bofya link[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] link hapo juu kuangalia video na kujifunza kuhusiana na ganzi miguuni na maumivu ya mgongo
usisahau kusubscribe kwenye channel ya physioplus_dar...
Bango linajieleza wadau napenda sana kahawa hasa ya kienyeji nikishakunywa tu hapakaliki home wife sometimes akiona nakunywa anasepa kokote.
Kinachotokea nakosa subira no excuse hapakaliki hii ni...
Ilianza kama utani tu nikiwa nimekaa mwenyewe chumbani kwangu wakati nimeingia kwenye mitandao ya kijamii kuchati na kusoma yanayoendelea humo, ila baada ya muda nikaona mbona hamna jipya humo...
Jana niliweka topic hapa inayohusu chanjo ya Hepatitis B. Maswali yamekuwa mengi PM na mimi muda wa kumjibu kila mtu sina wakuu.
Basi naomba niweke majibu hapa japo wenzangu watajazia. Hepatitis...
Naombeni kwa mwenye uelewa anisaidie.nateseka sana kuna muda vinawasha sana. Nimeenda hospitali mara kadhaa ila bado sijapata nafuu.mnisaidie ndugu zangu.
Leo nililazimika kumsindikiza mke wangu hospital kupima mimba kwa ultrasound. Alipohudhuria clinic Mara ya mwisho nurse alisema mke wangu anaongezeka kilo kwa kasi sana, na Umri wa mimba hauendani...
Ndugu zangu,
Muamini au msiamini mimi nilikuwa muhanga wa punyeto na kupungiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
Lakini kuna thread mbili zilikuja humu moja ni kuhusu kitunguu maji, mkaa, mkate na...
Habari Wana JF.
Kwa majina naitwa Sara...
wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant...
Tarehe 27...
Wakuu salaam
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.
Naomba kuuliza Hospitali gani nzuri kwa kupima magonjwa ya tumbo kati ya IKONDA na zile za Dar es slaam kama vile Regency, TMJ...
Wakuu, naomba kuuliza dawa za UTI zinaweza kubadili MP, maana huyu mke wangu aliugua UTI akatumia dawa mwezi wa nane tarehe 10, akatumia amoxyclav, sasa alitakiwa aingie MP tarehe 24/08/2019 na...
Habari wana jamii
Nmeanziasha uzi huu mahususi kabisa kwa mafund sanifu wa vipimo vya magonjwa ya binadamu.
Hawa wanapatikana kitengo cha maabara ukienda hospital
Ni watu muhimu ingawa jamii...
NJIA ASILI YA KUPUNGUZA UKUBWA WA MIKONO,MATITI NA TUMBO
[emoji522]Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini
[emoji522]Leo tutavitumia viungo hivi...
Hello Jf
ARV stand for Anti retroviral and literally mean drugs against HIV that cause human immunodeficency syndrome (AIDS)
The following are know benefits of using ARV
1:It reduce the HIV...
Wakuu na wataalamu,
Je Mwanamke ambae amekuwa akishiriki anal sex na mpenzi wake, Je anaweza shindwa kujifungua?
Je anal sex inaweza msababisha akashindwa kusukuma mtoto?
Wataalam na wanawake...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 sasa. Mnamo mwaka 2002 nilipokuwa form II nilianza kusikia kaharufu flani hivi kabaya kabaya kanatoka kwenye mwili wangu kaharufu ka uvundo sio uvundo mkojo sio mkojo...
Hii ni mada ya madocta waliosoma tena wakaelimika, hivo ngumbaro piteni hivi
Inasemekana huu ni ugonjwa ambao unamuwehua mtu bila kupenda, yaani unajikuta kichaa bila kupenda paranoid shizophenia...
Makala hii imeletwa kwako na AFYA ZAIDI CONSULTANTS, Wataalam na washauri wa afya na vipodozi. Kwa elimu na ushauri zaidi tafadhali tembelea website yaowww.afyazaidi.org
Kuwa mjamzito ni kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.