Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nimejaribu kusoma article nyingi za afya kuhusiana na madhara ya punyeto sijawai ona punyeto inasababisha matatizo ya nguvu za kiume. Sema sasa ukiingia Instagram na Facebook aiseee utakutana na...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wataalam habari za usiku huu? Baada ya kukaa na mwanamke kwa miezi sita matokeo yakiwa bila bila tuliamua kwenda hospitali fulani ya binafsi kufanya vipimo, majibu yalikuwa kama ifuatavyo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa nahisi nimezidiwa na hormone za wenzetu wa upande wa pili. Nahitaji msaada ni hospital au centre gani Moshi au Arusha inaweza kunisaidia kutibu au dawa, maana napata tabu mno. Nipo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Najua humu wataalamu wa masuala ya afya wamejaa na kwa uwezo wa Mungu mtanipa ABC's. Ni hivi mke wangu ana mimba ya wiki 10 sasa ila analalamika sana maumivu ya tumbo kuzunguka kitovu tumeenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Utafiti mmoja wa kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupita vifo vinavyotokana na kunenepa kupita kiasi ni mara tatu zaidi ya vifo vinavyosababishwa na kukosa chakula...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Mwanzo nilikuwa namwaga mapema ndani ya dakika 1 then naendelea tena kudoo bao la pili naenda hata lisaa lizima sijamwaga mpaka mwanamke anataka kukimbia. Sasa nikataka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Matunda ni moja ya vitu muhimu kwa ujenzi wa mwili wa binadamu, kwa sababu yanavirutubisho vingi vinavyosaidia mwili kuwa na afya bora na miongoni mwa matunda hayo ni embe. Tunda hili lina ladha...
2 Reactions
6 Replies
8K Views
Habari wanawake wenzangu, Poleni na majukumu, leo nimependa niwaletee huu ujuzi kidogo ambao nina ushuhuda nao, niliona post sehemu nikajaribu na ikanipa majibu ndani ya siku 3. Kuna wanawake...
7 Reactions
35 Replies
21K Views
Leo asubuhi jamaa kanipigia simu nikawa naongea huku nakula nanasi. Jamaa kasema naona ndio unakunywa chai nikwambia ndio hapa napata tunda langu adimu nalolipenda la nanasi. Kasema okay ila...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Hili limekuwa tatizo sana hasa huku Kanda ya Ziwa. Nini tiba au kinga ya hili tatizo la kutoka harufu mbaya puani hasa kwa wanaume?
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwaza kabisa nigaependa kuwasalimu wote wapenzi wa jukwaa hili. Ni kipindi kirefu sana hatukutani humu, lakini hii ilitokana na mimi kuingia katika majukumu ya kiume; nilifanikiwa kupata mke na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau naombeni ufafanuzi huu. Ikiwa mwanaume kasimamisha anaingiza uume kwa mwanamke baada ya dakika 5 anakojoa. Je, hii tuhesabu kwamba ana upungufu wa nguvu za kiume? Na kwa matatizo kama haya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nasumbuliwa na tatizo la mishipa ya taya kubana pembezoni mwa masikio, mpaka kichwani kwenye utosi na kwenye kichogo. Hali inasababisha wakati wa kupiga mihayo nipate maumivu kwenye taya na muda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ufanyaji kazi wa uume unategemea ushirikiano wa vitu vinne katika usawaziko sawa; mfumo wa neva za fahamu, mfumo wa homoni, mfumo wa mishipa ya damu na mfumo wa akili na saikolojia. Ili uume...
6 Reactions
8 Replies
6K Views
Tiba inategemea na chanzo chenyewe, vyanzo ni tofauti.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, kuna mtoto amezaliwa mtaani kwetu, kwa bahati mbaya mama wa mtoto huyo haruhusiwi kumnyonyesha mwanaye kutokana na sababu za kiafya. Je, anaruhusiwa kupewa maziwa ya ng'ombe au uji...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau , msaada kwa anayefahamu hospital nzuri tunapoweza pata vipimo vya Autoimmune kwa mji wa Arusha na wanatumia Bima za Afya.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilianguka kwa bahati mbaya mfupa wa nyonga unacrack na pia unaminya mshipa wa damu unaoenda mguuni. Sasa nina wiki ya tatu maumivu yako pale pale hususani chini ya goti kwa nyuma. Naomba mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasalaaam. Ni miezi 9 sasa toka nijifungue mtoto wangu. Sasa sijawahi kubleed kabisa. Na nimeishia Hofu nisije nikapata mimba jamani maana naendelea kukutana na mwenzangu kwa tendo la ndoa kila...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari za wakati huu, Kuna mpendwa wangu (mama) kapatwa na tatizo la mfupa mdogo kuota kuelekea kwenye kiganja cha mguu, hali inayosababisha kupatwa na maumivu makali pindi anapotembea au...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom