Watu wengi huwa wanasema chipsi mayai ni hatari je ni kweli ni hatari kuliko miguu, utumbo, pamoja na vichwa vya kuku wakisasa? au kalmati, ndizi zilizokaangwa kwa mafuta na vitumbua? Au nyanya...
Nyama nyeupe ni ipi?
Hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote.
Nyama nyekundu ni ipi...
Mwanamke anaweza akapata HIV direct kutoka kwenye mwili wake mwenyewe kipindi cha ujauzito?
Nasikia kuna case kama hizi zinatokea duniani kuwa mwanamke kupimwa na kukutwa na HIV kipindi cha...
Habari wana jamvi.
Naomba msaada wa haraka.
Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe)
Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3
(Vililala mpaka asubuhi)
Naombeni...
Habari za humu ndani wakuu?
Wanasemaga kuuliza sio ujinga.
Eti ukijulikana una tatizo la moyo kwenye mishipa au kitu chochote kinachopelekea moyo kuwa na tatizo ni lazima ufanyiwe upasuaji au...
Naomba kuuliza Madaktari na wataalamu mnisaidie kwa hili.
Juzi niliugua nilipata mshtuko wa moyo nikaenda hospital. Baada ya kupimwa Pressure, Kisukari, sikuwa na gonjwa hata moja lakini baadae...
Habari,
Mwanangu wa miezi mitano anapandisha joto usiku tu,tulienda hospital alipimwa malaria na UTI hana ila walisema damu chache. Tulipewa dawa atumie lakini tatizo bado lipo.
Tunaomba...
Hakuna ubishi baadhi ya wanaume hutumia wallet (pochi) kuhifadhia fedha, kadi za matibabu na za benki, bila kujua madhara wanayoweza kuyapata endapo watazikalia.
Akizungumza na Mwananchi katika...
Leo ten tumekuja na mafunzo kwa wanawake, kuna baadhi ya wanawake ambao wana harufu mbaya sana katika sehemu zao za siri, sasa nimeitengeneza video hii kwa ajili ya kuwaelimisha njia ya kujitibu...
Nina ndugu yangu ni mgonjwa wa sukari. Nahitaji kumnunulia mashine ya kupima. Ipi ni aina bora ya mashine ya kupima sukari lakini inayouzwa kwa bei nzuri/nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza, kwa wataalamu, maana ninyi ndio wataalam.
Je, baada ya PEP naweza kutumia rapid test kujipima ama lazima niende hospitali?
Je, kati ya rapid test na uni-gold ni kipimo ganj kiko...
Wakuu nasumbuliwa na tatizo la nyongo na ni kwa kipindi kirefu sana, huwa na tumia dawa za kienyeji za kutapika nyongo but huwa tatizo linarudi palepale baada ya muda fulani. Huwa nyongo ikipanda...
[emoji1593]Wataalamu wa matibabu wanaonya kuwa kutibu madhara ya sumu hii huhitaji teknolojia ambayo ni ghali mno na kuwa sio nchi nyingi zina
uwezo wa kuyatibu.
[emoji1593]Kwa hiyo ukipata sumu...
Moja kwa moja kwenye mada.
Hali hiyo ya Jogoo kuwika pasipo kawaida imentokea siku za hivi karibuni.
Imezoeleka mwanaume yeyote akiamka asubuhi jogoo huwika lazima na baada ya muda fulani hali...
Wadau hivi majuzi nilishikwa na kama kichomi fulani hapa juu ya tumbo yani katikati ya tumbo na kifua sikulala kabisa usiku wake.
Sikuwahi kutokewa na hali hii hiyo ndiyo ilikua mara ya kwanza...
Ukweli kuhusu chumvi na maajabu yake:
Stori kuhusu chumvi:
Tunapata chumvi nyingi kwenye vyakula vyetu siku hizi. Chumvi nyingi itasababisha shinikizo la damu, uvimbe, matatizo kwenye kibofu...
MAKONDA AFANIKISHA SAFARI NA MATIBABU YA AHMED ALBAITY CHINA
NDOTO na shauku ya kijana Ahmed Albaity alieteseka kwa zaidi ya Miaka 10 Kitandani kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu leo...
Wakuu hodi humu,
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa tendo la ndoa?
Mimi ni mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapokuwa...
Halo JF Doctor.
Nina tatizo la kutoka mafuta yaliyoganda yenye harufu kali. Mafuta haya hutokea ktk matundu mawili mwisho wa ulimi karibu na koo. Huwa kuna tundu la kulia na kushoto na nimejua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.