Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Halo JF Doctor. Hivi karibuni kama juma moja limepita, nimetokewa na kipunye mgongoni na kadri siku zilivyoenda ilivimbisha eneo kubwa mgongoni na niliimwa sana Leo usiku. Kutokana na maumivu...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Habari ndugu zangu... Soma hii stori ya kumhusu mke wangu halafu naomba ushauri. Tarehe 28 April 2020 nilimuoa (tukaingia kwenye fungate). Tarehe 4-5 May akasema tumbo linauma nikamnunulia dawa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Miaka mingi kidogo nilikutana na dada mmoja kutoka visiwa vya Caribbean, alinieleza umuhimu wa wanaume kula matango. Aliendelea kuwa kwao mtoto wa kiume anahimizwa kula tango walau moja kila siku...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
KUONDOA ASIDI INAYOSABABISHA KIUNGULIA KWENYE MAHARAGE-Epukana na kiungulia na tumbo kujaa gesi. Maharage ni moja ya vyakula ambavyo mimi hukwepa kula nje ya nyumbani ,naweza kula maharage nje ya...
4 Reactions
13 Replies
13K Views
Say no to Angioplasty Natural therapy for opening the veins of Heart. Lemon Juice 1 Cup Ginger Juice 1 Cup Garlic Juice 1 Cup Apple Vinegar 1 Cup Mix all above and Boil on Low Heat...
3 Reactions
21 Replies
36K Views
Nini husababisha hii hali kwani sijaanza Kukutana nayo juzi, jana au leo kutoka kwa Wanawake ambao huwa nakutana nao hasa katika Matukio ambayo muda mwingine huleta Mshtuko kama Ajali au Taarifa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalam! Mimi ni mgeni katika jukwaa hili! Naomba mnisamehe kama nitakuwa nimelitumia kinyume na madhumuni yake! Kwanza kabisa bila kupoteza muda, kama kichwa cha habari kinavyoonesha hapo juu...
17 Reactions
85 Replies
13K Views
Hii ni dawa ya Malaria niliyozoea kuitumia kuponya malaria miaka ya hapo nyuma, sikutumia dawa yoyote ya Malaria toka mwaka 2017 mpaka leo hii nimeugua Malaria. Kwa sasa naona dawa hii...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Jamani naomba wataalam mnisaidie: Mke wangu anamimba ya mwezi mmoja hivi lakini occassionaly huwa analalamika kwamba anasikia maumivu kwenye eneo...
0 Reactions
57 Replies
366K Views
Naombeni ushauri sina furaha na kichwa changu kwa ndani nimewahi kuwa na overstress za mda mrefu. Nina H parol pia ila ndani ya kichwa kama nimekalishiwa sufuria lenye chai ya moto yani ata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume ambaye ninavumilia mambo sana na kuyatafutia utatuzi kwa namna yoyote ile. Ila kuna wakati mambo yananifika na kuniumiza sana hadi najikuta nakata tamaa au jambo baya linanifika...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Salaam wa mwezi sasa kimetokea kidonda kwenye njia ya uume pale uwazi, kidonda hiki hakiumi nilienda fanya urine culture na UTI hawajaona tatizo pamoja na blood culture hawanaona tatizo...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Watu wengi wamekua wakihangaika kutafuta dawa ya kuongeza Uume bila mafanikio pia kuna watu ambao wamepata madhara maada ya kutumia dawa za kuongeza Uume na hii inatokana na matumizi ya dawa za...
2 Reactions
161 Replies
154K Views
Habarini za leo wana J .F wenzangu, bila kupoteza muda niede moja kwa moja kwenye mada husika. umri wagu miaka 24, uzito 63kg, nina tatizo la kupata maumivu makari katikati ya pingiri ya uti wa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Faida za limao au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani ya mwili, baridi yabisi...
9 Reactions
14 Replies
34K Views
Nina allage ya ajabu inanisumbua - Huwa nikikata kachumbali mchuzi wa nyanya usinidondokee kwenye hiki kidole - Nikisaga kitunguu maji, swaumu ama tangawizi majmaj yake yasiguse hiki kidole -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana...
34 Reactions
535 Replies
276K Views
Habari za mda huu wana janvi wenzangu, Mimi nina mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitato, leo ni siku ya nne kila anacho kula anatapika hata akinywa maji tu anatapika hata maziwa ya mama anatapika...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Wakuu ni kweli watu wenye magroup ya damu yanayofanana hawawezi kupata mtoto? Mfano mke group O na mume group O hata wakizivizia siku hatari hawawezi kupata?
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari wakuu Nimepata fununu kuwa kuna tafiti mbalimbali zinazobainisha kuwa watu wenye kundi O la damu huwa WAGUMBA au uzazi kwao ni nadra sana. Nasikia kuwa hata wakipata watoto huwa hawazidi...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Back
Top Bottom