Habari za asubuhi,
Samahani naomba niulize kitu, Mimi na mke wangu tumeshindwa kupata mtoto mpaka sasa mke wangu anamzunguko wa siku 35, na pia kwenye huo mzunguko anapata kuona ute ule...
Samahani naomba mnisaidie ushauri kuhusu huyu mwanangu ana 2 years amepatwa na vipele usoni, shingoni masikioni nk. Vingine vikikauka vinatoka vipya tena vingine.
Nilimpeleka hospital huku...
Kama mada inavyosomeka hapo juu nimekuja kwenye jukwaa husika nikiamini humu Kuna Kuna Wajuzi na watalam wa science and technology
Kwa pamoja naweza sema tunauwezo wa kukaa na kujadili namna gani...
Habari Jf members,
Nasumbuliwa na meno yangu yote kufa ganzi kiasi kwamba mara nyingi taya zinachoka kutokana na kuzuia meno yasigusane.
Pia juzi niling'oa jino moja baada yukuonekana...
Jamani nimeambukizwa Gonnorehea nilivyoenda kikazi Singida na mwanaume Mmoja hivi amabaye tulikua nae huko kikazi.
Naomba Msaada kwa anaye fahamu dawa ambayo itaondoa kabisa huu ugonjwa jamani...
Habari wakuu,
Kwa miaka ya karibuni kumekuwa na mlipuko wa magonjwa mbalimbali ambayo katika jamii zetu hayakuzoeleka hivyo yanapotokea huleta shida tangu hatua za kugundua na matibabu yake na...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU:
Habari wana JF,
naomba kuelezwa ni tarehe zipi ndani ya mwezi naweza fanya mapenzi na mke wangu bila kutumia kinga na asipate ujauzito.
Natanguliza shukrani kwa...
Habari zenu waungwana, poleni na majukumu ya kila siku.
Tatizo langu mimi ni kua nikifanya mapenzi kawaida ua napiga mzigo alafu baada ya muda mzigo unapoteza hisia yani sijiskii kuendelea...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza jambo moja la muhimu sana kwangu. Mimi nina mke sasa wakati anajifungua aliongezewa njia mtoto akatoka salama baada ya mda akafariki, sasa saizi ana ujauzito mwingine...
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu.
huu ni ugonjwa gani umenipata, ilianza kama siku tatu zilizopita, naona mkono unaniwasha na jana na leo ghafla naona pamekuwa hivi na bado panawasha...
An insight to most common emotional problems in our societies
DEPRESSION
Mental health professionals consider depression serious enough to be treated when negative feelings don’t resolve...
Tafadhali tunaomba msaada wa haraka kutoka kwa wataalamu walio humu.. .
Mke wangu leo toka asubuhi ameamka na MAUMIVU ya TITI Lote hasa sehemu ya chini ya titi.. .
Hali iliyompelekea kupanda...
Habari wajuzi wa mambo ya tiba na ushauri, juu ya magonjwa.
Kiafya niko vizuri sana, kwa maana sina ninaposikia maumivu makali, isipokuwa nimepata hitilafu katika msuli wa mguu wa kulia nyuma ya...
Wakuu kwema nombeni msaada kwa anaejua tabia anazokuwa nazo mtoto alie zaliwa katanguliza miguu... Huwa wakikua wanakua na tabia gani kwenye jamii.....asanteni
am better here
Habar wanaaa wa jf
Tatizo lililopo ni wakati wa Kubarehe kunakuwa na mabadiliko mengi mojawapo kifua kutokwa na vinundu kwenye chuchu na hiloo lilinipata lakini mbaka sasa bado lipo nlikuwa...
Wadau nimepatwa na tatizo hata sijui nifanyaje nimepoteza hamu ya tendo la ndoa ghafla toka juzi.
Akili yangu haiko sawa sijui nini kimenipata asubuh mimi kwa kawaida wakati naamka uume unakuwa...
Natumaini wazima,
Hebu wagonjwa wetu ambao ndo sababu ya kuwepo kwetu, msingekuwepo nyinyi na sisi tusingekuwepo pia.
Leo niwakaribishe mje mseme kero ambazo mnakutana nazo mnapokuja kwenye...
Kikawaida baada ya kujifungua hutakiwi kuziona siku zako kwa muda wa meizi sita, hii hufahamika kitaalam kama (Lactational Amenorrhea Method) ni moja ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.