Habari za saa hii hapa JF,
Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu...
Ukiachilia mbali mambo ya imani, leo tuone athari za jambo hili japo kwa ufupi. Sehemu ya haja kubwa huwa na misuli miwili inayofanana na pete, kwa Kiingereza huitwa sphincters, labda kwa...
Mimi ni kijana wa miaka 23, kwa miezi kama 7 hivi nimekuwa nikishambuliwa na chunusi na upele usoni.
Upele wenyewe ni mkubwa na nikiuminya yanatoa usaha. Nimejaribu kutumia sabuni na mafuta aina...
Habari za leo
kwanza kabisa nipongeze jitihada za dhati zinazofanyika kuondosha na malaria pamoja na magonjwa yanayotokana na Mbu
katika safari zangu hivi karibuni nimesikia habari ambayo...
Habari ndugu zangu, kiuandishi sipo vizuri sana.
Ninamtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja, amenyonya maziwa ya mama yake kwa muda wa miezi 4, baada ya hapo akaanza kutumia maziwa ya dukani...
Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda...
Wakuu leo nimekunywa Mo Extra ila nashangaa mapigo ya moyo yanapiga sana mpaka sasa hivi, nimekunywa kama masaa 4 yaliyopita. Ila mpaka sasa yanapiga sio full time, ni kwamba moyo unapiga normal...
Habarini Wakuu
Katika maongezi na baadhi ya vijana wenzangu iliibuka hoja juu ya mada hapo juu, ya kwamba katika makundi ya damu yaliyopo A, B, AB, O kuna makundi ambayo wenye nayo si vyema...
Habari Zenu Jf Members?
kuna maswal mengi sana huwa najiuliza inakuwaje watu wanafanana sura na ili hali hawatoki ukoo mmoja, unakuta labda 50 cent kafanana na mtu kutoka Kenya. mpaka msemo wa...
Ndugu,
Hicho ni kipimo cha haraka cha kupima Malaria. Na kimepigiwa promo sana na Serikali
na sasa kinatumiwa karibu kila mahali.
Shida niliyogundua , wengi wakipima kwa kipimo hiki huwa -VE...
Wakuu nimerudi kwenu tena, nilikua na kasumba napiga bao tatu ndani ya dk.20-30, ila leo na siku za hivi karibuni mambo yamekua magumu.
Yaani, bao tatu, Leo kidogo nifie kwenye uke wa mtu, la...
Habari za week end wana jamvi.
Nasumbuliwa na tatizo la muwasho kwa muda wa zaidi miaka 10 sasa. Hua napata muwasho wa ajabu sana mara baada ya kukoga iwe asubuhi, mchana au usiku. Nikinyeshewa...
Habari wana jukwaa,
Kuna kipindi nilikuwa naumwa sana kiuno, nikaenda kupima mkojo kuangalia kama nina tatizo la kibofu na mfumo mzima ya mkojo.
Majibu yalipotoka nikaonekana nina UTI nyingi...
Ni kuwa nilichoma chanjo ya HPV awamu ya kwanza na nikaambiwa nirudi kuchoma awamu ya pili baada kama ya miezi 2 au mitatu. Baada ya hapo nilirudi hospital wakanambia dawa imeisha nisubiri sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.