Habari ndugu zangu.
Ndugu yenu ninasumbuliwa na hali ambayo siielewi hivyo kama kuna mtu amewahi kupitia changamoto kama hii anipe muongozo.
Mimi ni jinsia ME Umri 33. Ninapokuwa na ratiba mpya...
Baada ya kupitia maandiko kadhaa, nimejifunza kuwa mwanamke aki-conceive mwezi unaofuatia katika mzunguko wake ata bleed kama kawaida!!(sina uhakika kama ni wote)
Habari wakuu.
Ni muda mrefu sasa tatizo hili (headache) linanisumbu, yaani huwa kinaniuma sana hasa nikitembea kipindi cha jua likiwa normal au kali. Ukizingatia na Dar yetu kipindi hichi cha jua...
Mpenzi wangu anasumbuliwa na fangasi na tumejaribu dawa mbalimbali lakini imekuwa ikimrudia mara kwa mara.
Mara ya mwisho tumetumia Cotrimazole ya kupachika lakini hali ya kuwashwa ukeni naona...
Mama ambaye amejifungua mara ya kwanza anaweza kuhitaji msaada katika kunyonyesha. Msaidie ili aweze kuwa mtulivu na makini kwa kazi hiyo. Msaidie kwa kutumia mablanketi na miito ili aweze kukaa...
Hello,
Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-. Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan Hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni...
Nina maumivu makali ya misuli shingo kukakamaa na mabegani mpaka saivi maumivi yamesambaa mpaka mikononi na mgongoni maumivi makali nina zaid ya miezi mi3 msaada jamani nishafanya vipimo vingi na...
Habari ya asubuhi wakuu.
Nimejifungua hivi karibuni, tatizo nililo nalo matiti hayatoi maziwa kwa ajili ya mtoto. Nawaomba kwa mwenye uelewa anisaidie tafadhali.
Natanguliza shukrani...
Hope mpo wazima wanajf
Ipo hivi..
Nilikuwa nasumbuliwa sana na tatizo la kifua upande wa upumuaji, kwa mazoea yangu basi nilihisi ni Asthma coz hyo ndio homa ambyo inanisumbua mara kwa mara na...
Habari zenu kiujumla wanaJF
Moja kwa moja...
Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la maumivu ya kiuno, ambayo amekuwa akidai sometimes huwa yanazunguka mpaka maeneo ya kwenye tumbo
Kama kuna mtu...
Spinal Disc ni disk zinazokaa kati kati ya pingili Spinal Vertebrae za uti wa mgongo. Kuna wakati disk hizo hutoka sehemu yake na kusogea pembeni tatizo ambalo linajulikana kwa majina kadhaa...
Je Kujikuna ni Zawadi Itolewayo na Ubongo?
Je Ni Kwanini Unahisi Raha na Adha Unapojikuna?
Salaam Wadau!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Unapohisi muwasho kwenye mwili wako ni dhahiri...
Habari za Jumapili wapendwa.
Kama kichwa habari kinavyojieleza, kuna dada wa rafiki yangu amepata hili tatizo la Cancer.
Alianza kuumwa mwaka jana June alikwenda hospital wakampa rufaa ya kwenda...
Ukisikia tamu chungu au sikio la kufa halisikii dawa ndio huku sasa. Toka mwezi July sikio la upande wa kulia linauma. Kichwa kinauma muda mwingi ajili ya kuvaa earphones kila wakati ila sikomi...
Naitwa Hussein nipo Arusha, ninasumbuliwa na allergy ambayo nawashwa sana koo na wakati mwingine natokwa na kwenye fizi nimekuwa natumia Predinisolone.
Tangu 2014 zinanisaidia kidogo, je nifanye...
Habari wakuu,
Week iliyopita nilienda maabara kufanyiwa vipimo vya mkojo na kukutwa na UTI kidogo, hii ni baada ya kuwa nasikia maumivu kwa mbaali baada ya kumaliza kukojoa nilipofika maabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.