Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wajuzi mnisaidie, huyu mwanamke alitakiwa aingie MP kuanzia tarehe 24/08/2019 lakn mpaka leo hajaingia ila dalili zote anazipata ikiwemo maumivu yale anayoyapataga akiwa period! Wiki iliyopita...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii Nyongo inategemea ntu na ntu, kuna wanaoitoa kwa kutapika wengine kwa kuharisha na wengine huwa hawapati kwabisa. Hivi hii nyongo kisababishi chake ni nini haswa? kwasabu utasikia mlevi...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Mtoto wangu hajaenda choo wiki inakaribia kuisha nachanganyikiwa naomba ushauri
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Unywaji maji kwa wingi unasaidia kuimarisha afya ya ngozi na kuifanya ing’ae, iwe laini na yenye muonekano wa kuvutia zaidi. Zipo faida nyingi zilizozijificha za kunywa maji mengi, kupunguza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu naombeni msaada wa jinsi ya kumsaidia huyu shemeji yangu mdogo wake na mme wa sister kiufupi jamaa alikuwa mzima kabisa tatizo lilimuanza mwaka jana baada ya kuanza kusoma chuo hapo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu demu tunafanya naye kazi ni muda huwa namwona ananitega tega. Leo nmempa lift tumetoka job akasema tupigie sehemu ale kabisa maana anaishi peke yake. Nikaona haina noma...nikampitisha kala...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna jamaa yangu mmoja alioa siku nyingi kama miaka mitano sasa muda wa miaka 3 mitatu hawakujaliwa kuwa na mtoto. Ule mwaka wa nne wamefanikiwa mtoto. Sasa shida imekuja huyu mume kumbe kabla...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hapa nilipo ni mwezi sasa unakatika kila siku lazima nimeze diclopa mbili asubui na jioni laa sivyo nitashindwa hata kuamka kitandani maana maumivu ya kichwa yananisumbua kweli kweli napata mafua...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
DONDOO YA LEO Matatizo mengi ya kiafya huwakumba watu wote. Kuna matatizo mahususi kwa wanaume pekee pia wanawake. Wanaume wamekuwa watu wa kutotilia manani dalili wanazozipata hivyo kushindwa...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Wanajamvi Mungu ni Mkuu bado twapumua; Kama nilivyotangulia kudokeza hapo juu,nikwamba nimekuwa nikipata shida sana (maumivu) nikimeza kitu chochote . Eneo la kidaka tonge! Ni kwa siku mbili...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Leo nimeenda hospital na Nimeona kuwa nina vidonda vya tumbo. Lakini nimenunua dawa, nikatumia sawa sawa tu. Na sasa nimegundua ime expire! Nina wasi wasi sana, Nifanye nini?
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Hello wadau wa JF nawasalimu Wadau Nina ndugu yangu na ni rafiki wa karibu kabisa yeye anaumri wa takribani miaka 37 hivi ,anashida ya kuto kusimamisha vizuri yani machine ikisimama tu mpaka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka. Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Mzunguko wa tendo zima la ndoa huwa umegawanyika katika nadharia kuu nne ambazo kwa lugha ya kiingreza huitwa excitement (kusisimka),plateu,orgasim (kilele) na resolution (kurudi katika hali ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
habarini wana JF, ni muda mwingi nimekaa hapa nakusoma maswali mengi humu, mimi leo napenda kuandika au kuelimisha watz wenzangu kidogo kuhushu kiasi fulani moyo na nini cha kufanya kinapokutokea...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Habarini wana jamvi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, jana usiku majira ya saa mbili nilipita mgahawani kwa ajili ya kupata meal. Nilipata chakula freshi tu kama ambavyo imekuwa...
3 Reactions
42 Replies
8K Views
Habarini za wakati huu.. Mm ni fundi viatu aina ya culters (maasai shoes) kazi zetu zina tegemea matumizi makubwa sana ya gundi . Naombeni ushauri kwa anae jua madhara ya kiafya ya hii arufu ya gundi
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimemgegeda mwanamke mmoja nikiwa nimevaa kondomu sasa wakati nimepiga bao nachomoa dushe hili nibadili nivae nyingine nikakuta kondomu imesogea mbele yaani nusu ya dushe ilikuwa wazi na wakati...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habar wakuu, Naombani mnisaidie tatizo langu, skuizi za karibuni nmekuwa na mhemko mkubwa sana wa kuwa na hamu ya kufanya ngono napatwa na hisia kali sana mpaka nashindwa kujizuia na isitoshe sina...
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Back
Top Bottom