Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Hellow ,, Tunaelekea kufunga mwaka ,niwatakieni kila la kheri Ninaomba ushauri ,nimekuwa napenda kutafuna mbegu za maboga nyakati za usiku(kama mlo) na nikitafuna saa 1 saa 2:30 nakuwa nasinzia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman naomben ushauri nadhani nimeathirika UKIMWI Miez mitatu iliyopita nilitembea na Mke wa mtu aisee siku ya kwanza kumpeleka guest nilivaa condom wakati wa kugegedana lkn katikati ya show yule...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Hello wakuu! nimekuwa mfuatiliaji wa makala mbali mbali zinazohusu jinsi ya ku control too much acid inayotusumbua watu wengi. Rafiki yangu mmoja ambaye ni medical doctor aliniambia kwa kirefu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wasalaam ndugu zanguni Kwa muda wa siku tano mfululizo nimetokewa na hali ya kumwaga mbegu za kiume usingizini pasipo kuota ndoto nyevu bali nikishtuka usingizini ( katika hali ya usingizi huo...
2 Reactions
96 Replies
20K Views
Yaani nahisi nimelaaniwa. I'm too addicted to this shit Juzi nlikuwa kwenye sherehe fulani ile muda wa menu naenda kunawa si nikakutana na Mtoto beautiful, juicy, sweet, slimy mwenye macho ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu bandugu? Leo nawapa siri kubwa sana ambayo baadhi yenu wachache tayari mnaijua japo hamjaizingatia sana. Siri ya maji ya moto Chukua maji lita moja yachemshe yachemke ipasavyo...
10 Reactions
22 Replies
13K Views
Habari zenu wadau, poleni na majukumu Mimi nina tatizo nilikuwa naombeni mnisaidie japo kwenye maelezo itakuwa ni shida ila nina imani mtanielewa, ngoja niende kwenye point moja kwa moja. Mimi...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha. Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu, Naomba kuuliza kama kuna member ana ushuhuda/uelewa ama experience na products (dawa) ambazo kampuni ya Global Allience huwa wanaziuza. Je, Kuna mtu yeyote humu aliwai...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada wenu tafadhali, nataka mtoto wa kike. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Nina mtoto wa miezi 3...ana utando mweupe kwenye ulimi wake kama maziwa hivi....tumempeleka Hospital amepewa Dawa but hauishi. And sometimes akicheua huwa anacheua maziwa mengi sana...
0 Reactions
54 Replies
59K Views
Naomba msaada wa nini cha kufanya bati limemkata mama watoto kwenye kidole Rejea picha
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kama nilivyojieleza, utaratibu uko vipi? Naomba mchango wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Naulizia madaktari wanaofahamu dawa vizuri, hii dawa inaitwaje kwa hapa Tanzania na naweza kuipata? Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Jinsia yangu me umri 30 Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi: Hii hali nna miaka nayo 6 ila sasa imekua siriasi Kuna kipindi niligoogle hizi dalili, nikatumia dawa za...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
wakuu nimekua nikisumbuliwa na vichomi mara kwa mara maeneo ya chini ya kitovu kwa pembeni (kwenye mitoki) upande wa kulia na kushoto yani huwa kinachoma upande mmoja baadae upande mwingne...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau, naamini mnaendele vema na majukumu ya kila siku na hatuna budi kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake juu ya maisha yetu ya kila siku, Mimi ni mtanzania ninaishi kijiji cha Bugarama...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nipo hapa Zanzibar naona kuna ligi ya kuagiza supu ya pweza kati ya wanawake na wanaume. Hapa kwa muuzaji kuna wanawake wengi kuliko wanaume. Naomba siri ya supu ya pweza kwa wanawake? Sijui kama...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam, Wataalamu wa afya: Mie nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 22 kwa sasa. Tatizo|Sijui sio tatizo hana tabia ya kutoka jasho hata pale atakapofanya mazoezi au kazi ngumu hata iwe juani...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi, Nina mpenzi ana miaka 23, tumekuwa katika mahusiano kwa miezi 7 sasa. Tunafanya mapenzi vizuri tu ila nilishamuambia mimi sihitaji mtoto na yeye so awe makini kucheki...
2 Reactions
22 Replies
11K Views
Back
Top Bottom