Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu salaam, Hili tatizo la kutoka vidonda mdomoni, lina miez sasa huwa natumiaga vitamin B12 huwa vinaondoka baada ya siku kadhaa vinarudi Hasa vinatokea kwenye ulimi na lips, hadi kula...
0 Reactions
17 Replies
36K Views
"Nimeachana nae mwanaume gani ana mbegu nyepesi kama maji" Aliniambia mke wake.. Mke alidai,, "aliwahi kuwa na mwanaume kijijini alikuwa anafanya nae mapenzi hata Masai mawili na mbegu zake za...
4 Reactions
40 Replies
10K Views
naomba kujulishwa bei ya kufanya ct scan muhimbili
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Kwanza naomba nitoe shukrani zangu kwa wana JF, hasa waliotoa maoni na hata waliopitia (waliosoma) taarifa niliyoitoa jana hapahapa ndani ya JF Doctor. Nasikitika kutangaza kifo cha Bwana Mdogo...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari wapendwa naenda moja kwa moja kwenye nasumbuliwa na tatizo la nakuwa na hamu ya kula lakini nikiwekewa chakula mezani nakula kidogo na kutapika. Nimeenda hospitali nikacheki malaria Sina...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mdogo wangu anasumbuliwa na maradhi haya mnayoona kwenye picha tokea akiwa na umri wa miaka nane (8). Na sasa hivi ana umri wa miaka kumi na nne (14). Huvimba ngozi yake mikononi na kutunga...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tunaelewa kuwa moyo kazi yake ni ku pump damu safi kwenda sehemu zote za mwili na kupokea damu chafu na juu pump iende kwenye mapafu. Moyo unaweza supply yake ya damu, mirija yake inaitwa...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu mabibi na mabwana! Mwenzangu alijifungua kwa njia ya operation, sasa kwenye stori za hapa na pale juu ya kuongeza watoto wengine, amekuja na hoja kwamba ukijifungua kwa operation na...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Natumai hamjambo. Mke wangu ana hilo tatizo. Na namna nilivyofatilia nahisi inatokana na maambukizo kwenye via vya uzazi. Hospital Alishaenda akapewa dawa za gharama Kuw ni fungus sugu, Lkn...
1 Reactions
52 Replies
15K Views
Wanabodi kuna mtu anasema ,Tanzania imebarikiwa san kuwa na MTI HUU WA MVUNGE. Pia anasema huu mti kwanzia mizizi ,Magamba, Majani mpaka matunda yake ni TIBA muhimu kabisa. Kwa mwenye kuufahamu...
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Wakuu kwema, Suala lililonileta hapa ni kuhusu mama yangu ambae anasumbuliwa na magonjwa haya mawili KISUKARI NA PRESHA. Mwezi huu alikwenda hospitali ikawa presha iko juu sana na ikabidi...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Salam ndugu. Nina mzee wangu ambaye ana tatizo la tezi dume. Nahitaji kujua gharama za upasuaji kwa wanaofaham. Ningependa kujiandaa kwani hali ya kifedha sio nzuri na hana bima. Natanguliza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu. Ni matumaini yangu mko bukheri kabisa. Kama kichwa kinavojieleza nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo nadhani ni tangu nilipojitambua. Kuna kipindi nikitaka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina mtoto ana miaka miwili na miezi minne jinsia ni wakiume,hawezi kuunga sentensi anaita mama,baba na anko tuu lakini,kwa mtoto wa jirani ambaye ana miaka 2 na miezi mitatu yeye anaweza...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mtt wng anaumri wa miaka 3 na nusu, lkn alipofikisha miaka 2 alianza kusumbuliwa na tatizo la kupumua kwa shida, na kukoroma km mtu mzima ucku anapolala, na mby zaidi anatokwa na kamasi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi ni mume na nina mke na mtoto mmoja na ninaipenda sana familia yangu kupita maelezo nampenda mke wangu sana maana ameniletea mtoto mzuri na sasa ana umri wa miaka miwili mwenye afya tele. Mke...
2 Reactions
13 Replies
15K Views
Ukimnyonya busu mwanamke akiwa amepaka Lipstick jiandae kuwa na tatizo la figo (disorder),Uvimbe kwenye mapafu na Tumbo maana kwenye Lipstick kuna vyuma vya cadmium, aluminum, chromium n.k ambayo...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Please wapendwa naomba msaada maana naona nimefika mwisho, Sitaki kuja nikaingiwa na mawazo ya kijidhuru au kupata pressure. Moyo wangu una majeraha makubwa sana nipo kazini but natamani hata...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Aseeeh anaefahamu tiba ya vile vikitu kama kinyama iv kinaota sehem za siri za mwanaume hasa kwenye shina la uume niliambiwa ukikifunga uzi kina katika ila chaajabu baada ya muda kina ota tena...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom