Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari waungwana! Niende moja kwa Moja kwenye mada. Kwa siku za hivi karibuni kuna tatizo LA Mimi kupigwa na shoti km ya umeme nikigusana na net ya kitandani na inauma kiasi na pia inanisababishia...
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Habari... Naomba nisaidieni tatizo itakuwa nini..mwili umevimba kila mahali kasoro miguuni na usoni
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanajamii Napenda kuuliza ni nn huwa chanzo cha mimba kutungwa nje ya kizaz kwa wanawake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwanza natanguliza shukrani kwa kuwa Naona jinsi michango ya hali na mali kama inavyoo onyesha Naomba msaada kama kichwa cha Habari kinavyoo onyesha, ndugu wana jamvi kijana wangu...
0 Reactions
65 Replies
31K Views
Msaada tatizo la uume. Kwanza mke wangu alikua na *U T I* Ametibiwa kapona ila mimi kuna tatizo kwenye uume kwanza unaota vipele vyeusi ambavyo havitoki halafu leo nimejichunguza kwenye tundu la...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Samahan waungwana Nina tatizo kurekebisha koo/kukohoa kwa kuhisi Kama nna kikohoo lakin sivyo.nimepima afya iko njema kifua Safi nikapewa dawa ikatulia kidogo lakin Tena Hali imejirudia.shida...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Kuna jambo moja huwa, nashangaa sana. Kama sio kutaamaki. Hii imetokea mara kibao tu na jambo la kunishangaza ni kwa wanaumee. Unakutaa umekaa fresh mnapiga story mbili...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mrs wangu ana ujauzito wa miezi 6, juzi akisumbuliwa na tumbo La kuharisha ikabidi nimpeleke hospitali ya private Daktari akashauri afanyiwe Vipimo, ambapo hakukutwa Na Malaria, wala UTI...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo. Ni kwamba mke wangu kajifungua ni siku ya tatu sasa hatoi maziwa hata tone. Yamegoma kabisa kutoka. Kwa sasa mtoto anapewa maziwa ya Lactogen 1. Nina...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu tatizo la MTU mwenye umri kuanzia 18- 45 kuwa na damu nyingi mwilin kupita kiasi husababishwa na nini? na nn matibabu yake?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF n wiki mbili sas Nimekuwa nikisumbuliw na korodan zinauma mnooh yan nikizishika 2 zinauma sana na nikizikun ndo kaxhexhe Nilikiw naomba ushaul nn cha kufny au n tatizo gan
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu, Nilienda zahanati moja kupata chanjo ya homa ya ini! Kwanza waliambia lazima nipime homa ya ini!! Wakanitoa damu, katika kupima kule akapima na HIV kwani nilimwona anatoa test...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mrs wangu ana ujauzito wa miezi 6, juzi akisumbuliwa na tumbo La kuharisha ikabidi nimpeleke hospitali ya private Daktari akashauri afanyiwe Vipimo, ambapo hakukutwa Na Malaria, wala UTI...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu moja kwa moja kwenye mada,. nimekuwa na tatizo yani kati kati ya mapaja ambapo zile mbegu mbili zaegemea(zinapumzikia)naona kuna alama fulani imejichora na kisha huwa nikiwasha hutoka unga...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Jamani hivi ni sahihi kwa kojic acid kuwekwa kwenye vipodozi?? Hii ni miongoni mwa vitu vinavyong'arisha ngozi Hydroquinine,steroid wote tunajua hivi viambata sumu hatari Vipi kuhusu kojic acid?
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari wapendwa madaktari.. Nilipata stretch marks (mazimola) tumboni na mapajani kwangu mara baada ya kubeba ujauzito.. Nimeshauriwa kuwa kuna vidonge vinaitwa vitamin E capsules vya kijani...
1 Reactions
7 Replies
18K Views
Kuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali. Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza hivi supplements za Zinc 50 mg zinasaidia kupadisha low testosterone ?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Nina mpenzi wangu ambaye amejifungua miezi mitatu iliyopita lakini tangu ajifungue kumekuwa na tatizo la mtoto kulia kila saa bila sababu. Nilimshauri aende hospital lakini...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nina siku ya nne leo,kila nikimeza mate koonkwa upande wajuu yaani puani napata maumivu makubwa. sasa sijui tatizo ni nini? naombeni msaada wenu ndugu zangu.
0 Reactions
5 Replies
22K Views
Back
Top Bottom