Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mmea wa bangi una matumizi mengi ya matibabu, ujenzi, kutengenezea dizeli oganiki na pia hufumwa nyuzi zinazotumika katika ushonaji. Utafiti kuhusu mbangi unaendelea kufumbua matumizi mengine...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habari wakuu Jana niliweka uzi hapa nikiomba msaada wa tatizo langu la kupata vichomichomi mwilini joto la mwili linapopanda,asante kwa waliotoa mawazo yao Baada ya kuzama mtandaoni na kugoogle...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wandugu.. Kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na kichefu chefu na kutapika na kinaanza asubuh tu akiamka akisha jisaidia hajakubwa mambo yanaharibika.. Amepima vipimo vingi vya damu hakuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina mgonjwa amepatwa na tatizo la kupooza mwili lakini hospital moja ya mkoa wanampatia dawa za maumivu tu anarudishwa nyumbani. Je kuna namna tofauti ya kushughulikia tatizo hili au hospital...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Waungwana kwema? Ni kweli vidonge hivi Ni kwaajil ya kuleta hamu ya kula? Mimekuta kwenye mkoba wa mke wangu,ananiambia Ni vya kuongezeka hamu ya kula, na siku hizi amenenepa amekuwa na shepu...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili kwa muda mrefu nimeenda hospital naaishiwa kupewa dawa tu bila mafanikio, nimekuwa natokwa na vipele vidogo dogo mwilini vinyavyokaa kwa muda na kaacha makovu...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Nili lala namwanamke(tukingonoka) usiku mzima,lakini cha kushangaza naamka asubuhi nakuta kuna ki uvimbe juu ya korodani kama kagololi hivi,je nini tatizo hapo ma dactar?
1 Reactions
4 Replies
737 Views
Habari wataalam. Bibie ni mjamzito wa takribani wiki saba sasa. Alikua anajisikia homa na mafua. Baada ya kufika kituo cha afya vipimo vimeonyesha hana tatizo lolote ila hiyo protini. Naomba...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Wanasayansi kutoka Marekani na Ujerumani wamesema chini ya kipindi cha miaka 3, wataanza kutumia Moyo wa Nguruwe kuokoa maisha ya binadamu ambao wanahitaji moyo ili kuishi. Majaribio ya...
14 Reactions
99 Replies
10K Views
Habari wakuu Ushauri wenu tafadhali, hii imekuwa ikinitokea kama mara yatatu mfululizo lakini leo saa nne asubuhi nimepitiwa usingizi kidogo kitandani nimejikuta naanza kuota vitu vya kutisha na...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Habarin wapendwa! Usiku huu nimen'gatwa na mbwia nkiwa napita mitaa flani hivi. Naomba kwa anayejua huduma ya kwanza aniambie. Na je kuna njia mbadala ya kufanya pasipo kwenda hospital...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Habarini wapendwa,nmekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya tumbo chini ya ubavu upande wa kulia nmeenda hospitali kadhaa nimepigwa ultra sound lakn wanasema hamna kitu,huwa naishiwa kupewa dawa...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/32525124 Samahani mwenye huu uzi tunaomba mrejesho plz
1 Reactions
6 Replies
760 Views
Vitu usivyoweza kuviepuka katika magonjwa ya moyo ni Umri, Vinasaba, Jinsia na Asili yako Vitu vinavyoepukika ni; Uzito wa mwili, aina ya chakula unachokula, Mazoezi ya mwili Uvutaji wa sigara...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu,Mimi ni mwanaume umri miaka 22. Kilichonifanya niandike hapa ni kuhusu tatizo nililonalo linalonisumbua. Mimi ni mnene na kilo 75 na urefu 160cm. Shida inakuja nauchukia mwili wangu...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu salamu ziwafikie Kwanza nianze kutoa shukurani kwa Mungu muumba aliyetujalia uwezo wa kuiona leo wapo wengi waliotamani kuiona leo lakini kwa mapenzi ya Mungu wametangulia mbele za haki...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Siku za hivi karibun kumekuwa na ongezeko la wagonjwa wengi wa figo.Wataalamu na Madaktari tunaomba mtuambie ni wapi tunakosea ili tuweze kuepukana na hili tatizo au kuna nn kilichojificha nyuma...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
AFRICAN BEE PRODUCTS ENTERPRISE - MOROGORO 0763-672575 ASALI BORA YA ASILI FAHAMU FAIDA ZA ASALI NA JINSI YA KUITUMIA KWA AJILI YA KUIMARISHA AFYA YAKO NA MWILI WAKO. S/N FAIDA MATUMIZI 1...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Mtoto wako anaweza kugeuka kutoka kichwa kuwa upande wa juu na akageuka -hadi nafasi ya kichwa kuwa chini kuelekea kinena (heads-up to a heads-down position) na kurejea tena kama alivyokuwa kwa...
3 Reactions
0 Replies
4K Views
Habarini wataalam. Kuna mama mmoja anaujauzito wa miezi 8, anatarajia kujifungua dec 2011, tarehe za katikati. Tarehe 25 ya mwezi november alienda clinic kupima maendeleo ya mimba, alipopima...
1 Reactions
18 Replies
134K Views
Back
Top Bottom