Wapendwa habari za saa hizi..
Nina mimba ya wiki sita naona matone ya damu kama brown. Nimeambiwa na doctor nitumie Duphastone na nipumzike siku saba, je itasaidia?
Na kuna mtu alishawahi kupata...
Sijawahi kukosa muafaka JF. Ndio maarifa yamebakia kupata bure kwa watu wema.
Nina tatzo la meno kutoa damu kwenye fizi kwa muda mrefu sasa. Kiasi huwa nalazimika kuweka dawa kwa awamu mbili ndio...
NImehangaika kutafuta mtoto mimi na mwenzangu kwa muda wa miezi kumi lakini bilabila japo mwenzangu nilikutana naye tayari akiwa na mtoto.
Nimefanya sperm analysis majibu ni kama ifuatavyo÷...
Wakuu hongereni kwa mishughuliko ya hapa na pale.wakuu ! Mi nahitaji kujuzwa kuhusiana na hatua za ukuaji wa mimba hasa ni lini mtoto huanza kucheza tumboni.Kama kuna post yoyote inoyo jibu jambo...
ilikuwa Pnemonia ndio ilikuwa inasababisha kukohoa kidogo kutokana na kubana kwa pumzi lakini nilipoitibu sikohoi tena na nmeanza dozi ya TB.
Hivi kuna uwezekano wa kuwa na TB halafu usipate...
Naomba msaada mtoto wangu ametokewa na jipu kichwani nini naweza kufanya kumsaidia tofauti na kumpeleka hospitali maana sipo vizuri kifedha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepatwa na tatizo la kuwa na maumivu au tuseme kitu kama uchovu fulani hivi katikati ya tumbo na kifua.
Mara nyingi hali hii inanitokea wakati wa mchana ninapopumzika katika shughuli zangu...
naomba kuwasalimia na kuwatakia heri na baraka
mwaka jana mke wangu alijifungua kwa njia ya upasuaji hospitali ya serikali, kwa maelezo yake miezi mitano baadae aliniambia madaktari walimwambia...
Napenda kujua nini hutokea pale ambapo mwanamke hukadiriwa kuwa atajifungua tarehe fulani kulingana na uhalisia halisi wa siku ya mwisho kuingia MP, lakini siku ikifika inakuwa tofauti (hajifungui).
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa, huwa linakuja na kuondoka lakini kwasasa naona linataka kuwa sugu. Kuna wakati nikiwa nimelala tu usiku basi misuli inakaza kwa nguvu na kuleta maumivu...
Habari!
Kutokana na title inavyojieleza hapo juu, nahitaji kufahamu hospital ya masikio hapa jijini Dar ambayo inapima kwa usahihi na kugawa vifaa vya usikivu ili kuongeza uwezo wa kusikia.
Maana...
Wadau nasumbuliwa na Tatizo la Maumivu ya Pingiri za Uti wa mgongo kuanzia kwenye Kiuno pingiri S1,L5,L5 kipimo cha MRI kimeonyesha jle Ute umeisha na pingiri kidogo zimekuwa Bulge Disk na...
Habari wakuu , natumai ni wazima was afya, naombeni msaada ya tatizo hili yapata mwaka na nusu sasa na tatizo la kuwashwa au kuchinyota nyia ya haja kubwa , ngozi ya mwili kuwasha , kusikia njaa...
Habari za mida, natumaini wote mpo sawa mnaendelea vzr na majukumu ya ujenzi wa nchi.
Ndugu zangu juzi nimepata bahati mbaya ya kufiwa na mwanangu niliemzaa akiwa na miezi 6 tu. Naumia sana...
Magonjwa yanayosababishwa na hiv/aids ni Yale Yale tunayoumwa kawaida kila kukicha
Swali ni
Je unajuaje kama hii sio homa ya kawaida au malaria ya kawaida bali ni dalili za HIV?
au hizi tezi...
Habari wakuu,
Samahani naomba kujua ni dawa ipi ya kutibu Malaria inayoruhusiwa kutumiwa na Mama anayenyoshesha?
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Watalaamu nipo kwenye dozi ya TB ila sasa imepita wiki mbili sijawahi kulala kabisa mpaka nahisi kichwa kinaanza kuelemewa na kuzidiwa na usingizi ninao mwingi sana.
Ila nikiwa kitandani nikisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.