Zipo stori nyingi mtaani kuhusu sababu ambazo hupelekea mama mjamzito kujifungua kwa oparesheni wengi hua hawafahamu ni kwa nini mwingine ajifungue kwa kawaida na mwingine ajifungue kwa...
habari wana jamvi kama ww ni mtaalamu wa mitishamba kwa ajili ya ugonjwa wa ugumba kwa wanawake ama una mfahamu mtaalamu wa mitishamba mwenye utaalamu huo tafadhali wasiliana na mimi 0759212578...
WanaJF, Salaam!
Kwa kipindi kirefu nimekutana na wengi ambao wameolewa au kuoa lakini hawakujaliwa kupata watoto sababu za kiafya. Nimekuwa nikitoa matibabu kwa njia ambazo si za kutangaza na...
Habari zenu wakuu, matumaini mnaendelea vyema.
Hivi inakuaje mtu akitoka kuoga huwa anawashwa? Majua mtasema maji au sabuni lakini HAPANA. Unakuta mtu kama hatoga kwa siku 3 au 2 akija kuoga...
Autism
Autism ni tatizo la kiroho na kihisia linalotokea kwa watu tangu utotoni na kuathiri uwezo wao wa kuwasiliana na watu wengine. Watu wenye matatizo ya autism hawaonekani kama watu wa...
Haya mambo kwa vijana tulio wengi hatuyajui. Bila shaka bado mnaikumbuka ile post yangu kuhusu shemeji yenu muda kama wa mwezi mmoja sasa umepita.
Nisaidieni jaman ni muda gani unafaa kwake...
Mume wangu analalamika anawashwa kwenye uume ila tumesex sana kavu ila mimi sijaambukizwa na nina miezi miwili tangu nisex naye sina dalili zozote na anasema ni tatizo la muda mrefu atakuwa na...
Mwanamke akiwa mjamzito huwa kuna tarehe ya matarajio ya kujifungua. Je, mtu akipitiliza huwa ni ni tatizo au sio tatizo,kama sio tatizo huwa anaweza pitiliza au wahi kujifungua kwa siku ngapi...
Habari za mda huu wadau,
[emoji117] Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanawake kwenda kwa wanandoa wao wakiwaita hawawezi kitu baada ya kumwaga "ejaculation" wakidhani wanamapungufu, kumbe...
Shambulizi La Moyo (Heart Attack)
Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha...
Shinikizo la damu
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu.
Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu.
Shinikizo la damu hupimwa...
Wakuu heshima kwenu,
Naombeni msaada wa haraka! Bado nipo hospitali ila ningependa kujua ili nibadili hospitali ikiwezekana. Ni siku tatu sasa toka mtoto azaliwe lakini anashindwa kunyonya...
Kila mtu anafahamu makengeza.
Mtu kuwa na makengeza anatafsiriwa kama mgonjwa au ana kilema ?
Ukiwa na makengeza unaona kawaida au kuna changamoto yoyote ?
Nini hasara ya kuwa na makengeza...
Habari wanajamvi,
Kwa muda sasa nimekuwa na tatizo la kukosa usingizi nimejaribu kuonana na baadhi ya matabibu wa afya ya akili akiwemo prof Ndosi nilipata matibabu.
Baada ya matumizi ya dawa...
1.Kuvuta sigara
Kiafya mara baada ya kula chakula hairuhusiwi kuvuta sigara japo kuwa mvutaji wa siagara hupatwa na hamu kubwa ya kuvuta mara baada ya kula tabia hii huhatarisha afya, hivyo...
Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiiana
Kutoka mbegu za kiume muda mfupi baada ya kumwingilia mwanamke huitwapremature ejaculation. Huu ni udhaifu wa kawaida kwa wanaume walio...
Ushauri wadau jana nimefanya mapenzi na Dada mmoja kiukweli amenizidi umri miaka kama 12 hivi na ni mjane. Shida imekuja kondom ilivuka kipindi tunafanya na toka jana haijatoka nilijaribu kwa...
Habari mabwana, nina machache kuhusu mwili wangu hususani kwenye joto
1. Nikiwa maeneo ya joto la juu kiasi navuja jasho sana kiasi cha kubadili nguo za ndani hadi kutwa mara tatu.
2. Jasho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.