Habari wakuuu..
Leo napenda kusema tatizo ambalo nakumbana nalo kilasku usiku napouchapa usingz. OK iko hiv ..
Yapata miaka mitano sasa nmekuwa nikihangaika usiku hasa wakati wa kuuchapa...
Mimi ni kijana wa miaka 23 mimi huwa sili kabisa mayai na harufu yake nikiskia natapika.
Jana niljtoa damu Muhimbili kwa ajili ya ku save maisha ya rafiki yangu niliuliza kama na aleji nikajibu...
Wana JF,
Kama nilivyoandika katika "Heading", nina kama miezi mitano nimekuwa na shida ya kutoka jasho usiku nikiwa usingizini. Muda wote wa mchana na hadi pale ninapoenda kulala huwa sijisikii...
Nilifanya mapenzi na dada huyo siku ya Jumanne usiku. Nimeekaa Alhamisi nikaona kama nina nukta ya kovu kwenye uume na yule dada kufuatilia nikagundua ameathirika kweli.
Nikaenda kwa doctor...
Habari za asubuhi wandugu, bila kuchelewa naomba kuuliza kuwa:
1. Tendo la ndoa (sex) asili yake ni starehe au kuzaliana tu?
2. Je, sex ni lazima uende zaidi ya Mara moja ili uonekane rijali...
Habari zenu wakuu hivi kwa hapa Dar es salaam huduma ya vipimo vya vinasaba naweza kuipata vipi au kuna process gani za kufanya.
Maana ujinga wa kulea mtoto wa mtu hauingii akilini ndugu zetu...
Habari zenu wanabodi!
Mojakwamoja niende kwenye jambo langu linalonitatiza mpaka nikaona bora nililete kwenu kwa maana nina amini kwenye msemo unaosema "problem shared problem solved"!
Hivyo basi...
The Chinese doctors who arrived in Italy yesterday to collaborate with our specialized teams are spreading this message. Please read it carefully and run it with your contacts. Thank you...
Ugonjwa wa Surua (Measles): Chanzo, maambukizi, dalili, athari, matibabu na kinga
#1
Surua ni mojawapo ya magonjwa ya kuambukiza yanayotisha kwa binadamu. Huu ni ugonjwa ulio na kiwango cha juu...
Nguvu za kiume ni neno linalotumika kumaanisha uwezo wa mwanamme kufanya tendo la ndoa kikamilifu na kwa mafanikio, na inapokuwa tofauti na hivi inaitwa upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa ya mvinye...
Disclaimer: Kutokana na katazo lililo tolewa na wizara ya Afya juu ya utolewaji wa Elimu kuhusu Virus vya Corona ( Covid-19) napenda kuchukua muda huu kukanusha kua huu uzi hauna lengo la kukiuka...
Habar za usiku jf doctor
Naomba mnisaidie
Mdogo wangu anatatzo la kutokwa na uvimbe mdogo mdogo kwenye ngozi ambapo siye kwa kiswahili cha buguruni tunaita kututumka au kuumuka kwa ngozi ambako...
Habari,
Kuna swala huwa silielewi kwenye macho yangu,
Macho yangu huwa yana change color, yanakuwa red hasa kipindi nikiwa katika maandalizi ya kugegeda au katika tendi lenyewe.. ila baada ya...
Habari za usiku wana JF matumaini yangu muwazima wa afya kuhusu Corona tunaomba Mungu hatutetee.
Duniani kweli kuna mambo katika pitapita yangu nimekutana na picha ya mgongwa wa loa loa...
Habari wakuu!
Niingie moja kwa moja kwenye mada,
Mama yangu alikuwa na malaria alikunywa dawa mara baada ya kumaliza dose alipata tatizo la tumbo kujaa gesi na mwili kufa ganzi.
Pia...
Vipimo vya kinga ya mwili wako (immunity) kujua ni kiasi gani ulionayo
Naomba kujua hivyo vipimo vipo? Na kama vipo kwa Dar vinapatikana wapi? Je, pana njia yeyote mbadala ya kujua kinga yako kwa...
Salaam wadau habari za usiku huu,
Samahani Naomba wataalamu wa Afya wanijuze au Kunisaidia kiushauri kugundua tatizo nililokuwanalo
Toka jana nahema kwa taabu sana yaani natoa hewa na kuingiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.