Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo. Mwanangu ana umri wa miaka 6 anasoma darasa la kwanza. Changamoto kubwa ni kutotunza kumbukumbu. Alichojifunza leo ukimuuliza anakusomea vizuri tu. Lakini...
1 Reactions
81 Replies
7K Views
Habari wadau wa Jf Nina tatizo ambalo linanisumbua kwa mwanangu. Mwanangu anakula chumvi kupita kiasi, ana miaka mitatu kasoro. Hii tabia ameirithi kwa Baba yake ambaye naye alikuwa anakula...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Nitangulize shukrani kwenu nyote wana JF, kwa kazi nzuri ya, ku-Elimishana juu ya mambo, mbalimbali katika jamii yetu, Shukrani sana ziwafikie. Ndugu zangu, Mimi nimekuwa na maumivu ya, ndani, ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
By F. William Engdahl Global Research Microsoft founderBill Gates has made himself the global vaccine czar as his foundation spends billions on spreading new vaccines globally. While much...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu ugonjwa nitamwomba dr yeyote wa JamiiForums auzungumzie kwa undani ni mbaya na hatari. Kuna goiter za aina 2. Ya kwanza ni ile ambayo uvimbe huonekana juu ya koo Nyingine ni ile ambayo ipo...
3 Reactions
19 Replies
61K Views
Statistics show that 1 in 4 people has some kind of mental disorder however small,so look at three of your best friends if they are okay than its probably you.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
wadau msaada, sababu gani hufanya uume kulala au kukojoa mapema na nin kifanyike
1 Reactions
25 Replies
196K Views
Kushindwa kwa uume kusimama pia hutambulika kama kuishiwa nguvu za kiume. Ni kitendo cha mtu kushindwa kusimamisha uume au kudumisha usimamaji wa uume kwa muda wa kutosha kufanya tendo la tendo na...
1 Reactions
44 Replies
35K Views
Wataalamu wa afya msaada wa elimu ya afya,Tunaomba msaada wenu tupate ufafanuzi juu ya haya magonjwa ya kinywa maana yanafanana kwa dalili lakini naangalia approach ya matibabu yake yaweza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Nimeshawishika na huyu binti ila ana UKIMWI wa kurithi na anasema viral load iko ziro. Kwa hiyo naona tu nikampasue saa hii. Naombeni muongozo wenu ili nisidhurike tafadhali
8 Reactions
61 Replies
8K Views
I'm looking for Psychotherapist/Psychologist near or around Dar or Arusha City to help me with few issues I have been going through for couple of years now. If you think that you have the...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu. Nina tatizo la kukosa furaha, kazini kwangu sina tatizo lolote na mfanyakazi mwenzangu au Maboss wangu.Nalipwa vizuri kiasi maana mshahara wangu net ni zaid ya 1.7,napata...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Closed
Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Wasaalam. Kama inavyosomeka kwenye "heading" naomba yoyote mwenye taarifa kuhusu Hospitali ya Lutindi anipe msaada wake kwa kukomenti kwenye huu uzi hasa kuhusu: 1. Gharama za matibabu 2. Ubora...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JE WAJUA KUHUSU SERA NA SHERIA YA AFYA YA AKILI? Sera ya afya inasema Afya ya akili ni sehemu muhimu ya huduma za afya ya jamii. Magonjwa na ulemavu wa akili vimekuwa vikiongezeka katika jamii...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada jaman, Nahitaji kufaamu ni wap naweza kupata ushauri na msaada wa kitaalamu zaidi juu afya ya akili, na matibabu yanayohusiana na mambo hayo. Au kama kuna mtaalamu wa mambo hayo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za leo wapendwa, Leo hii nimeona tuongelee afya za akili, wengi wetu tunashindwa kuelewa afya ya akili ni kama afya fisikia ya mwili, na inatibika kitaalamu. Katika jamii yetu tunaamini...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari za wakati huu... Naombeni ushauri Leo ni siku ya tatu tumbo linanicheza kwa ndani upande wa kushoto chini ya kitovu na sina maomivu yeyote na sijawahi kuugua ugonjwa wowote watumbo, vakula...
2 Reactions
24 Replies
15K Views
Habari, Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu masuala ya Lishe. Nina tatizo kwa baadhi ya vyakula vinanisumbua mno hasa mboga za majani. Nikila naendesha mno. Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
793 Views
  • Closed
VYAKULA VYA MADINI (CHUMA)IRON KWA WATOTO Vyakula vyenye madini ya iron ni muhimu sana kwa ukuaji wa mtoto. Vyakula vya madini ya iron husaidia mtoto asipatwe na anemia.vyakula vya madini ya iron...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom