Dear wadau,
Nina maumivu makali sana ya kichwa na usiku ndio yanaongezeka zaidi. Nimeshaonana na madaktar wa kawaida na specialist na kufanyiwa vipimo hadi MRI bila nafuu.
Umri haionyeshi tatizo...
Waungwana hivi ni kweli soda aina ya Coca-Cola inaweza kumsababishia binti asipate ujauzito pale tu atakapoitumia endapo atakuwa amekutana na mwanaume siku za heri za ujauzito?
habar wakuu naombeni mnishauri, tangia jana nmekula vitunguu swaumu vitatu na punje zaidi 40 kwamara moja, lakini masaa matatu baadae hapa kifuani nahisi kuna kitu kimekwama kama kinataka kutoka...
WATOTO 1000 wanaozaliwa kila siku nchini watatu wanazaliwa wakiwa na matatizo ya ulemavu wa kichwa kikubwa na mgongo wazi idadi ambayo imeelezwa kwa mwaka inafikia watoto 4800.
Takwimu hizo...
Habari za wasaa huu ndugu zangu
Nahitaji kufahamu kuhusu supplements za kugain weight maana niko underweight mno. Kutokana hali ngumu kiuchumi Kwa kweli kupata diet kamili yenye masotojo yote...
Habari wakuu, mbona kila siku zinavyozidi kwenda naona uume wangu unapungua ukubwa, kengele nazo vikokwa vya ndani kama vimejibonda bonda nakingine zaidi shahawa zangu sasa zimekuwa nyepesi kama...
Kwanini mwanamke wanaweza kuwa HIV bila kuwa na UKIMWI ?
Je, umewahi kusikia mwanamke ana HIV positive ila mwanaume (mpenzi) hana maambukizi ya HIV ?
Au mwanamke alipobeba mimba (ujauzito)...
1)Kuana aina ngapi za dawa za kuongeza Uume?
2) Je hapa Tanzania zipo? kama ndiyo zinapatikana wapi?
3) Nini madhara yanayosababishwa na kutumia dawa za kuongeza Uume?
4) Kuna limitation ya kiumri...
Tatizo langu ni pale ninaposhikwa na haja ndogo, nikichelewa kidogo tu inatoka bila ruhusa yangu, na inajirudia hata nikitoka muda huo huo msalani narudi tena. Hapa unatoka (kidogo) kwa maumivu.
Juzi jumapili nilikwenda kupima HIV katika maabara moja hivi! Yule lab technician alinipima moja kwa moja kwa kutumia kipimo cha unigold!! Mimi nafahamu kuwa kwanza hutumika SD Bioline HIV 1/2...
Wearing underwear to bed is bad for your health, according to a gynaecologist.
Dr Alyssa Dweck said wearing pants in bed can increase the risk of infection.
She told Shape magazine: “I often...
Je ni kawaida mtoto akiwa anataka kunyonya kila wakati? Mwanangu ana mwezi mmoja tu lakini kasi yake ya kunyonya kila mara inatisha,je hii ni sahihi?
Alafu kulala kwake ni mara chache mno
Uzuri ni...
TEXT NECK SYNDROME
huambatana na
1. Maumivu ya misuli ya shingo
2. Maumivu ya kichwa
3. Maumivu ya bega
4. Ganzi sehemu za mikono
endapo tatizo litapokuwa kubwa
CHANZO CHAKE
Mikao mibaya...
Habari waganguzi wetu kama kichwa cha chapisho kinavyosema, mimi ni kijana ninamke na ameshika mimba yake ya kwanza kwasasa mimba ina mwezi wa tatu na kila anachokula anatapika mpaka sasa anahisi...
Kuna mtu ambae ni HIV+ anaishi China, anatumia dawa za kitengo. Amekuja likizo Tanzania aliwafahamisha ndugu wa karibu tatizo lake. Wakati huo CD4 level zake zilikuwa kati ya 450-480. Ni bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.