Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habarini wanajamvi, naomba kupata ushauri wa kitaalamu hapa. Nina mzazi wangu kafanyiwa upasuaji mdogo kwa ajili ya kusafisha sehemu ya utumbo iliyokuwa imeathiriwa na fungus kwa mujibu wa vipimo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani, nisaidieni nina tatizo la kutokwa udenda pindi nilalapo. Naombeni kama kuna mtu anajua tiba yake. Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimeugua Typhoid kwa kipindi kirefu yapata miaka minne hivi na nimetumia antibiotics nyingi kama ciplofalexin, cefriaxone,cefixime, azuma, chlorophenical, amoxicillin, doxy na nyingine nyingi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Juzi nilikuwa pale Benjamin Mkapa hospital kutoa damu kwa ajili ya vipimo. Zaidi ya watu 5 wanalalamika maumivu kwenye mshipa wa damu sehemu iliyotolewa damu. Jamani uongozi wa hospitali ya Mkapa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu ni ugonjwa gani na husababishwa na nini?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sehem ya kifua upande wa kushoto Yan sehem ya moyo panaumaa Sanaa Hadi inapelekea moyo kuuma shida nini had? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ok naomba kuuliza, hivi vile vidonge vya uzazi wa mpango vinafanya kazi baada ya muda gani? Naomba msinielewe vibaya, nimetembea na binti mtoto wa kiongozi wa serekalini tena chama cha upinzani...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Eti inawezekana mtu ukawa na ugonjwa wa ngiri bila kuwa na maumivu yoyote?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BY Dk.Shita Samwel, Mwananchi Kila inapofika Desemba mosi ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya Ukimwi Duniani. Siku hii iliadhimishwa wiki mbili zilizopita kwa wadau kutoa elimu ya mambo...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wa dau, Naomba wataalamu mnijuze chanzo cha kizunguzungu cha mara kwa mara kwa mama mjamzito, mke wangu anasumbuliwa mara kwa mara na hali hii, ana ujauzito wa miezi takribani sita...
0 Reactions
2 Replies
19K Views
Mwenye anayejua tiba ya prostatitis (prostate bacteria information) Kwa kutumia mitishamba Ningependa waliotumia wakapona au mtu anayejua mtu aliyepona iyo dawa wachangie mawazo kuliko wauzaji...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
http://woked.co/women-dna-man-made-love/ Kwa kiswahili ni hivi Kuna cells(DNA) zimekua zikionekana kwenye ubongo wa wanawake ambazo hazitokani kwa baba zao jambo ambalo wanasayansi wakawa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au...
1 Reactions
98 Replies
18K Views
Kuna hali fulani inakera aise, yaani unakuwa unahisi koo kukauka muda wote kiasi kwamba hata ukinywa maji ni Kama hayajapita kooni kabisa! Wakuu hivi hali hii inasababishwa na nini hasa? Na ni...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Waungwana nipo kwenye dozi, natumia PEP baada ya kuwa exposed na mazingira hatarishi ya maambukizi. Kawaida nakunywa vidonge hivi mida ya saa nne usiku na leo nina siku ya 8 tangu nizianze. Jana...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Sorry wakuu naulizaje eti kuna kipimo kinachopima Ukimwi kwa muda mfupi toka mtu atoke kufanya tendo la ndoa hatarishi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Za Mchana Waatu Wa Mungu! Naomba Nifupishe Swali Langu Kinamama Hivi Nikweli Mwanamke Anaweza Beba Ujauzito Mwingine Baada Ya Kujifungua Ndani Ya Mwezi M1 Akikutana Na Mwanaume? Samahan...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture Na hiki cha chini ni cha 2019 Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Haya sasa wale Wanaume mliokuwa mnatucheka Sisi wenzenu tunaokula ' Viepe / Chips ' kuwa ni ' nyoro nyoro ' na kwamba nyie mnaokula ' Ugali / Nguna ' ndiyo ' Mashababi ' na mna Nguvu ni kwamba '...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
Back
Top Bottom