Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA VIJIWE KATIKA FIGO Figo ni kiungo muhimu katika uchujaji wa Damu na kuondoa sumu na uchafu mwingine na kuutoa nje kupitia mkojo. Kiungo hiki kinakabiliwa na hatari...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana habarini za mihangaiko ya maisha! Tumshukuru Mungu kwa pamoja kutukirimia afya na uzima. Niende kwenye mada moja kwa moja. Ktk michezo michafu yenye kuleta dharau na yenye machukizo mbele...
17 Reactions
156 Replies
45K Views
Naomba mnisaidie kujua aina tofauti tofauti za mazoezi yatakayoniwezesha kuwa na pumzi kwa maana nikifanya zoezi dogo tu naishiwa pumzi. Ndugu wanajamii naomba msaada wenu tafadhali.
1 Reactions
32 Replies
40K Views
Nchi zilizoendelea zinafunga mipaka yake eg USA ili kupunguza ama kuzuia maambukizi ya virusi vya korona but Nchi za Kiafrika ambazo ni masikini zinasema zime jipanga kupambana na Corona...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam Doctors, na wana JF. Niende kwenye tatizo. Mnamo tarehe 31/12/2019 nikiwa kwenye kikao cha management chenye idadi ya watu sita pamoja na Mimi, kikao ambacho huwa kinakuwepo kila siku...
10 Reactions
57 Replies
8K Views
Nina mdogo wangu umri 17 mdomo wake uliaza kukauka na kuuma nyakati za asubuhi sasa kadri Siku zinasongea hali inazidi kuwa mbaya mdomo una kauka sana hadi kuna dalili ya vidonda sasa naombeni...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu ashawahi kumwagikiwa na maji ya moto kichwani yaliyo chemka na kutokota, kwa sasa ana hali Kama ya kusahau vitu, nilitaka kujua madhara ya ndani ya uongo kutokana na kumwagikiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaamu wakuu! Ikiwa mapambano dhidi ya Covid-19 yakiendelea, naomba msaada wenu. Nina mpenzi wangu, katika harakati za kuzuia kupata mimba tukiwa shule, alikua akitumia P2. Kuna wakati...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Ndugu Mungu ni mtaalamu sana katika umbaji wake alitumia sayansi ya hali ya juu mno sasaa, naombeni kwa yeyote anayefahamu namna hiki kiungo kilivyosetiwa mwilini na kunavyomsaidia mtu kucheka...
6 Reactions
40 Replies
34K Views
Habari, Nipo Geita kumekuwa na hali ambayo inatia shaka kidogo. Kumekuwa na ka mlipuko ka ugonjwa ambao unatembelea kila familia na kila mtu. Dalili kubwa ni homa...mafua na kikohozi. Ukienda...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Wiki 2 zilizopita yalinikuta hayo, nilipata homa kali sana iliambatana na kikohozi na koo kuuma. Pia kushindwa kupumua vizuri ikiambatana na kuchoka! Kwa mara ya kwanza katika miaka zaidi ya 15...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari doctors, Nimekuwa muhanga wakung'oa meno mara kwa mara (magego) nahofia kuyamaliza yote ni umri bado ni kijana kwenye swala la usafi wa kinywa najitahidi kadri ya uwezo wangu swali langu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu....Salam Kwanza Naombeni ufafanuzi juu ya faida na madhara ya kunywa maji yaliyochanganywa na maji ya aloevera 🙏🙏🙏🙏
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habarini wakuu, Nina swali dogo ila kubwa sana kwa upande wangu swali lenywe ni hili: Ni umri gani unaweza jua mtoto ni bubu au anakigugumizi? Na je kila Bubu ni kiziwi? au kila kiziwi ni Bubu...
1 Reactions
2 Replies
46K Views
Huyu binti ana 5 years tuu .je nini kifanyike? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
How To Make Face Mask From Tissue paper Face masks should be used if anyone is sick or having cough to prevent infection to others, but nowadays it’s very hard to find. Protect yourself against...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
ASALAAM ALAYKUM Waislam na Wasiokuwa Waislam Amani ya Mungu iwe nanyi. Maajabu kumi ya tango kiafya Ngozi yako inahitaji tango kutoa seli zilizokufa na makunyanzi. Weka au sugulia vipande vya...
2 Reactions
36 Replies
14K Views
Habar wandugu Napenda kuuliza Hivi group la damu la mtoto linatokana na baba na mama magroup Yao ya damu au? Kwa mfano kama baba na mama ni b positive mtoto group lake linakuwa ni lipi...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Salaam, Naombeni kwa anayefahamu dalili, matokeo au tabia za mwanamke anayejichua wakati wa tendo au nje ya hapo. Karibuni.
1 Reactions
39 Replies
15K Views
Habari za Muda wakuu, Kutokana na kuwa na changamoto za ubovu wa meno mpaka sasa nimetoboka jino japokuwa natumia Sensodyne lakini nimeona nikalizibe kabisa. Nataka nikazibe pango kwa dhahabu...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom