Je kuna mtu mwingine mwenye hili tatizo kwa hapa Tanzania? Kwa sababu sijawahi kusikia wala kuona nimeenda hata baadhi ya hospitali kuna madaktari hawalijui hili tatizo. Mimi nimegundua kwa...
Habari wanajamvi?
Mimi nina tatizo naomba msaada wa ushauri.
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa mjini Zanzibar. Kazi zangu hazihusiani na ukaaji wa kwenye jua.
Sasa nimekuja kujigundua...
Nimepatwa na kizunguzungu mara mbili ndani ya wiki tatu na hadi sasa sijajua chanzo ni nini. Kuna rafiki yangu mmoja kaniambie eti ni shambulizi la moyo (heart attack).
Naomba wataalamu wanijuze...
Wanajukwaa poleni na majukumu.
Naombeni msaada wenu wa tiba na mawazo kwa huu ugonjwa. Mama yangu kapatwa na tatizo la kutokwa damu puani ni mwezi sasa na umri wa miaka 50+ lakini bado ana nguvu...
Kuna siku nilikuja na Uzi wa kwanini dokta wa Ultrasound hakutaka kuniambia jinsia za wanangu. Wengi mlitoa comments zenu, nikaridhika nazo.
Kiukweli tarehe ya matazamio ya kujifungua tuliambiwa...
Najitahidi kung'oa ujinga wa kurithi ila kila siku nakutana na maswali ambayo hayana majibu nyororo. Kuna kitu huwa inasumbua sana watoto mtaani inaitwa "Mchango". Wanadai haina dawa ya hospital...
Wadau, jana nimeona wadudu dizaini ya funza lakini wenyewe ni wakubwa ndani ya fuvu la mbuzi baada ya kumchinja ili kupata msosi.
Nataka kuelewa wale wadudu wanaingiaje ndani ya fuvu la mbuzi na...
Jamani habari za mchana,
Juzi nilikuwepo Arusha sasa kuna dada mmoja ni mwenyeji wa pale ni wakala wa kampuni ya FOREVER. Aliniletea baadhi ya bidhaa zao na akanishawishi kuzinunua akidai ni...
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu...
Salamu wanabodi,
Nina dada yangu nimempeleka maabara asubuhi ya leo na kupimwa mkojo na majibu kuonyesha kuwa ana kisonono (gonorrhoea) na kwa bahati mbaya ana ujauzito wa miezi 8.
Sasa je, dawa...
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu...
Kuna maneno yapo mtaani wanasema hiyo dawa ya Malaria itwayo Mseto inasemekana inaumiza figo.
Je, ni kweli? Naomba ufafanuzi kwa wafamasia au madaktari bingwa.
Bila shaka mpo vizuri wadau,
Baba yangu yupo Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa majuma matatu sasa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya koo. Madaktari wanasema imeenea sana hadi kwenye ini, hivyo...
Habari wakuu.
Mke wangu amejifungua mtoto wa kike, naomba kuuliza natakiwa kushiriki tendo la ndoa na mke wangu mpaka mtoto afikishe umri gani?
Naogopa kumdhuru mtoto wangu maana watu wanasema...
Wakuu
Tumezoea kuona watoto wakati wanaota meno kwa mara ya kwanza yanatokea mawili kwa taya la chini. Wa kwangu ameanza kuota meno mawili taya la juu. Hii inamaanisha nini? Nifanyeje?
Sent using...
Bwana Yesu asifiwe, Assaalam aleykum wapendwa katika Bwana [emoji120]
Wana JF bila kupoteza muda niwashirikishe hili jambo. Nimekuwa na kasumba ya kupenda kutafuna karanga ambazo tayari zimeisha...
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.