Habari wadau?
Nina tatizo la mwili wangu kuwa na joto muda wote na mate yanakuwa ya uchungu na hilo joto inafikia kipindi mpaka mwili unaniwaka sana moto!
Nilipima kipimo cha full blood picture...
Kuna mtaa nilipita nikakuta vijana wanabishana sana kuhusu haya magonjwa mawili UKIMWI na Ebola, wengi walikuwa wanasema Ebola ni hatar kuliko UKIMWI Ila ukiwauliza sababu kwanini ni hatari kuliko...
Napata maumivu kifuani nikipumua, hasa wakati wa usiku, na hali hii imetokana na kuwa na mawazo makali sana ambayo yamepelekea hiyo hali.
Naomba ushauri.
Pineapples are low in calories but have an incredibly impressive nutrient profile.
One cup (5.8 ounces or 165 grams) of pineapple chunks contains the following (2):
Calories: 82.5
Fat: 1.7 grams...
Habari za alfajiri;
Nianzie kwa kuelezea kidogo:
Dementia ni hali/ugonjwa unaosababisha kupungua kwa uwezo wa kiutendaji wa kiakili ikiwemo kumbukumbu,na uwezo wa kufikiri.Hali hii hupelekea mtu...
Kuna magonjwa mengi tofauti ya zinaa, lakini yale ambayo yameenea sana ni Kisonono, Kaswende, Klamdia, Kankroidi, Utando mweupe, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Shida kubwa ya magonjwa mengi ya zinaa...
Huu mti jina sijui ila wengine wanaita mhadarati kama sijakosea. Unavimatunda vinapendwa sana na popo ila ni mazuri sana kwa wagonjwa wa kisukari. Huwa inashusha sukari na kuifanya iwe normal...
Habari wanachama,
Nauliza uimara wa hizi dawa siku hizi zimezagaa mitandaoni na biashara za network marketing. Je zinasaidia kweli? Kama za hormones imbalance.
Naomba ushuhuda wa waliowahi...
Polen na kazi ya kusafisha nchi yetu,naomba munieleweshe kwa wanaotumia hiki chombo water dispenser majumban kwao, hivi ni lazima kutumia haya maji ya kiwandani (ready purified) kama ya uhai au...
Jamani kama nilivyotanabaisha hapo juu, nimepata kabinti karembo kama wiki mbili zilizopita. Sasa nauliza kwa wakongwe, hivi mgegedo napata baada ya muda gani mabaharia!
Ukatili dhidi ya watoto umetajwa kusababisha magonjwa ya akili na wazazi wametakiwa kuchukua hatua haraka wanapoona mabadiliko ya hisia yasiyo ya kawaida kwa watoto wao kwani ni dalili ya kuanza...
Habari, Tatizo la vipele shingoni na mgongoni kwa mtoto wa miezi sita, linasababishwa na nini maana linaongezeka na kumuwasha kwa kasi, msaada kwa anayejua tiba yake.
Asante
MAJI YA UVUGU VUGU
TAFADHALI SAMBAZA KWA FAMILIA NA MARAFIKI, NI MUHIMU NA INAWEZA KUOKOA MAISHA YA MTU.
Jopo la madaktari wa Kichina limethibitisha kwamba maji ya vuguvugu yana uhakika wa...
Wadau mimi mgeni hapa JF, napenda kuuliza kama kuna ambao mmewahi kuugua vidonda vya tumbo mkawa na tatizo la ukosefu wa usingizi, uoga uliokithiri, moyo kwenda mbio sana, kusahau sahasu, hasira...
Assalam wakuu,
Nina sister wangu anakuwa na dalili zifuatazo:
1) Maumivu ya kichwa na moyo kwenda mbio
2) Baada ya hali tajwa hapo juu hupatwa na kama degedege hivi yaani huzimia na kutokwa na...
Hii ni sumu ambayo inatolewa na nyoka wakati wa kung'ata mtu, asilimia kubwa ya nyoka ambao wapo kwenye mazingira yetu hua hawana sumu yaani kimsingi ukiona mtu ameng'atwa na nyoka leo afu kesho...
Nawasalimu ndugu zangu.
Miezi kadhaa nilileta mada hapa nikashauriwa na kufarijiwa nanyi, ushauri wenu kwa 75% niliufanyia kazi na wengi walishauri kurudia vipimo hospital nyingine hasa Kamanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.