Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Salaam sana wakuu katika JF. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la korodani moja kuvimba tangu utotoni na hata kupanda juu maeneo ya kibofu kiasi kwamba hata kutembea inakuwa ngumu, hadi uirudishe...
1 Reactions
2 Replies
995 Views
Homa ya ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya Virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi Sugu! Virusi hivyo kitaalamu vinaitwa Hepatitis B Virus (HBV) Virusi...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Hivi kufanya tendo la ndoa kila siku na mke wako kunaweza kuathiri upatikanaji wa mimba kwa mkeo?
1 Reactions
0 Replies
922 Views
Jamani kwenye kusoma soma nimekutana blog wameandika vitu vizuri sana kuhusiana na vyakula vya kutumia ili kupunguza uzito. Wanasema diet hii inasaidia kuepusha magonjwa ya moyo, diabetes...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, nina mtoto wa miezi minne (4). Na huwa anapakwa mafuta ya nazi yanayoitwa MINARA. Na sabuni anayoogeshewa ni baby Johnson. Na kabla ya Baby Johnson, tulikuwa tunatumia hizi sabuni za...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Nashida mmoja tu kubwa nipo kwenye program yangu ya kupunguza mwili( na maanisha sina mtaalamu wakuniongoza) huwa nafanya mazoezi kwa muda wa lisaa limoja hadi na nusu ila si chini ya lisaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi kufanya tendo la ndoa kila siku na mke wako kunaweza kukaathiri upatikanaji wa mimba?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za saiz ,nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kushindwa kucheua pamoja na maumiv makali ya kichwa na mwili kwa ujumla haswa haswa mgongo upande wa kulia na kushoto ,na mara nyingi imekua kama...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Dalili 10 za mvurugiko wa homoni kwa wanawake UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONE Hii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa rika zote. Vyanzo mara nyingi...
1 Reactions
1 Replies
12K Views
Hapa inahisishwa maradhi yote ya tumbo ikiwemo vidonda sugu vya tumbo pamoja na wenye matatizo ya gesi tumboni. Tafuta majani ya Songwa au (Msongwa) majani kiasi tu loweka kwa muda wa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nimepata tatizo la kukazika misuli ya njia ya haja kubwa, hali inayopelekea kupata haja kubwa kwa shida sana na tumbo kuuma kutokana na kinyesi kubakia katika utumbo. Yote haya yametokana na...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Mbukwenyiii wadau., Jamani naombeni msaada, ni mafuta gani mazuri kwa masaji?? Na upatikanaji wake. Nataka niwe professional masseur, lakini ni kwa ajii ya mke wangu tu. Mke wangu anapenda...
2 Reactions
59 Replies
65K Views
160 Uses for Coconut Oil 1. Age Spots (also known as liver spots) – applying coconut oil directly to the age spot will help it fade. 2. After Shave – coconut oil will help heal your skin after...
3 Reactions
30 Replies
64K Views
Habari za wakati huu members. Jamani, kwenye sura yangu (shavuni) kuna kiuvimbe kidogo kwa ndani, yaani unaweza kujua ni kivimbe kwa kugusa sehemu husika na katikati kuna kitundu kidogo hivi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Hello wana Jf team, Naomba kuuliza mwenye kujua hospitalI wanayofanya operation ya kuondoa mtoto jicho please naomba mnijuze, sio KCMC lakini maana bei zao zinaua ni 500,000 kwa jicho moja...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika mihangaiko ya hapa na pale nimeona kitu hiko hapo juu, ambacho kweli sijawahi kupata ushuhuda/ habari za maana ili kukiamini. Lakini nikakumbuka kuwa mwaka fulani niliambiwa kuwa katika...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Rafiki yangu katokewa na kinyama hicho puani mwenye kujua atusaidie aende wapi akatibiwe apone
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Waungwana samahani nina shida sana, nasumbuliwa na maumivu ya kiuno yaani kinauma balaa. Kukaa tabu, kuinama taabu, shida hasa ni nini? Wadau mbalimbali wanadai dawa yake ni kupiga show sasa mbona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, Nimekuwa na tatizo la tumbo kuunguruma sana kiasi cha kusikika hata kwa mtu aliye pembeni yangu. Hii hali inatokea muda wote nikiwa na njaa na hata nikiwa nimeshiba. Mwezi mmoja...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Ukiishi mpaka kufikia umri huu ni jambo la kumshukuru Mungu. Kutokana na huduma bora za afya wengi hufikia sherehe ya miaka 50, 60, 70, 80 hata 90. Ukifika miaka 50 hata kama huna tatizo lolote...
22 Reactions
46 Replies
6K Views
Back
Top Bottom