Salaaam waungwana
Msaada Tafadhari[emoji120][emoji120][emoji120];Nina tatizo kwenye ngozi ya mwili wangu,badhi ya maeneo yamepoteza rangi yake yamekuwq na rangi mpaka nywele nazo zimekua kama...
Wakuu,
Nauliza, eti hivi kuna mazoezi bora ya mwili kama kukimbia?
Mi nimejaribu kufanya mazoezi ya aina mbalimbali ila nikagundua kukimbia ni bora kuliko mazoezi mengine yeyote kwa afya ya...
Nina mpenzi wangu ana hamu ya mtoto sio masihara na bahati nzuri au mbaya kakutana na mimi mpenda watoto.
Ila bahati yetu sijui mbaya au nzuri tunakwichi kwichi ovyo hadi danger days ila hamna...
Habari wana jf jukwaa hili, mimi nina mchumba wangu naamini ndo atakuja kuwa mwenza wangu nilimtoa bikra mwezi uliopita na tukaendela na tendo ila shida yake ni moja huwa anasema anapata maumivu...
Kama nilivyoelezea kwenye mada zilizopita, mchezo huu unatumika sana katika mapenzi ya sasa, watoto wa mjini wana usemi wao kwa kitu kilichovuma kuwa ‘ndiyo habari ya mjini’
Mchezo huu umekuwa...
Wakuu na wajuzi naombeni ushauri juu ya hili tatizo wakati wa tendo analalamika kuhisi pili pili kuta za nje za uke hata kama maandalizi kabla ya tendo yamekuwepo. Pengine akasema ni muda wa miezi...
'Linea nigra' (mstari mweusi"), ambao mara nyingi hujulikana kama mstari wa ujauzito, kwa kawaida unaoonekana kwenye tumbo. Ni mstari unaopita wima katikati ya tumbo kutoka eneo la chini hadi...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikijishika uume wangu nauhisi kama umekuwa mkubwa kuliko miaka ya nyuma toka nilipokuwa mdogo nakiri nilipokuwa mdogo na hata nakumbuka miaka 12 iliyopita uume...
Tendo la ndoa ni mazoezi mazuri, unatumia misuli yako yote kulingana na mkao (Position), shughuli zinazohusika (activities engaged) na mfumo wako wa moyo unapata mazoezi bora. Hii inaunguza kalori...
Naomba kujua ni hospital gani ambayo inayo icho kipimo na cost ake ni tsh ngapi ? Kwa sasa nipo mafinga ikiwa hospital ya jirani na nilipo itafaa zaidi
unprejudiced
Hakuna Majournalist Tanzania wote ni walala hoi. Mambo ya wakina Menina ndizo story zao.
Wakina Millard Ayo na wakina Mayalla ni wapuuzi watupu. Kazi zao ni kuandika mambo ya udaku...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Kila Mara ninapofanya mazoezi ya viungo asubuhi nikimaliza nasikia kusinzia.Leo hali hii ilinitokea pia nikaondoka kwenda kutembea ili usingizi...
Kuuliza si ujinga walisemaga wahenga.
Hivi harufu ya ushuzi (hapa nazungumzia ushuzi wa mtu mwingine na si wa kwako mwenyewe) ina madhara yoyote ya kiafya kwa binadamu?
===========
July 14...
Wakuu samahani naomba kuuliza.
Nina girlfriend wangu alikaribia siku za hatari tuka-sex baadaye akajua yuko siku za hatari nikamuwahi na P2 ndani ya masaa sa 72, sasa tangu jana anakojoa mkojo wa...
Habari za SAA wana jF nilikua ninashida .Leo asubuhi nimeamka nkajikuta nmetumia mswaki wamwenzangu pasipo kujua sababu inafanana nayeye nimgeni alikuja tuu Jana alafu kutokana namaisha yasasa...
MAJI YA UVUGU VUGU
TAFADHALI SAMBAZA KWA FAMILIA NA MARAFIKI, NI MUHIMU NA INAWEZA KUOKOA MAISHA YA MTU.
Jopo la madaktari wa kijapani limethibitisha kwamba maji ya vuguvugu yana uhakika wa...
Ndugu wadau, mdudu wa kucha na vidonda vimekuwa ni tatizo sana siku hizi, na wengi wana taabika sana mimi nina dawa ya tiba asili ya kutibu mdudu wa kucha na vidonda na vidonda sugu nimesaidia...
Saratani (cancer) hushambulia chembe hai za mwili na huenea kwa kasi au taratibu.
Maajabu ya saratani ni kuwa haichagui mzee, kijana au mtoto. Tajiri au masikini, rangi au kabila. Saratani ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.