Habarini za majukumu wanajf nahitaji msaada wa mawazo nasumbuliwa na dry coughing wiki sasa, nimeenda Aga khani hospita kupima vipimo vyote viko sawa bado cha makohozi tu.
Dawa ninazo kama...
Habari wananzengo,
Mdogo wangu amekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Ulcerative Colitis tangu 2016 hadi leo. Ugonjwa huu unahusisha kujisaidia damu pale uendapo chooni. Tulimpeleka Aga Khan Hospital...
Madhara ya unene uliopitiliza (obesity)
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyo hitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini.
Njia rahisi na...
Njiti, vidonge na kitanzi?
Uchumi wa familia unaendana na available population ya familia husika ni vizuri kujipangia utaratibu na interval ya watoto unaotaka sio unateremsha tu.
Naombeni wakuu...
Habari zenu wadau,
Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili. Ndg yangu alikuwa ananiambia kuna wakati anahisi mapigo ya moyo hayaendi sawa, yanakuwa polepole, imepita kama wiki mbili hivi, leo...
Kuna rafiki yangu ana tatizo la fangasi za mdomoni miaka miwili sasa amejaribu kutumia dawa za madukani lakini haziishi.
Ameshatumia dozi zaidi ya nne lakini wapi.
WanaJF tusaidiane labda kuna...
Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.
===
Same Cases...
NINI HUTOKEA TUNAPOKUNYWA "ENERGY DRINKS"?
"ENERGY DRINKS" ni vinywaji vinavyotajwa kukuongezea nguvu utakapotumia,na matumizi yake yameongezeka kipindi hiki.
Mwaka 2014 shirika la afya duniani...
Hakikisha unapata chanjo ya homa ya mapafu: chanzo hizi hupatikana mahospitalini. Kabla hujapata chanjo ongea na Dactari wako akupe ushauri.
Hakikisha watoto wanapata chanjo ya homa ya mapafu...
Wakuu habari,
Mimi ni mwanaume. Takriban mwezi sasa nimekuwa nikiumia sehemu unapoishia uti wa mgongo hasa ninapokuwa nimepanda baiskeli au pikipiki. Pia napokuwa nimepanda gari halafu ikapiga...
Saratani ni kundi la Magonjwa yanayoweza kuanza takriban kwenye kila Kiungo cha mwili, seli zinapokua kuliko kawaida bila kudhibitiwa. Ukuaji huo unaweza kuvamia viungo vingine vya mwili vilivyo...
Habari wakuu, Mimi mgeni kwenye hii forum, ila ningependa kupata dondoo kadhaa kuhusiana na magonjwa mbalimbali na afya kwa ujumla.
Ningependa kuanza kupata ufahamu kuhusiana na ugonjwa wa homa ya in.
Nimewahi kusikia kwamba mtu anapoanza kuchanganyikiwa yaan kuwehuka, asiruhusiwe kukimbilia sokoni au jalalani, yaan azuiwe kadri inavyowezekana asifike maeneo hayo, akishafika maeneo hayo...
Gastric trichobezoar'' ni ugonjwa ambao ni nadra sana kutokea, ni hali ya kuwa na uvimbe ulioundwa na nywele ndani ya njia ya kumengenya chakula. Mtu hupata shida ya kumeza, usumbufu wa tumbo...
ana miezi miwili tangia ajifungue (kwa operation) lkn tangia jana ameanza kulalamika anasikia baridi kali na kutetemeka hata kama amevaa masweta mazito...pia mshono wake kuuma ..je itakua ni...
Homa ya Mapafu au kama ilivyozoeleka kwa wengi Pneumonia (Nimonia) ni ugonjwa hao umesababisha vifo vya maelfu ya watu duniani kote.
Mara nyingi Ugonjwa huu husambazwa kwa vijidudu, fangasi...
Rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo fulani ambalo hakuwa nalo tangu mwanzo anaweza kufanya nini ili kuepuka hii haibu japokuwa kwasasa limekuwa kama janga la taifa.
Anakosa hamu ya tendo la ndoa...
Nilikuaga nasumbuliwa na kifua nikapiga X-ray wakaniambia nina TB, so wakanianzishia dozi since June mwaka jana tarehe 14.
Nikawa nahudhuria kliniki kila baada ya wiki mbili kuchukua dozi na kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.