Habari zenu wanajukwaa,natumaini neema ya Mungu ingalipo nanyi.
Nimepata kusikia kuna mmea/mzizi kwa jina la jinseng unamaajabu katika tina yaani ni multifunction kwenye afya zetu.
Swali je...
[emoji269]FAIDA ZA KOMAMANGA[emoji269]
[emoji298]1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa
[emoji298]2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo
Lina uwezo wa kuondoa Cholesterol mbaya ijulikanayo...
Wana jamvi habari za Jumapili,
Ndugu zangu nipo na msichana yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.
Mwanzoni sikujua...
Wakuu salam,
Kuna bi mdada nilikwichi kwichi nae tatizo bi mdada kumani kumepoa balaa... Mzee baba nilipiga hadi nikachoka bila kumwaga.
Ilibidi nianze kuvuta hisia kwa demu wangu flani hivi...
Habarini wakuu, nahitaji msaada wa kisaikolojia naomba yeyote aliyopo korogwe au anayemfahamu mwanasaikolojia anipe contact zake, nina tatizo la stress siku ya tano sasa silali vizuri nipo kwenye...
Wakuu natanguliza shukrani!
Ninatatizo ambalo limeibuka takribani wiki moja ilopita na bado linaendelea, mwanzo niliona kama kitu cha kawaida nikapuuzia ila sasa imekuwa kero sana.
Ni hivi, jicho...
Niliiskia hii habari mwaka huu kwamba unaweza kujifungua bila uchungu tena ukiwa unaangalia TV au hata ukisoma gazeti kwa hii process ya epidural.
Ila pia nasikia ni gharama sana kwa wale wenye...
Ingawa WHO waliweka alcohol guidelines kuwa units 21 kwa wiki kwa mwanaume, idadi ya watu wanaoathirika kwa kunywa pombe inaingezeka na serikali zinaishia kubeba gharama za matibabu.
2016...
Wakuu Habari za wakati huu
Nina rafiki yangu wa kike mwenye umri wa miaka 26 ambae sio mjamzito wala haja wahi kabisa kushika mimba wala kuzaa mtoto .. cha kushangaza matiti yake yana toa maziwa...
Ndugu zangu Habari! Wataalam naomba tena msaada wenu juu ya tatizo moja ambalo linamkabiri kaka yangu ambaye ana umri wa miaka 40 lakini hivi karibuni aligundulika kuwa ni HIV +. Lakini sasa...
Habari wanajamvi. Naamini niko sehemu sahihi ya kuweza kupatiwa msaada wa tatizo langu. Wife amejifungua kama mwaka mmoja hivi, sasa kuna nyama imeota kama kamkia katika sehemu ya haja kubwa. Mimi...
Wakuu habari ni naomba msaada wa maelezo maana leo ninampeleka kitimoto kibla sasa nataka kujua ili kuzuia mimba zisizo tarajiwa maana sina mpango wa kutumia condom sasa kunaile dawa inaitwa PT...
Habari wana jf nimefungua mada hii ili tukutane au hata kama una ndugu mwenye tatizo la kutokusikia(kiziwi)ukubwani ili tuweze kupeana dalili za ugonjwa(ulemavu)huu ili tuweze kuokoa wengine...
Wakuu husika kichwa cha habari hapo juu .takribani miaka miaka mitatu sasa tangu hili tatizo linikute. Kama kuna tiba au madhara hasa msaada wakuu.nimekuwa sipo huru kufanya mapenzi...
Hello wakuu, tafadhali kwa yeyote anaejua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina na acupuncture. Naomba anisaidie maelekezo ya mahali ilipo na huduma zao hasa magonjwa ya kina mama. Msaada...
Ndugu zangu wana JF nmekua nikisumbuliwa na tatizo la tumbo tangu 2005, tumbo limekua likiniuma kwa maumivu makali sana kwa nyakati tofauti.
VIPIMO/ TIBA
Nmepima vipimo mbalimbali katika...
Sio fangus, hii kucha inachomoza ikiwa hivyo inavyoonekana. Mara nyingi ni kidole gumba na hiki cha kati. Pia mguu wa kulia kidole cha kati huwa kinapata hili tatizo japo kwa sasa halipo.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.