MADHARA YA KUTUMIA VIAGRA AU VEGA ( Sildenafil)?
viagra au vega,ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi ( sex),dawa hizi mara nyingi...
Daktari bingwa wa magonjwa ya macho kutoka Hospitali ya CCBRT, Dar es Salaam, Cprian Ntomoka amesema kuwa matumizi ya vifaa vyenye mwanga mkali kama simu na kompyuta yanaweza kusababisha tatizo la...
Hello guys,
Hope mko poa na mnaendelea na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku.
Ningependa kufahamu kama kufanya scrub ya uso au ya mwili inaweza ikasababisha maambukizi ya Ukimwi.
Wazungu...
Kuna sababu nyingi zinazopelekea kutoka harufu mbaya ukeni kubwa ikiwa ni fangus ambayo hutokana na kutofanyia usafi vizuri uke pamoja na kubadilisha sana wanaume ambao huwezi kuhamisha bakteria...
Ndugu wajumbe ninawasalimia.
Nimekuwa nikisumbuliwa na changamoto kadhaa za afya ya ngozi ambazo naamini zinahitaji "medical attention", hivyo, basi naomba kuelekezwa Hospitali/Daktari mzuri wa...
Wataalamu waTanzania wakiwemo Dr. Karim Premji Manji na wadau wengine katika sekta ya afya Tanzania wanatufahamisha magonjwa 'yasiyojulikana' sana Tanzania na Afrika na changamoto zake.
Source...
Habari zenu ndugu zangu wataalamu wa masuala ya kiafya na wengine wote
Naombeni ushauri wa kiafya. Nina mchumba wangu, nilikuwa mbali naye kulingana na utafutaji wa maisha, ila ahadi yetu ni...
Habari madaktari na wana jf wote kwa ujumla
Mwaka Jana nilipata tatizo la taya yaani wakati nilipopiga mihayo taya ya juu na ya chini ziligoma kukutana hivyo mdomo wangu ukagoma...
Wajameni naomba msaada,nikienda kujisaidia utumbo unatoka kidogo,nikimaliza kujisaidia nausukumia ndani na vidole,unakuwa sawa,msaada wa kutatua hilo tatizo.
Huwa natokewa na uvimbe huo maeneo ya joint ya kiganja cha mkono, huwa unatokea baada ya muda unapotea. Nini tatizo na ni nini muarobaini wake? Tafadhali wanajamvi naomba mnisaidie.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nina mchumba wangu wa kike mwenye umri wa miaka 21.
Anasumbuliwa na tatizo la kuamka akiwa ameloa na kuloanisha kitanda kwa uchafu kama maji mengi...
Kama kuna mwenye kuelewa kuhusu matumizi, faida, gharama za aina mpya za P.O.P wanasema ni za fibre glass na nyepesi.
Je unaweza kuitumia zaidi ya mara moja baada ya kuifungua/kuitoa? Gharama za...
Hapa chini ni baadhi ya faida za kutumia juisi ya majani ya Ngano:
1. Inasaidia kuimarisha protini kwenye seli nyekundu za damu.
2. Inaimarisha kinga ya mwili na mfumo wa kusaga chakula na...
Tatizo la kukosa usingizi (Insomnia - Sleep Disorder).
Usingizi ni muhimu katika maisha ya mwanadamu kama ilivyo kula mlo kamili na kufanya mazoezi.
Kukosa usingizi kunachangiwa na mabadiliko...
Habari za muda huu wakuu, naomba mnisaidie.
Mimi ni mama mjamzito kwa umri wa 22 weeks. Sasa, ndani ya siku tatu hizi mtoto wangu anacheza kidogo sana na kwa mapozi. Yaani mpaka kiamue chenyewe...
Kifuko nyuma ya mji wa uzazi ''The cul-de-sac'' pia hufahamika kama ''Pouch of Douglas'' ni chemba au kifuko kinachopatikana chini kabisa ya eneo la tumbo (Peritoneal cavity).
Kifuko hichi kipo...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Nimekuwa nikihisi kama kuna maji masikioni kila (every instant) ninaposikia sauti ya mbwa (mbwa wanapobweka). Nimekuwa na hali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.