Hellow
Nimeona huko watu wanafarijiana ohh kama wewe ni HIV + na unatumia ARV basi hupati corona
Yani tufatishe vile tunaelekezwa na wizara ya afya
Kuna wenye HIV na wanameza ARV na bado kinga...
sALAAM,
Ukiangalia miongoni mwa njia za kujikinga dhidi ya corona virus ipo njia ya kusimama mita moja ili kuongea (Maana Inatakiwa kila mmoja ajione ameshaambukizwa).
Kwa msingi huo: Tunaweza...
Kuna tatizo nililipata na kuligundua jana, baada ya kuona vipele vidogo kuzunguka kichwa cha umme; vikiwa havina usaha wala muwasho au maumivu.
Sababu kuu iliyopelekea hivi nahisi ni jambo...
MUHIMU KUHUSU COVID-19 (CORONA)
Najaribu tafakari mengi juu ya hili janga la kitaifa ili hali tu wakuu wa vitengo hawjalitamka kwamba ni la kitaifa anyway tujaribu changanua baadhi ya mambo hapa...
Kemikali zenye madhara zilizo kwenye sigara
Ufutaji sigara huathiri mwili kwa njia tofauti na madhara yake ni makubwa kiafya. Inakadiriwa kuwa, hadi sasa kumegunduliwa kemikali zipatazo 7,000...
Wadau naomba msaada nafwa mwenzenu
kwenye uume kunatoka usaha mzito km utomvu ila sometimes dudu linawasha ila ninachoshangaa uchafu huu hutoka pale tuu ninapojimwagia maji ya baridiii wakati wa...
Jamani nina shida mtoto wangu anatumbo kubwa kiasi kupita kawaida lakini nimejaribu kuchunguza nimeona sio wa kwangu tu hata watoto wa jirani. Je, ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini.
Nawasilisha
Ndugu zangu wana JF nina mambo mengi ila mawili ndio makubwa sana kwangu
1. Sipati usingizi napohitaji kulala
Hivi, ukiwa kitandani unahitaji kulala akili yako inatakiwa kuwa focused katika jambo...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna rafiki yangu nipo naye ana hili tatizo kiafya ipo je, tofauti ninayoina ni kwamba hana hamu ya kusex kabisa, kitaalamu hili lipoje? Na linaweza kumletea...
Wanajamvi poleni na majukumu,
Naomba nisiwachoshe sana kwa makala ndefu sana. Naeleza tu kwa ufupi ili niweze kusaidiwa maana hii hali inanitesa sana.
Nimekuja kwenye hili jukwaa nikiamini...
Mimi n muathirika wa masikio yani hayasikii vizuri na nina athari zifuatazo:
1. Yanauguruma kwa ndani
2. MTU akiongea namsikia ila cjui anamanisha nini
3. Akiwa mbali akiongea ndio sisikii kabsa...
Hivi nn kinasababisha hii hali? Maana ni week sasa halaf tumbon kunakuwa kama nimevimbiwa..wakat huu pia nipo kwenye dozi ya ciplo(typhoid).
Naomba msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimelifuatilia gonjwa hili, dalili na nini kifanyike.
Kwa upande wa tahadhari hapo naona serikali, taasisi zake, mashirika binafsi na watu kwa ujumla hawajafanya vya kutosha. Hebu tuangalie maisha...
Nchi nyingi sasa zinakadiriwa kuwa na wagonjwa wa corona huku wengi wao wakipona na wengine wakipoteza fahamu milele.
Hivi ni dawa gani zinawasaidia hawa wanaopona tuanze kujichanga kuweka store...
Naombeni Mawazo yenu wanajukwaa,
Mimi Nina mpenzi wangu wakati wa tendo uke hautoi unyev wa kutosha, unatoa kidogo Sana wakati machine inazama hii hupelekea yeye kutofurahia tendo Kwa kuhisi...
Nipo chuo nakosa had raha kifua kipo kama kimepakwa pililili kinauma mgongo unawaka moto kichwa kinakufa ganzi sana nacho kama wanapaka pilipili ntakuw na shida gan ila kabla ya haya nilipatwa na...
Wadau, tulianza kwanza kwa kuangalia Maana ya Sonona (Depression) huku pia tukiangazia jinsi ya kumtambua mwenye Sonona. Unaweza kusoma hapa zaidi – UGONJWA WA SONONA (DEPRESSION): Usiyoambiwa na...
Covid 19 ni ugonjwa mpya unaoathiri mapafu na njia za hewa.
unaosababishwa na virusi viitwavyo Coronavirus.
Dalili za ugonjwa huu ni homa, kukohoa na kupumua kwa tabu.Wazee na wale wenye shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.