Hello JF doctors, naombeni msaada kwa anayejua hospitali nzuri DSM ninayoweza kupata daktari mzuri wa sonona! Msaada wenu ni wa muhimu sana kuinusuru afya yangu. Asanteni.
Habari zenu wakuu.
Natumaini wote ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu yenu
Ninasumbuliwa na maumivu ya macho ,na hii hali hutokea pale ambao nikitembea kipindi ambapo jua hua Kali...
Wanawake baadhi hawapendi kununua “pregnancy test” kwenye maduka ya dawa,
wengine pia mara nyingine hawamudu kununua kipimo hicho,
na wengine wanapenda tu kujihakikisha vipimo vyao hasa kwa...
Nasumbuliwa na maumivu ya kichwa karibu mwezi wa pili, Maumivu hayo yanakwenda sambamba na maumivu yashingo pamoja na masikio kwa mbali muda mwengine.
Nimejaribu kwenda kituo cha afya cha karibu...
wakati wa kutailiwa huwa wataalamu wanakikagua kile kitundu kama kipo katikati au upande upi.
swali langu, side ya hicho kitundu inamaana gani kukaguliwa.
wasiokielewa iangalie mashine yako utakiona
Wadau habari za kuamka... Me napenda kujua, ikiwa umefanya mapenzi na mtu afu mmojawapo akachubuka wakat wa tendo uwezekano wa kupata Ukimwi upo hapo ikiwa mmoja ameshaathirika?? Nazungumzia ikiwa...
Tuangazie afya ya akina mama (dada ) zetu hawa.
Leo nitazungumzia suala la kutokwa na damu kwa muda mrefu au kuingia hedhi inayodumu kwa muda mrefu sana.
Kuna magonjwa yanayosababisha hilo...
LEO kwenye safu yetu ya tiba kwa chakula tutaona jinsi ya kutibu gesi nyingi tumboni tatizo ambalo uwakumba wengi, wapo wanaodhani kuwa na gesi tumboni ni sababu ya vidonda vya tumbo si kweli...
MAAJABU YA ASALI YA NYUKI WADOGO KM HUYAJUI PITIA DAKIKA 2
Asali ya nyuki wadogo/wapole(stingless bees' honey) imekuwa ikitumiwa toka enzi za mababu zetu kama chakula na tiba kwa maradhi...
Habari wanajamvi?
Jamani kwa wale ambao mara nyingi tumeumwa ama kuona ndugu au jamaa au marafiki wakiwa wamelazwa utaona wanatumia ile inaitwa "kanyula" ili drip iingie kwa mishipa.Au kama...
Habari zenu wakuu,
Nilikua naomba msaada wa kujua dawa zipi ambazo zinaweza kutibu minyoo ambayo tayari iko kwenye damu. Maana nilienda hospitali nikafanya kipimo cha full blood picture...
Saratani ya Matiti ni ugonjwa maarufu sana katika kuwapata Wanawake japokuwa unaweza kutokea kwa Wanaume ila ni nadra sana ikilinganishwa na Wanawake
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO)...
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.
Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye...
Wakuu ni mwezi Sasa Kila siku ninakula karanga robo kilo ,nimejikuta naongezeka mindevu Kama Osama
Je ni nn kipo kwenye karanga kinachopelekea ndevu kujaa?
wakuu poleni na majukumu nimeleta uzi huu nikiwa naimani wahusika wapo ambao wanatumia jf
Wilaya ya chunya ni moja ya wilaya kongwe Sana apa nchini lakini chakushangaza hospitali yetu haifanyiwi...
Habari,
Nina mpenzi wangu ana mtoto wa miezi 11. Kuna shida imempata wakati wa hedhi yake kwani anatoka mabonge meusi ya damu halafu usiku tumbo linamuuma sana upande wa kushoto chini ya kitovu...
Habari zenu wapendwa,
Natumai mwaendelea vema na kurudumu la maisha haya!! Ila mimi kijana mwenzenu maradhi yameuteka mwili wangu.
Historia ya ugonjwa wangu ulivyoanza.
Nimekuja hapa mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.