Habari zenu waungwana.
Hapa kuna mpangaji mwenzangu alilala mchana huu, kaamka moyo wake unaenda mbio kweli, je nini nifanye kiweze kumsaidia kwa muda huu tukiangalia njia nyingine ya kufanya...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tatizo litakuwa ni nini hasa nikianza mazoezi ya kukimbia (jogging) napata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya kiuno nikitembea inakuwa kawaida hakuna maumivu...
Habari wana jamvi huyu mwanamke toka nimempata hataki nimpige kiss, denda na hata tukiongea huwa anaziba pua.
Sasa jana tumekosana ndo kanambia domo langu linatoa harufu kama choo, nikaishwa...
City docs say prolonged suppression of HIV, no longer needing transfusions for patient, now 20, are huge positives; say this is first such success in whole world
In a major breakthrough — and...
Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linawakumba wanawake wengi waliovunja ungo. Aidha suala hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbana nalo...
Wakuu,
Kuna ugonjwa huu unaitwa Coronavirus, nasikia unaambukizwa kwa njia ya hewa. Tayari umeua watu wawili ambao ni watu ninaowafahamu. Take care guys.
==================================
A...
Habari wadau
Nina mdogo wangu ambae alipata jipu karibu na shavu alifanyiwa upasuaji hospital akapona ila sehemu aliyoshonwa ikawa na uvimbe.
Alirudi Tena hospital wakamwandikia sindano inaitwa...
hello Jf,
Nina ndugu yangu (kaka yangu) kwa bahati mbaya ni muathirika na nimekua nae kwa karibu sana tangu hali iyo itokee na pia ni msiri wake./. hajaanza dawa za ARV.
Nilitafuta dawa mbadala...
Baadhi ya wananchi wamelalamikia suala la watu mitaani kupuuzia ugonjwa wa #COVID19 na kuacha kuchukua tahadhari muhimu zinazoelekezwa kila siku na Wataalam wa Afya duniani
Inaelezwa kuwa...
1. Mikono na kuchemka ndani ya damu ukijishika kwa juu upo kawaida
2. Ganzi miguuni mara ukaapo baada ata ya dakika 15.
3. Mishipa kutanuka mkononi na mguuni mara uchemkapo
4. Mikono ichemkapo...
Nimamua kuandika mada hii kwani nafikiri yaweza kuwa na manufaa kwa watu wengi. Maumivu ya magoti ni (Osteoarthritis) matatizo makubwa kwa watu wengi hasa wazee, wanawake na watu watu wanene...
Shirika la Afya Duniani(WHO) limeeleza kuwa watumiaji wa Sigara na Tumbaku wako kwenye hatari zaidi endapo Watabeba virusi kwenye viganja vyao
WHO imesema kuwa kitendo cha uvutaji wa Sigara na...
Kama wiki kadhaa nyuma kipindi hiko COVID -19 ndio ipo kwenye pick, nilishikwa na homa moja kali na ya ajabu, na before that nilikuwa na ruti sana za kutoka mikoani kuja Dar, ile home iliambata na...
Chimbuko la Bamia ni Abyssinia (Ethiopia) Kisha ikaenea Duniani kote.
1. Michirizi na utonvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika...
Watafiti wamesema madhara ya #CoronaVirus ni kwa mwili mzima kwa kuwa huathiri viongo vingine vya mwili ikiwemo mapafu, koo, moyo, ini, ubongo, figo na utumbo
Ripoti hii itasaidia kujua dalili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.