Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu hii ni dawa gani na inatibu magojwa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wadau, Nauliza suluhisho la mtoto anaetokwa na vipele sehem za siri hasa wakat huu wa joto Je, ni joto Allergy au athari za wipes? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mojawapo ya dawa hizo ambayo tayari imejaribiwa katika binadamu ni dawa ya remdesivir - dawa ya virusi vya UKIMWI ambayo bado inafanyiwa utafiti ambayo imejaribiwa dhidi ya magonjwa kama vile...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikijiuliza Kama sisi 'watumiaji' wa ARV tunaweza kuathiriwa na maambukizi ya Corona Virus maana naona Kinga Yetu IPO juu Sana.. Nje ya Mada: Je 'tulionyanyapaliwa' hatutamani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenza wangu anasumbuliwa na tatizo sugu la homa za mara kwa mara, yaani hamalizi wiki mbili japo siku tatu imemlaza. katika mwezi ni mara 2 au 3. Hili tatizo limekuwa likinitia wasiwasi. Naomba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Kutokwa na vidonda mdomoni yaani kwenye lips kwa mwanamke hii ni dalili au ni ugonjwa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
heshima kwenu jaman. nili m PM mzizi mkavu kuhusu tatizo langu la masikio kuunguruma na akasema nmpe maelezo zaid bt sim yangu kila ni m PM inagoma naomba yeye au mtu yeyote...
2 Reactions
7 Replies
9K Views
Wakuu habari za uzima ,natumai hamjambo, mi mwenzenu si mzima wa afya sababu naumwa. Kama siku tano zimepita kabla ya hili kutokea, hizo siku tano nyuma nilifanya kazi ngumu ambayo ilipelekea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow wanabodi naomba kujuzwa madhara ya punyeto kwa mda mrefu zaidi ya miaka 8, Na nizipi njia za kusaidia kuacha hiyo tabia? Na vipi kuna naamna ya kurudisha nguvu za kiume znazopotea kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalam.. Huku mtaani nimeambiwa ili nipime Homa ya Ini lazima nipime kwanza UKIMWI. Je kuna ukweli gani katika hili?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Headache is a common pain. It can happen at any age and can often be the result of your lifestyle. As pain is your body's way of saying 'HELP', if you can find out the cause of your headaches and...
0 Reactions
137 Replies
39K Views
Naomba msaada wa ushauri wakuu Nina mwanangu wa kiume amemaliza drs la saba mwaka huu. Analalamika maumivu ya kichwa upande wa kulia hasa juu kidogo ya jicho lake, ameanza pre form one lakini...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau salaam kwenu, Naamini sote tunaliona hili la Corona Virus kusambaa nchi nyingi sasa na China wenzetu wanaendelea kuona vifo vikiongezeka, na tayari imetangazwa kuwa ni Janga la Dunia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Hali hii imenitokea jana usiku,japo kwa dakika lakini ilihatarisha maisha yangu sana.Kuna mdudu mdogo jamii ya Moth alining'ata usiku (single bite) nikiwa nimelala aliingia...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Salute doctors! Mimi ni kijana wa miaka 22 niko kwenye tasnia ya filamu bongo. Ndugu zangu, mimi nina tatizo la sauti, imekuwa nzito mno kiasi kwamba kila nikipanda jukwaani nashindwa kucheza...
0 Reactions
7 Replies
37K Views
Habari wakuu naomba kufahamishwa dawa hizi hazina madhara ukiwa umekunywa na masaa machache baadae ukatumia kilevi? Ni- PIROXICAM CAPSULES Na AXYLIN CAPSULES Asanten. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ni siku kama ya tatu mwanagu wa mwaka mmoja anakohoa kikohozi kikavu na usiku anapata taabu ya kupumua. Mimi ni mfauatiliaji wa thread ya Coronavirus humu, nimekosa raha kabisa na isitoshe niko...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za humu wanajamii na wakuu wote na madaktari wote mlio humu. Wakuu naomba kuuliza, wapi wanapatikana madaktari bingwa wa ugonjwa wa Nimonia kwa huko Dar es salaam? Au hospitali zipi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mke wangu amejifungua kwa njia ya operation tar 1 March sasa changamoto iliyopo maziwa hayatoki ushauri atumie nini ili maziwa ayapate. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom