Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu natumaini wazima wa afya. Acha niende kwenye mada moja kwa moja Iko hivi ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya miguu (nitaweka na picha ya mfano ili muone sehemu inayo nisumbua hasa)...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu, To the topic Over the recent 3 / 4 years nimekua concerned sana na afya yangu (weight loss / lishe bora) kuepukana na maradhi ya kujitakia (lifestyle) kwani afya bora ndio kila...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Yapata mwaka mzima toka nipate ajali ya mguu iliyosabibishwa na gari .Naombeni ushauri nitumie dawa gani ili mguu wangu upone maana hadi saivi baso kidonda ni kibichi.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nilimlazimisha mzazi kwenda shuleni ada anatoa vizuri ila ya matumizi changamoto. Naweza nikala siku moja kwa siku siku utakuta sina mkaa napikia makaratasi mpaka chai ichemke ninywe au kuchana...
0 Reactions
4 Replies
854 Views
Habari waheshimiwa, nahitaji kujua utaratibu wa kuanza Kliniki kwa Hospitali ya Muhimbili hasa kwa upande wa gharama kama zipo ili niende nikiwa nimejiandaa. Natanguliza shukrani zangu. Sent...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wana jamvi naomba kusaidiwa namna nanivyoweza kufananisha tarehee yangu ya kuzaliwa na mtoto ninaetamani kumpta. Kama nimezaliwa tarehee 1-1- Basi na mwanagu azaliwe same na baba au Mama.. Asante...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Taarifa kwa wale wanaopenda kuzamia chini.(kunyonya u*e) Ni hatari kwa afya yako. ni table inayoonyesha bakteria (flora) waliopo kwenye uke na % zao.
2 Reactions
164 Replies
14K Views
Hamjambo mwa jf Mimi imeto kea kusumbuliea na kichwa mwezi was tatu sasa hasa has a sahemu ya utosini na moshipa ya damu huvimba na kuvita.hujisikia wakat mwenginr uchovu kizunguzungu na mafua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar zenu, km mada inavyosema mm mama k week 28, nimeenda kuchek ultrasound kwa ajl ya kujua mimba ina miez mingap exactly kwan nilikuwa nachanganya tarehe ya mwisho Wa mzunguko, cha ajab...
0 Reactions
6 Replies
54K Views
Baada ya kupima na kuonekana kuwa nina malaria Daktari aliniandikia dawa aina ya MSETO. Siku ya pili baada ya kuanza kutumia dawa hizi nimepatwa na hali ya kuharisha choo cheusi. Hii hali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau msaada tafadhali, nimepekua kwenye mkoba wa wife bila yeye kujua nimekutana na dawa inayoitwa Cefixime. Je hii inatibu ugonjwa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
28K Views
Habari za usiku huu wakubwa, Bila shaka humu tunao madaktari wetu wazuri tu. Sasa ni hivi, Nina tatizo la kupata maumivu upande wa kulia mwa tumbo chini ya kitovu. Au kwa maelezo mengine ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman msaada tafadhali nilitoka na mschana wa babashop Kesho yake nikahisi kama kunavitu mwilini baaada ya Siku tatu nikawa nasikia maumivu kama kunasindano mwilini, hali imeenda kuwa mbaya...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Trending news kwa sasa hivi Dunia nzima ni Corona yenye chimbuko lake huko China Jimboni Wuhan, tangu December mwaka jana. Tangu kipindi hiki Wachina wamekuwa wakitembelea maeneo mengi ya Afrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari mtaalamu, Mimi ninatatizo moja hivi yani nikipulizwa na upepo mkali kama feni au bodaboda au nikilala usiku baridi liwe Kali nakohoa sana ila nikizima feni au nikijifunika blanketi natulia...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Hello wanabodi! Nimeona nianzishe uzi wa kuhamasisha wanaJF kufika vituo vya afya kwa ajili ya kupata chanjo ya Homa ya Ini ambayo ni hatari kuliko hata baadhi ya maradhi. Ikumbukwe Homa ya Ini...
9 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu habari za pasaka,naomba msaada wa jinsi ya kufanya mazoezi ya (Kegel )kwa wanaume anayefahamu naomba kujifunza kwake naomba kuwasilisha Gnaiti asante.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wana jamii wenzangu, Naomba kujua juu ya tetesi hizi ninazozisikia sana mitaani kuwa wale ambao wanakuwa na Group O katika makundi ya damu huwa hawana risk ya kubwa ya kupata magonjwa hasa...
3 Reactions
126 Replies
44K Views
Habarini. Nimefanya utafiti wangu wa siri na nimegundua kuwa magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya kujamiiana al maarufu Sexual Transmitted Diseases (STD's) yameshika hatamu sana. Nazungumzia UTI...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
MADHARA YA ZINAA KISAYANSI. Wengi katika wanadamu wanajaribu kuhoji kwa nini Mwenyezi Mungu anakataza zinaa wakati kuingiliana baina ya mke na mume na kuingiliana baina ya hawara na hawara mambo...
6 Reactions
12 Replies
5K Views
Back
Top Bottom