uzoefu mpya na wasichojua ni kuwa inahitaji nidhamu ya juu kumaliza kazi na kupata matokeo chanya. Fanya haya ili uweze kupata matokeo chanya.
1...
Wakuu habari,
Mimi ni mgeni hapa JF. Ni mgeni maana nimefungua account leo. Ila nimekua nikisoma na kufuatilia mjadala mbali mbali ya afya humu ndani kwa miaka mitatu ila sikua nachangia.
Nina...
Wanajamii nimeona mara kwa mara habari ya kupunguza kitambi na rehemu mwilini watu wakisema ni kunywa maji ya limao, tangawizi na asali naomba kujua ni kwa kiasi gani na kwa muda gani wa kutumia...
Habari, wakubwa heshima yenu.
Mimi ni kijana umri ni 25 Me, kwanza nianze kwa msemo wa kiswahili usemao "mficha maradhi kifo humuumbua" nimeona leo nifunguke apa ili nipate ushauri kabla ya...
Hivi naweza kuviita vijidudu viwili vimekua vikileta shida na matatizo sana katika mwili wa binadamu toka enzi na enzi.
Virus (Kirusi) ni mdudu ambae hawezi kuzaa ama kua na athari bila ya kuwapo...
wakuu nimekuwa nasikia sana kuhusu kuwepo kwa dawa ya kuongeza nguvu za kiume iitwayo vumbi la Congo. Wanadai ni dawa ya asili kutoka Congo.
Kwa uelewa wangu wengi hawa wanaodai dawa ni asili huwa...
Habari za Usiku huu ndg zangu,
Leo hali yangu siyo nzuri sana kwani naumwa mafua makali yaliyo ambatana na kipanda uso, paji lote la mbele ya Uso linauma sana, nimeshindwa kulala kabisa.
Toka...
Habarini JF Doctors!
Nimekuwa natokwa na ute ute angavu (kama maji maji) unaovutika pale ninapoenda haja ndogo. Yapo kama ule ute unaotoka pale mwili unaposisimka sana kihisia mnapokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.