Habari wana JF,
Wale wazazi wenzangu tuzungumzie kidogo lishe ya watoto wetu wenye umri zaidi ya miezi sita, vyakula gani amazing ambavyo ukimpikia mtoto anapenda na vinampa afya nzuri.
Kwa mimi...
Hello,
Naomba mnisaidie kufahamu shida itakuwa nini. Mimi ni mpenzi sana wa tunda la nanasi ila kila nnapojaribu kula napata maumivu makali ya tumbo tena tumbo la kukata.
Huwa najaribu kutotumia...
KWA WALE WENYE KENSA YA DAMU KUNYWENI
CHAI YA TANGAWIZI MUTAPONA
A new study conducted in China, in November of 2013, is starting to make waves around the world . Scientists have discovered...
Naombeni msaada wa haraka kwa kunipatia ratiba ya wiki yaani j3 hadi j2 niweze kumpangia ni lishe gani itakayo msaidia.
nawasilisha ombi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini za muda sana jf ni matumaini yangu mko salama!! Nilikua Nina shida katika mwili wangu ambalo limenipelekea kuwaza sana. Natatizo au matatizo yenyewe nihaya nahitaji ufumbuzi kidogo...
Habarini za asubuhi wakuu
Kuna dada kaja niomba msaada akitumaini naweza msave kutokana na mama kuwa mjuzi kwenye mambo ya uzazi wa kiasili nikaona itakuwa poa kama ntashare tatizo hilo tuweze...
Wakuu naomba mumsaidie mdogo wangu anasumbuliwa na kidonda kwenye kichwa cha uume.
Kilianza kama ngozi iliyobabuka au fungus, kukojoe huku anasikia raha na muwasho, lakini sasa kuna kidonda...
Habari wakuu,
Kama mada inavyoeleza nina tatizo la vidonda mdomoni hasa kwenye ulimi. Umechubuka kiasi kwamba napata wakati mgumu kunywa chai yamoto au yenye tangawizi na pia vyakula kama dagaa...
Wakuu natumai ni wazma kabisa,
Tatizo lililonifanya kuandika uzi huu ni shida ambayo huwa inanitesa sana na sijui tatizo ni nini?
Iko hivi, mashine inapo simama huwa naona kawaida mpaka inakuja...
Msaada.
Nina tatizo la kukojoa Sana usiku. Kuliko mchana tofauti na apo awali kwa usiku mmoja naweza amka kukojoa ata Mara 7 au 8. Na nikianza hivyo naanza kujihisi kiu ya maji na nikinywa basi...
Faida Ya Mafuta karafuu ni dawa kwa ajili ya kuchua misuli, wakati mwingine inatumika kama kiungo kwenye chakula na chai lakini pia karafuu ambayo hajasagwa inaweza kutumika kama dawa ya tumbo...
Kuna Rafiki yangu amegombana hadi kafikia kumpa talaka mkewe kisa tu ana maambukizi ya VVU...
Ilivokuwa
Rafiki yangu ananisimulia kuwa mke wake wakati ana Mimba aligundulika ana VVU mimba...
Naombeni kuuliza kwa wale wenye uzoefu na professional ya Docta nina ndugu yangu ni mgonjwa wa akili na hii imetokana baada ya kujijua ana HIV usiku huwa anasumbua sana anawasha moto vitu na...
Habari wadau wote humu ndani.
Swali langu ivi alama ya mistari kwenye kucha kama hivo kwenye picha huwa shida ni nini au inatokana na nini.
Naomba kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
Katika mazungumzo yetu leo na mchumba nilimsikia akidai rafiki yake kamwambia eti akiwa anajua anaenda kusex basi ameze Ampicillin kwa ajili ya kuzuia ujauzito.
Eti magwiji yuko sawa?
Ndugu naombeni mnisaidie nifanyaje,
Nina ndugu yangu ana mtoto wa miezi Sita leo ameanguka kutoka kwenye kochi mpaka kwenye tiles na kaangukia kisogo mama yake hajiwezi Kwa kilio niko hapa na...
Habarini wanaJamii!
Samahani naomba kujulishwa inapopatikana tiba ya njia ya Ozone. Ozone ni oksijeni yenye O tatu.
Tiba hii inapatikana wapi kwa sasa, zamani ilikuwa inapatikana hospitali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.