Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Tukiwa katika zama ambazo magonjwa ni mengi, kupokezana kilita kiafya imekaaje? Maana unakuta watu midomo ipauka na kukatika tunazungusha kilita bila tatizo. Kiafya hapo vipi?
1 Reactions
2 Replies
890 Views
Habari wakuu, nina ndugu tangu ana shida eczema(pumu ya ngozi) naomba kujua wapi tutapata speciliast mzuri na bei zao maana hatuna bima. napatikana Dar
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nasumbuliwa na ninapokula dagaa au samaki kibua mwili unawasha na kutoka vipele naembeni kujuzwa dawa gani inanifaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salam wanajamvi, moja moja kwenye hoja. Nina bwana mdogo ni HIV+ kwa sasa ana miezi 3 tangu aanze kutumia dawa za arv, kwa upande wa afya anaendelea poa sana, coz kabla hajaanza dawa alidrop...
4 Reactions
71 Replies
7K Views
Habari zenu! Tafadhali naomba msaada wa ushauri. Nina ndugu yangu (wa kike - miaka 50) ambaye ni mwathirika wa UKIMWI (miaka kama minne sasa toka apime). Shida ni kuwa huwa hataki kunywa dawa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari Kuna haya matatizo mawili ambayo hayajazungumziwa sana na mimi ningeomba kueleweshwa au shuhuda mbalimbali za namna ya kupona maana haya matatizo ya aina hii yanaonekana kusumbua watu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu madaktari anayeifaham nkinga hostal nataka kwenda kufanya internship
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF,siku za nyuma nishawahi kuandika hapa uzi unaohusiana na tatizo langu la kutokushika mimba mbali na kuwa sijawahi kutumia dawa yoyote ya uzazi wa mpango nimehangaika kwa...
3 Reactions
150 Replies
23K Views
Wakuu habari ya siku,naombeni maana nimekuja kwenye jukwaa mahususi,niende moja kwa moja kujieleza,mim(Me)ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno hasa wakat wa kuamka(muda wowote ktk maana ya nikilala...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba anayefahamu zinakopatikana dawa za anxiety disorders anisaidie. Ninasumbuliwa na tatizo la bipolar disorder na anxiety, linanifanya nakuwa na hasira sana hata kwa vitu...
3 Reactions
115 Replies
17K Views
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu.Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi,vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika...
4 Reactions
3 Replies
22K Views
Nina ndugu yangu anaishi mkoa Tanga wilaya ya Mkinga ameumwa na Paka tumetafuta dawa hadi Hospitali ya Bombo hatujapata, tukaambiwa tujaribu Hospitali ya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Wasalaam Wapendwa.. Naamini niko kwenye jukwaa sahihi.. Niko kwenye ndoa changa..Tangu tufunge ndoa na my lovely wife hatujawahi kuenjoy tendo la ndoa..She's a virgin..And every time when i try...
6 Reactions
202 Replies
119K Views
Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku,nimekuja mbele zenu nina tatizo naomba ufafanunuzi na ushauri. Nina mpenzi wangu amepata tatizo ghafla na sasa ni takribani miezi tisa sasa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Asalam wanataaluma nina pata maumivu makali ya misuli ya sehemu za mwili zifuatazo i> mikono- mikono inauma hata nashindwa kunyanyua ndoo ya maji kidume mwenye ndevu zangu. kwa mfano nikirusha...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Nina zaidi ya wiki sasa napata maumivu ya kama kitu kinachoma ndani ya koo upande wa chini.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Nina mdogo wangu kachaguliwa diploma in Clinical medicine sasa tunahitaji tufahamu duka linalouza vifaa vilivyohorodheshwa kwa upande sijui hayo maduka yako wapi. Naomba msaada wenu
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini!! @Jf Doctor Naomba msaada wa ushauri kabla sijaenda hospital kwa ajili ya vipimo na kumuona daktari.. Nipo Dar Es Salaam mwaka wa 7 sasa, nimekuwa nikipata hili tatizo, kila...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
naomba ushauri wana jf, katika familia yangu tumejaaliwa kupata mtoto wiki tatu zilizopita. ila mtoto tumbo linajaa gesi na mtoto anasumbua sana usiku wote. naomba ushauri wenu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom