Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Naombeni msaada wenu wanajamii hili tatizo ya gynecomastia nimekuwa likiniumiza kichwa kwa muda mrefu sana bila ya mafanikio, nakosa raha kabisa. yaani nimekuwa discomfort kiasi cha kukosa hata...
3 Reactions
33 Replies
31K Views
False: Adding other ingredients to the boiling water or steam, such as orange or lemon and peppermint oil will kill the coronavirus. Fact: No. This technique will kill the Rona in your nasal...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Naomba kufahamu tofaut iliyopo kati ya ventilator na oxygen mashine na ni katika mazingira yapi hutumika... Natanguliza shukrani Its not over until its over...[emoji769]
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano...
1 Reactions
90 Replies
16K Views
Habari za mida wakuu, Kwanza pole sana na kuendelea kusambaa kwa gonjwa hili la Corona. Virusi hivi vimezidi kusambaa na dawa haipatikani. Wakati napita mtaani kuna vijana nikasikia wanasema...
0 Reactions
2 Replies
664 Views
Kwa wale wataalam wa afya, nina maswali naomba nipatiwe majibu. 1. Je, ni kweli wanapopima virusi vya Covid-19 huwa wanachukua damu? 2. Kama jibu ni ndio, kwa hiyo hawa virusi wapo kwenye damu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Zenu Wana JF? Poleni na Mfungo pamoja na harakati za kupambana na pandemic disease inayosumbua dunia kwa sasa....Naomba nije kwenye point yangu ta msingi *Mimi ni muathirika wa tatizo la...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Tetradenia riparia (Hochst..) Codd (MJM 3112/3125) / Lamiaceae mkono wankhanda/ kiswija/ omushunshu H ulcers, tonsils, wounds, malaria, insect bites L A decoction is made from the leaves and drunk...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Onion Tea For Missed Period This remedy is for those that have missed their periods If your period is irregular not forth coming for long and you are seeking. natural ways to bring them back try...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Je ugonjwa wa Pneumonia (Nimonia) ni nini? Pneumonia ni maambukizi katika viriba ya hewa katika pafu moja au mapafu yote. Viriba hivi vya hewa huweza kujaa maji au usaha na kusababisha mgonjwa...
7 Reactions
11 Replies
25K Views
Wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu, hivi kuna faida au madhara yoyote mtu anayapata asipokula nyama au kunywa maziwa kwa muda mrefu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau Kuna hali inanitokea na kunitia wasiwasi, kilianza kiuvimbe kidogo maeneo ya katikati ya kiuno na mbavu eneo la ubavuni, ukikishika ni kama gololi ipo ndani, hakiumi ila ukikiminya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
What is sudden cardiac arrest? Sudden cardiac arrest (SCA) is when the heart suddenly stops beating. This is a medical emergency that needs to be treated right away. SCA that isnt treated right...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana usiku baada ya kutoka katika pilika pilika za hapa na pale na mfanyakazi mwenzangu ambae ni jirani yangu, muda wa kama saa sita usiku nikaenda kumgongea geto kwake kwa nja ya kuazima chaji...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wataalamu naombeni ushauri,naumwa sana na kiuno yapata wiki ya Tatu Sasa.Nilienda hospital nikaambiwa ni UTI nikapewa dawa Cipro,dozi kuisha tatizo likawa bado nikatumia Doxycycline na yenyewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Naomba kufahamu kitaalamu ni kweli limao lina uwezo wa kupunguza mafuta yanayoweza kupelekea unene usiotarajiwa mwilini!? Naombeni kufahamu kama kweli limao lina uwezo wa...
0 Reactions
14 Replies
41K Views
Msaada: mtoto anacheua kwa namna ya kutapika ,nilishaenda hospital pale ndanda wakamfanyia vipimo hawakuona tatizo, lakini hali ya kucheua mara kwa mara inanitatiza sana hasa inapokuwa kwa hali...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naomba kuuliza Mimi ni kijana mwenye miaka 18. Moyo wangu huwa unadunda kwa nguvu yani hata nikiwa nimeshika kitu mkono wa kushoto unatetemeka. Naomba ushauri vitu gani niache ili urudi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mshituko wa moyo unahitaji kushughulikiwa haraka. Kama unamshuhudia mtu akipatwa na mshituko wa moyo unapaswa kuomba msaada haraka au kumfikisha kituo cha afya haraka iwezekanavyo. Kama mtu...
10 Reactions
10 Replies
18K Views
Mke wangu anaumia tukiwa tunagegegana Goli la kwana anavumilia lakin la pili mapema tu dk haiishi analalamika naumia. Jeh tatzo inaweza kuwa nin wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom