Habarini wanajamvi,
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la maumivu upande wa kulia chini ya mbavu japo sio maumivu makali na tatizo hujitokeza wakati wa baridi, nikifanya kazi za kuinama muda mrefu...
Imeandikwa na Dk. Boaz Mkumbo
MOJA ya vyakula ambavyo tumekuwa tukitumia kwa wingi hasa Watanzania wenye kipato cha kati na chini kabisa ni vyakula vya aina kuu tatu, Wanga, Protini na Mafuta...
Natanguliza heshima zangu kwenu.
Jamani samahani nasumbuliwa sana na tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu pamoja na maumivu makali huku nikiharisha inaweza kunichukua hadi lisaa kutulia na kuanza...
Nina twins ambao ni wa kike na kiume. Mtoto wa kwanza ni wa kike hivyo sina experience ya kulea wa kiume. Sasa huyu twin mmoja ambaye ni wa kiume amezaliwa na mzigo wa korodani size ambayo...
Chai au kahawa ni vinywaji vinavyopendwa na watu wengi wa jamii zote duniani kama kiamsho kwa asubuhi au jioni. Pamoja na kuwa ni vinywaji ambavyo vimezoeleka sana kwa matumizi ya kawaida katika...
Wakuu heri ya sikukuu ya Pasaka,
Kuna ndugu yangu alikuwa mzima wa afya, baada ya kuumwa Malaria,kutokana na zile dawa alizotumia, masikio yameziba. Katika kuhangaika kumtibia ndio nasikia kuna...
Ni miezi sita sasa tangu nilipoanza kuuza majani ya ngano kwa wagonjwa wa Kansa, Kisukari, vidonda vya tumbo na Presha na matokeo yake wengi wamepona na wengine bado wanaendelea na matibabu na...
Nimeamua kuacha haya
1. Nimeacha ku "come" nje ya nanii. Hii iliniletea matatizo ya kiuno. Watalaamu walinambia kwa yale matatizo sababu zilikuwa mbili
- Kama nafanya mastabesheni
- Na"come" nje...
Kila binadamu aliumbwa akiwa na mkia mdogo ambao hufyozwa na kutoweka tangu siku za mwanzo za uhai wake tumboni kwa mama.
Mkia huo ni miongoni mwa viongo ambavyo vipo ndani ya mwili wa binadamu...
"Haikuwahi kutokea kwangu kuwa nilitumia dawa za kuzuia mimba 'morning-after pill' na zikashindwa kufanya kazi.''
'Rachel' ambalo si jina lake halisi, alipata ujauzito baada kubakwa akiwa nchini...
Moja kwa moja kwenye mada.
Juzi nilienda kituo cha afya na kucheki afya nikakutwa nina Typhoid. Sasa nimeanza kutumia dozi za Typhoid (Cepro) siku ya 3 hii.
Ila wataalamu ni kwamba yaani...
Mama yangu mdogo tangu ameambukizwa Virusi Vya Ukimwi miaka 2 iliyopita amekataa kata kata kutumia dawa za ARV ili kuongeza maisha.
Amekuwa mbishi, licha ya kushauriwa na madaktari, anadai ni...
Mimi ni mwanaume 29 (nimeoa), kwa sasa nipo Dar, miezi mitatu Iliyopita nilianza kujisikia vibaya hasa kupata maumivu ya kiuno na viungo vyote vya mwili, niliamua kwenda hospital moja hapa Dar...
Habari wakuu, naomba kuelemishwa. Kuna madhara yoyote kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba? Mke wangu umri wake wa mimba ni wiki 37+6 na kimo cha mimba ni 40. Na hii ni mimba ya pili...
Za asubuhi jamani hongereni na majukumu ya kujenga taifa letu nilikuwa na uliza ivi, kuingia hedhi siku 7 kuna tatizo?
======
Baadhi ya majibu ya wachangiaji
=======
Idadi ya siku za kuingia...
Mji wa uzazi hufahamika kama (Uterus), wakati mwingine msichana huzaliwa na uterasi ambayo ni ndogo sana kuliko kawaida, hali hii hujulikana kama ''hypoplastic uterus'' au ''Uterine Hypoplasia''...
Niende kwenye mada
Napenda kuuliza je mtu akimeza dawa za Malaria kabla ya kupima hospitali, maana naziona dalili zake kabisa sasa hospitali kidogo kuna umbali.
Yapi madhara yake endapo itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.