Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Imeonesha kufanikiwa kupunguza athari ya Corona. ==== Chloroquine, an old malaria drug, may help treat novel coronavirus, doctors say Chloroquine, or hydroxychloroquine, has been used to treat...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtoto wangu ana miaka5 ana tatizo la kukohoa hasa usiku lakini cha ajabu mchana hakohoi.nimejaribu kumpa dawa kama mucolyne lakini imedunda nimejaribu kumpa zecuf nayo hazina msaada nikawaza labda...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mtoto wa jirani yangu anaugua ugonjwa akijisaidia utumbo unatoka nje. Ana miaka mitatu. Ila kikubwa jirani hana uwezo wa matibabu sababu hata kujua mtoto tatizo lake linahitaj upasuaji mimi ndo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilimpeleka Rabininsia Hospital mwanzo wakasema inaweza kuwa kwenye kutambaa tamba labda amelamba pachafu au kula so anaweza kuwa amepata bacteria nikapewa Antibiotic ndo inaisha leo lakini bado...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa hospitali au kituo Cha afya Cha PRIVATE ili nimuanzishe kliniki mama mtarajiwa wa mwanangu. Ana mimba ya wiki 17. Nahisi nimemchelewesha kuanza kliniki ndio maana sitaki kelele za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii inajumuisha wadudu,vumbi,taka nk,ikitokea wakaingia machoni,we tema mate chini kwa mtindo kama unatema mchanga ulio mdomoni hakika kibanzi kitatoka machoni usiniulize mechanism,ila jaribu...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Nilianza kupata maumivu ya kuwaka moto kwenye na baadae, mgongoni baada ya kupima nimeonekana nina vidonda vya tumbo lakini kuna hali naisikia ya kushtuka kama, kuna kelele kali au kitu chochote...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani wale wenye uzoefu mnielekeze nifanye ili mke wangu ajifungue salama pasipo kumpa maambukizo mtoto aliyeko tumboni wakati wa kujifungua? UPDATE Mrejesho mke wangu mwenye HIV + amejifungua...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Alcohol gel au sanitizer ni kimiminika chenye pombe chenye uwezo wa kuua bacteria na pathogens ambao wangeweza kuleta madhara mwilini. Ni rahisi kuibebea na unaweza kuitumia mahali popote...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mtu mwenye uhitaji wa figo. Anichek kupitia brcbrwn@yahoo.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini wana jamii forum, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika,I kiwa leo hii mtu ataulizwa ni ugonjwa gani unaoua waafrika wengi basi jibu la haraka haraka utaambiwa ni...
1 Reactions
37 Replies
18K Views
Siku hizi vijana wengi wana tatizo la mgongo kupinda kwajuu kidogo ya shingo (kibyongo) nini tatizo? na nini kifanyike ili kuondoa tatizo? Nina jamaa yangu mmoja mrefu yeye mgongo umepinda...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mwanangu anatokwa na vipele vidogo vidogo mwili mzima. Vinamuwasha sana. Nahisi kuna kitu anakula ambacho kinampa allergies. Msaada wa hospitali nimpeleke tukajue tatizo Sent using Jamii...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wandugu, Nina mtoto wa miaka minne juzi alipotoka shule alipata chakula cha mchana then akalala, alipoamka akawa analalamika kichwa na tumbo vinamuuma. Nilimpa Panadol then tukalala sasa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Maybe I need to reintroduce myself with this absolutely gorgeous photo of us! Majority of you have seen our two pretty girls and now son! So I will just introduce you to us and not the kids per...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiumwa na maradhi ya kichwa katikati ya utosi ni dalili inayo onyesha kuwa unahtaji unywe maji ya kutosha na chakula. Chenye afya. Ukiumwa na kichwa kwa mbele inaonyesha unahitaji upate usingizi...
4 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wataalam! Naomba kufahamu tatizo ambalo nimeliona kwa watoto wangu wakiwa wachanga. Mtoto huwa analia sana hasa usiku akionesha tumbo kufinyafinya. Sasa watu wanasema ni chango! Je...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kadri hatari ya Corona inavyozidi kuongezeka inatubidi kutafuta kila taarifa za kitaalamu kujua namna sahihi tunavyoweza kujikinga Binafsi kuanzia siku ya leo nimeshuhudia watu wameanza kutumia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar za jion wakuu nmekumbwa na tatzo LA kutoka vijipu kwenye makalio yangu hadi inafikia wakati nikiendesha baiskel au nikikaa kW muda mrefu napata maumivu nifanye nn?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale wasiyo jua hali zao za lishe, nimejitolea kukupa ufafanuzi wa hali yako ya lishe kwa kutumia Uzito na Urefu wako. Niambie Uzito wako (Kg) na Urefu wako kwenye (Metre); Ukifanya hivyo ni...
3 Reactions
248 Replies
39K Views
Back
Top Bottom