Habari wadau ni miezi sasa nimekuwa nasumbuliwa na kichwa na kizunguzungu nikifanya shughuli yoyote au kazi yoyote kwa muda kidogo.
Shida ni nini wadau?
Sent using Jamii Forums mobile app
In 2001, the term 'Leisure Sickness' was coined by Dutch psychologists Ad Vingerhoets and Maaike van Huijgevoort. It's a feeling of dissatisfaction, and in some cases illness, derived from "the...
Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi. Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawake 1000; wanawake 53 kati ya huwa na tatizo la kupata hedhi kupita kiasi. Ni...
Habari,
Poleni na majukumu ya kila siku..
Naomba kuuliza eti maumivu katika bega la kushoto kugosheka kama unagosha vidole na kuwa na maumivu makali ni ugonjwa gani au kama mtu aliwahi kuumwa...
Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, matibabu hospital nimepata, ila naomba ushauri kama kama kuna supplement au dawa yeyote itakayonisaidia kuunga mfupa na haraka zaidi.
Christmas njema...
Mmoja wa wagonjwa wake akionyesha jeraha ambalo linakaribia kupona na POP ambayo alikuja nayo.
Na Frederick Katulanda
TIBA asilia nchini ina historia ndefu pengine ile inayolingana na historia...
Wakuu,
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nasumbuliwa na kushtuka kwa mapigo ya moyo kwa muda kama miezi saba na zaidi, moyo unakuwa kama unaruka mapigo, au kudunda kwa nguvu kama...
30 Million will die soon
Bill Gates and the rest of the elites have finally figured out how to kill those of us that are not considered to be of the elite of every race nationality and kind ie us...
Habarini wakuu..nilikuwa nahitaji juzwa nini sababu usababisha mama mjamzito ajifungue mtoto salama tuu afu baada ya yule mtoto kukaa siku mbili tuu na kufariki..??
Afu pia nilitaka jua ivi mtoto...
Wakuu nimemaliza leo dozi ya Malaria Mseto. Sasa hapa moja haikai wala mbili najuta sana kutumia hii dozi msimu wa sikukuu.
Nimemalizia vidonge vinne leo asubuhi sasa wakuu vipi nikizama maeneo...
Ana miaka 2 sasa kasoro siku kadhaa, ila kila nachojaribu kufanya naona namuumiza analia sana nikisema nimkazie siku hiyo asiguse nyonyo.
Ananikondesha sasa hivi maana spidi ya kunyonya imekuwa...
Naomba mnisaidie kitu wakuu,
Hivi mfano mwanamke alikuwa mjamzito akanywa midawa ikamfanya damu zitoke na kukata, ndani ya mwezi damu zimetoka na kukata mara nne akaja tena akatumia Duphastone...
Ni miaka 3 sasa tangu rafiki ambaye kwa namna moja au nyingine tulishibana sana aliponitoka kimasihara tu.
Nakumbuka ilikuwa Kariakoo siku hiyo tulipokutana na wale jamaa wanaouza dawa za kuondoa...
As salaam aleikum wanajukwaa
Mdogo wangu anasumbuliwa na vipele leo ni siku ya tatu usiku wa kuamkia leo hajalala hivo kutazama vimekuwa vikubwa kiasi tumejaribu kumkamua wametoka wadudu kila...
Mchumba wangu kaenda kupima ili aniridhishe kwamba yupo vizuri. Amekuja na kadi inayoonesha tarehe ya kurudia ni baada ya miezi 3. Je hivi mtu akienda kupima akikutwa hana anapewa nini na je akiwa...
Habari za usiku ndugu zangu? Poleni na mihangaiko ya majukumu, naomba msaada wa kueleweshwa juu ya namna ya kufahamu kama mama mjamzito ni positive ama negative kupitia kadi yake ya clinic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.