Nimeuliza hivyo sababu kuna watu wanafanya kazi mazingira hatarishi karibu kuhudumia wagonjwa wa ukimwi mfano manesi na madaktari.
Siku zote wako hatarini
1.Je kuna dawa za kinga wanazitumia...
Koradani hupatikana katika mwili wa mwanaume katika sehem za uzazi. Korodani hutumika kuhifadhi na kuzalisha mbegu za kiume na kike X na Y.
Mwanaume pekee ndio anazalisha mbegu za kiume na kitaka...
Habari wakuu,
Kuna tatizo la heart failure kwa wanawake wanaojifungua nafikiri tatizo hili linasababisha vifo vya kina mama wengi sana lakini sijui kama mimi ndio nilikuwa silijua au wengi pia...
Habari wakuu,
Nimekuja mbele yenu naomba msaada. Nimepoteza ladha ya mdomo lips zangu zinakuwa nyekundu sana hasa ya chini pia lips ya chini inakuwa kama imevimba na kufa ganzi mdomo hauna ladha...
Have you not heard?
It has become much more easier to be infected with Aids and other blood and skin disease nowadays. What we have been known to grow up with, the habit of walking in to the...
Habarini wakuu kuna Shemeji/Wifi yenu nimemtuma akachukue Vipimo eti kaniletea hii karatasi ya Majibu Hivi haya ndo majibu yake nayatolewa kwa style hii?
Maana mimi najuaga lazima iwe Ile...
habarini wakuu,
Nina mdogo wangu ana mimba ya miezi minne sasa. Amekuwa analalamika maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia na akikojoa unatoka mkojo kidogo na maumivu.
Sasa leo...
Nikifanya shughuli yoyote inayohusisha matumizi makubwa ya nguvu kama vile kukimbia umbali mrefu, kubeba vitu vizito nk. mwili unachoka, nakosa pumzi, najihisi mchanganyiko wa kizunguzungu...
Chia seeds ni mojawapo ya vyakula vyenye kiwango kikubwa cha virutubisho. Mbegu za chia zina virutubisho mbalimbali ambavyo ni muhimu kwa afya ya mwili na ubongo. Mwili ni rahisi kupata...
Nimeona mara kadhaa watu wakijiona wapo salama kufanya ngono bila kinga kwa sababu tu wamepima na matokeo kuonyesha negative. Hiyo sio sawa, kwa sababu vipimo vya juu kabisa kwa ujumla vita-detect...
Habari wanajanvi,
Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mwili kila nikivaa viatu vya raba pia nguo zozote zisizokuwa za cotton.
Nasikia maumivu makali, napata ganzi mwili mzima. Ila nikivaa cotton...
Wadau naomba msaada wa kitaalam katika hili,
Mpenzi wangu bado ni bikira na ana umri wa miaka 23 amemaliza chuo anasubiri tu ajira sasa tumekubaliana kuanza kufanya mapenzi lakini kwa sababu bado...
Habari wanandugu JF,
Jamani naomba msaada, Mtoto wangu amekuwa na tatizo la kupata blood infection mara kwa mara inayopelekea kupandisha joto mara kwa mara.
Lakini tatizo jingine kubwa ni kuwa...
Naam! Habali za kazi ndugu wana jukwaa kama kichwa cha Habari kinavyosema.
Kwa wale wataalamu, wa afya nilikuwa naomba kueleweshwa faida kiafya ya kula matunda haya, nimeona yanaliwa sana ila...
Habari wana bodi,
Hivi karibuni nimepatwa na tatizo binti wa kazi kamdondosha mtoto wangu wa miezi minne. Alikuwa anambeba mgongoni, kwa maelezo yake, mtoto akadondoka.
Kilichoendelea hapo mama...
Ever since antiretroviral treatments against HIV infection were introduced in 1996, scientists have eagerly been hunting for a cure for the disease.
Although drugs can allow people who carry HIV...
Madokta wote na wasio madokta salaam.
Nina mtoto umri 5yrs mwanzoni alikuwa akiongea vizuri kwa sentence isiyokatakata lakin hivi karibuni amekuwa na tabu sana, Neno moja linatamkwa kwa sekunde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.