Habari kwenu wakuu wenza kwenye jukwaa la Watanzania na pia Afrika mashariki yote. Natumai muko wazima katika afya na pia mumesalimika. Zimepita siku nyingi sana sijazungumzia chochote hapa jamii...
Habari zenu wanaJF
Nauliza kwa yeyote anaeujua mti uitwao MKADAMONI naweza kuupatia wapi? Nina shida nao mimi nipo Dar es Salaam ndugu zanguni.
Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za leo ndugu zangu,
Naomba msaada kwenu Doctors wa kufahamishwa dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa wiki mbili toka amezaliwa.
Mafua aliyonayo mwanangu hayatiririki Ila yanamsumbua...
Mimi ni ME nina miaka 23, maumbile yangu (uume) yanakuwa madogo sana yakiwa yamelala ila yanakuwa makubwa yaki erect. Je kuna tatizo? Maana nakosa kujiamini pale ninapokuwa faragha muda maumbile...
Kwema wakuu? Jamani nasumbuliwa na fungus wa vidoleni mikononi,nimetumia dawa nyingi lakini siponi, naomba anaejua dawa aniambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Watafiti nchini Marekani wamebaini kwamba kutokula kwa masaa 16-18 au kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa.
Katika makala iliyoandikwa katika...
Habari wana JF, naomba kufahamu upungufu Wa kinga mwilini unachukua muda gani kuonekana? Punde baada ya kuupata? Na ipi ni dalili kuu kuliko zote? Na kwenye kipimo huonekana baada ya muda gani...
Ana ujauzito wiki 23, anavimba saana miguu especially akikaa kwa muda mrefu. Vipimo vya presha vinaonyesha ipo normal. Naomba msaada, je ni nini sababu? Je ni nini tiba?
MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU KULALA KUPOOZA.
Kwa mujibu wa Ryan Hurd kwenye makala yake ya "The sleeping paralysis report" kulala kupooza ni hali impatayo mtu pale muingiliano wa taswira za kwenye...
Habari za muda muda huu wanajamvi. Ni matumaini yangu kuwa mnajiandaa vema na maandalizi ya kuupokea mwaka.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya masuala...
Ndugu poleni na majukumu naomba msaada wa mawazo juu ya hili.
Leo katika harakati zangu za kuusaka mkate wetu wa kila siku nimevamiwa na kung'atwa na mbwa jike anaesadikika ana watoto wadogo...
Nauliza kuhusu gharama za matibabu kwa masikio yenye uwezo mdogo wa kusikia. Sikio langu moja linanisumbua. Mliowai kupatwa na tatizo hili mlikutana na changamoto gani?
Msaada tafadhali
Habari wana JF,
Nina swali kidogo juu ya Mimba ambayo inayotungwa katika Mirija Ya Uzazi, hii Mimba huwa haikui je huchukua Muda gani kupasuka Yenyewe? Na Mtu mwenye shida hii huchukua Muda gani...
Jinsi Ubongo unavyobadilika kukabiliana na Mazingira.
Ubongo wa binadamu umejengwa/umeumbwa kwa namna ya kumwezesha aendelee kuishi/kuwepo (survive) katika nyakati ngumu au kipindi cha hatari...
Leo ni Siku ya Homa ya Mapafu (Pneumonia) Duniani. Siku hii inaadhimishwa kila tarehe 12 Novemba kila mwaka.
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinasema ugonjwa huo uliua watoto 808...
HOMA ya mapafu ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Ni ugonjwa ambao unaua watoto wengi hasa katika nchi zinazoendelea duniani.
Mapafu yanajumuisha mirija mikubwa ya hewa (bronchi) ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.