Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mama anashauriwa kumnyonyesha mtoto wake maziwa pekee kipindi chote cha miezi 6 ya mwanzo. Mtoto atakapofikisha miezi 6 ndipo amuanzishie vyakula vya nyongeza huku akiendelea kumnyonyesha...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukimwi upo na bado hauponi lakini mwaka 2008 ilikuja break through kubwa kwa wagonjwa. Dawa za ARV zlionyesha uwezo wa kumaliza vidudu vyote vizungukavyo kwenye mfumo wa damu. Wanaita kufubaza...
11 Reactions
27 Replies
6K Views
In the ages between 45 and 55, menopause occurs. At this time, particularly in the progesterone and estrogen, menstrual cycles are finished and levels of hormones are dropped.During menopause, you...
1 Reactions
61 Replies
15K Views
Kwa nini watoto wachanga wanalia? Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya njema kabisa wanaweza kulia kwa jumla ya wastani wa kati ya saa moja mpaka matatu kwa siku. Kwa...
6 Reactions
15 Replies
28K Views
Kama wiki hivi napata maumivu ya maeneo ya kitofu kwa chini ni kama maeneo ya mavuzi kwa ndani hali inasababishwa sanasana na mazoezi ya mchezo wa mpira ,maumivu yanazidi zaidi ninapokuwa uwanjani...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Mimi ni mtumishi wa umma kada ya Afya, nafanya kazi katika mkoa wa Njombe karbi na mji wa Makambako. Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kwa yeyote aliepo kati ya mikoa hii;- >Mwanza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndg zangu habari za kazi,Mimi nina tatizo la kuhis naumvu wakat wa kukojoa,pia pale mkojo unapokuwa unaishia ishia mwishon naona matone ya damu,hili shida itakuwa ni nini,na matibabu yake yapoje...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu JF Dr. Mimi na mpenzi wangu ambaye nimemfundisha kusquirt na sasa ni mtaalamu wa hali ya juu. Kwa hivi sasa ni mjamzito, je kuna madhara yeyote akiendelea kusquirt wakati wa ujauzito wake...
0 Reactions
49 Replies
16K Views
Ninakumbuka nikiwa mdogo, bibi alitukataza kula nyama ya ng’ombe ukiwa na mafua. Alisema inaamsha khambaku. Ukubwani nimekuja kugundua kuwa red meat, dairy products, mahindi mabichi vina...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana nilikaribishwa kuungana na familia ya rafiki yangu mmoja kwa ajili ya chakula cha mchana vitu vilivyo andaliwa mezani ni pamoja na sahani iliyokua na vitunguu maji vikiwa vimemenywa na...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Kuna vipimo gani unaweza fanyiwa kwa mtu anayeonekana kuwa na tatizo la nguvu za kiume? Je watu wanaosema wana upungufu wa nguvu za kiume wanapitia vipimo gani kubaini tatizo au ndio ishu ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dk Elineema Meda, amewashauri vijana kupima vinasaba (DNA) kabla ya kuona ili kuepuka kupata watoto wenye ugonjwa wa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wapendwa salaam. Katika maongezi ya kawaida niliwahi msikia mtu akisema kuwa kikawaida shahawa zinapomwagwa ukeni hazitakiwi kushuka/kuchuruzika (kutoka ukeni). Lakini endapo mwanaume...
2 Reactions
27 Replies
74K Views
Ni ipi dawa ambayo inatibu visunzua na nini chanzo cha huu ugonjwa
0 Reactions
22 Replies
18K Views
Umeshawahi kukusanya zile chapati mbili na supu unaanzia kama kifungua kinywa asubuhi Ugali, wali au makande mchana Wali jioni. Ukuvikusanya vyote pamoja utaona mlima wa chakula unao ingia...
18 Reactions
79 Replies
8K Views
Salaam wadau, Nina vijisenti kadhaa nilidunduliza toka mwanzoni mwa mwaka kwa lengo la kuja kufanya checkup ya afya yangu mwishoni mwa mwaka huu. 1)Kwa anayefahamu gharama za kufanya body...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Miongo mingi iliyopita wanaume na wanawake walivaa nguo zinazofanana kwa uundwaji. Yaani yote yalikuwa ni kama blauzi na sketi. Miaka ya baadae yalikuja kutofautiana. Je, kwa ni kwa sababu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za jukwaa, Kwa muda wa wiki mbili sasa nimekuwa nikiliona hili tatizo likinitokea. Mwanzo nilidhani ni kawaida labda kutokana na kufua itaisha siku inayofata lakini hii imekuwa tofauti...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Mke wangu nimjamzito ila anasumbuliwa na kichomi kwenye mbavu kila siku asubuhi akiamka je hii hali inasababishwa na nini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya mda huu! Mimi ni mjasiriamali napatikana Dodoma,pia ni muuzaji wa mbegu wa CHIA SEEDS. Hizi mbegu zinasaidia sana katika afya zetu na zinatumika kuchanganyia kama kwenye uji,juice na n.k...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom