Wapendwa tushirikishane hili kama kuna mmoja wetu alishawahi kukutana nalo.
Nilienda hospitali ya serikali kwa ajili ya matibabu, baada ya kuingia kwa Daktari cha kushangaza nilikuta Daktari...
Virusi vya corona vinaweza kumuathiri yeyote, lakini watu wenye matatizo ya kiafya na wazee wanadhaniwa kuwa katika hatari ya kuathirika zaidi na dalili zake.
Ikiwa una ugonjwa wa muda mrefu...
Baada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye...
Mvulana huyo alipimwa na kuthibitika kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus na familia yake ikieleza kuwa Mtoto wao hakuwa akisumbuliwa na magonjwa mengine
Kijana huyo anakuwa Muingereza wa kwanza...
Mwanangu mwenye umri wa miezi 9 anakojoa mkojo wa njano kiasi kwamba anaweka rangi ya njano iliyofifia kwenye bukta nyeupe anayovaa...
Na mkojo wenyewe watoa harufu kali sana ya mkojo...!
Je...
For about 100 years, the scientifi c community has repeatedly changed its collective mind over what viruses are. First seen as poisons, then as life-forms, then biological chemicals, viruses today...
DALILI ZA UGONJWA HUU
Kama nilivokwisha kusema hapo juu ugonjwa huu kwa asilimia kubwa humfanya mtu awe na ngozi kavu maeneo ya mgongoni na mikononi na ambayo anakua na mabaka mabaka meusi na...
Swali:
Please advise me on this issue, be it medically or ethically. I am not engaged in the act but I just wanna equip myself with the knowledge or wisdom per se.
Akhsanteni.
Baadhi ya...
Nimepima testosterone zangu ziko 0.11ng/ml na kawaida inatakiwa ziwe kwa men 3.00-10.00 na women ni 0.1-0.9
Mimi ni male, ni DAWA gani nitumie niweze kuzipandisha please msaada msaada msaada jamani:)
Kiukweli mimi nina tatizo moja, nikiona mwanamke mweusi yaani hanivutii kabisa sijui namuonaje.
Lakini sasa natokea kuwapenda sana mabinti weupe kiukweli vyeupe vimenifilisi sana, je nitakua na...
Ndugu,
Nawasalimu nyote. Wiki iliyopita nilisafiri kwenda Dar. Na kwa kuwa idadi ya wagonjwa wa Corona ni kubwa kwa Dar, ilinilazimu muda mwingi kukaa ndani na kukwepa maeneo yote yenye...
Habari za saa hizi wakuu?
Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe...
CORONA NI NANI?
___________________
Corona wewe ni nani?
Corona umetoka wapi?
Una sura gani?
Mlimwengu mimi siwezi kukaa kimya juu yako. Mara ya kwanza tuliposikia jina lako kila mtu alitamani...
UGONJWA WA TINEA VESICOLOR (PITYRIASIS VERSICOLOR
Imeandaliwa na @doktamathew
Huu ni ugonjwa wa fangasi ya ngozi ambao hupelekea mgonjwa kuwa na mabaka mabaka meupe, meusi na maeneo mekundu...
Wakuu habari.
Nitaandika kwa kifupi sana.
Ninawashwa pumbu tangu 2016.
Awali nilitumia dawa nyingi mno lakini wapi.
Nilipandishaga uzi hapa nikashauriwa nitumie cream ya skerdem. Kweli...
Nina mtoto wangu ametoka vitu kama utangoutango ila ni vyeusi kila dawa nimetumia ila naona hakuna matokeo mazuri. Je, ni ugonjwa gani na je nitumie dawa gani apone, ana miaka 10 ni wa kiume na...
Wakuu naombeni msaada wa Gynecologist mzuri Dar hasa aliyepo hospitali ya taifa Muhimbili au TMJ Hospital nina kijana wangu wa kike ana shida au unaweza kunipa contact za daktari mzuri unayemjua...
Why Japan is normal when the entire world is shutdown?
This is an experience written by an Indian student in Japan
I am continuously thinking when Japan was the first country to be impacted by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.