Salaam wakuu,
Ninaomba kwa anayejua anijuze nini sababu ya uke kutoa povu (maji yanayofanana na povu) wakati wa tendo la ndoa. Hali hii inatokea kiasi kwamba uume ukitoka ndani unakuwa...
Wakuu kwa dalili nilizo zisikia na kuzisoma kwenye mitandao najihisi kwa sababu zifwatazo....
Kama wiki 2 zilizopita nilitokea moshi mjini nilipanda noah za kuelekea tarakea (sitataja nilipo...
Msaada wakuu kuhusu huu ugonjwa wa Gastroesophageal Reflux Disease (GERD)
Napokea na ushauri pia Mana kwa historia fupi ni kuwa nilienda hospital nikaambiwa nina gastritis nimepitia mtandaoni...
Jf docta
Naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote makubwa kwa kunywa mwarobaini.
Nimejizoesha kwa muda mrefu nikihisi au nikipima na kukutwa na malaria huwa nachemsha mwarobaini najifkiza kisha...
Habari wakuu.
Nimekuja jukwaani hapa kutafuta msaada kwa anayejua dawa ya kumaliza tatizo hili, iwe ya miti shamba, ya kizungu au diet nahitaji uzoefu wenu.
Nina ndugu yangu ana tatizo la...
Naombeni ushauri au tiba.
Mimi nasumbuliwa na tatizo la uvimbe chini ya tako la kushoto katikati ya korodani na njia ya haja kubwa!
Tatizo lilianza kutokana na kupata choo ngumu, hivyo kila...
Habari wadau,
Mwanangu mwenye miaka minne ana tabia ya kunyonya kidole, nimejaribu kumweka pilipili na baadae kumfunga bandage lakini hajaacha kutumia.
Niliwahi sikia madhara ya kunyonya kidole...
Habari wakuu, naomba niwape elimu kidogo juu ya utengenezaji wa Saniteizer ukiwa nyumbani kwako.Maana naona tayari wameshafanya dili kwenye maduka ya dawa.
Aina ya kwanza
*Mahitaji*
🔸Vineger...
Dalili za maumivu ya kichwa zinaweza kumsaidia daktari wako ajue nini kinachosababisha maumivu hayo hatimaye kujua matibabu yako yatakuwa vipi.
Hata hivyo, ili mhudumu wa afya aweze kutambua ni...
UTAJUAJE KAMA UNA UPUNGUFU WA MAJI MWILINI?
Umeshawahi kwenda hospitali kumlalamikia daktari kuwa mwili wako hauna nguvu na unajisikia kuchokachoka sana na baada ya kukuchunguza, akakwambia huna...
DALILI ZA UPUNGUFU WA MAJI MWILINI
Upungufu wa maji mwilini ni hatari. Dalili zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:
Kukojoa mkojo wa njano nyeusi
Kuumwa na kichwa
Mwili kukosa nguvu...
Habari wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada. mimi nilikuwa muhanga wa uzito mkubwa nilikuwa na kilo 87 na urefu 161cm na sasa nina kilo 77.5, hata BMI ilikuwa inasoma obesity
yaani (34)...
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MATUMIZI YA BARAKOA
Uvaaji wa barakoa au “mask” ni moja ya njia za kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali ya kuambukiza. Katika kudhibiti kusambaa kwa Virusi...
Ndugu zangu Wana JF poleni na majukumu.
Naomba msaada tafadhali.. Kwa wiki karibu 3 sasa nimekuwa nikisumbuliwa na homa homa zenye dalili za malaria. Nimecheck kwenye hospitali mbili za Kairuki na...
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea. Vimelea vya malaria vinavyoitwa Plasmodia huingia katika mfumo wa damu kupitia kuumwa na mbu jike aitwaye kwa kitaalamu kama ‘Anopheles’.
Dalili zake...
Malaria ni ugonjwa wa kuambukiza unaobebwa na vekta na kusababishwa na kijiumbe ekaryoti protist cha aina ya Plasmodium. Mara nyingi huitwa "homa" ingawa homa ni dalili mojawapo tu pia kuna...
Wakuu,
Bado niko kwenye mkanganyiko naomba kujua tofauti ya Dettol ya maji na sanitizer hizi zilizopata umaarufu kipindi hiki
Je, naweza kutumia Dettol ya maji badala ya sanitizer?
Sorry humu ndani,
Naomba kujua kama kuna uwezekano wa labda kuona mambo fulani au vitendo fulani kwa mtoto mchanga, ili kubaini kama ana au atakuwa na akili timamu au mtindio wa ubongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.