Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habr za asubuhi... Samahan mimi ningependa kujua kuhusu gental herpes... Nina boyfriend wang anahic anatatizo hilo lakn kwa upande wang cjwah ona hiyo kitu wala dalili yyt .. Je kuna uwezekan wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaamu ndugu. Poleni na mihangaiko ya kila mara. Binafsi siumwi, ila rafiki yangu anaumwa sana kama nitakavyoelezea hapa chini. NOTE; Pamoja na kuumwa kwake huku kama hajakwambia huwezi jua...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
asaalam wana jamii. nina dada yake na rafiki yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu kidogo. anavyotuambia mwili wake mzima unakuwa kama unaungua moto, hasa miguu mpaka sehemu za siri na makalio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MAHITAJI: Nyanya inaupatia mwili wetu faida zifuatazo.• Vitamin C, A na K • Pottasium • Manganese • Ufumwele • Cromium • Vitamini B1 na B6 • Chuma • Kopa • Vitamin B2 na B3 • Magnesium • Folate...
2 Reactions
8 Replies
23K Views
Chanzo chake ni nini? Na mwanamke akipata shida hiyo anatakiwa afuate taratibu zipi? Na kupata ujauzito mwingine ni muda gani umependekezwa kitaalamu upite? Naomba majibu madaktar na wataalam wengine
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Salaam watu wa hapa Nina mtoto wangu wa kike ana miaka 6 ,mwezi wa kama sokosei wa 2 aling'oka meno ya mbele upande wa juu na chini Sasa ya chini yameshaota ila ya juu Yale makubwa mawili hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja sasa ni miezi nane yapita tangu mimi na mwenzi wangu tuanze kutafuta mtoto , katika kuhangaika kuna mtu akamshauri atumie mbegu za nyonyo akatumia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kujua ni aina ipi ya sukari isiyo na madhara mwilini 1. Sukari iliyochemshwa kwenye chai ikachemka sana, 2. Sukari nyeupee iliyo korogwa kwenye chai papo hapo na ikanyweka, 3...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Habari za jioni wakuu. Natumaini mmeitumikia vizuri wiki hii na sasa tubaelekea wikiendi.. Nina ndugu yangu tumelelewa wote tangu watoto na sasa tumekua na kujitegemea kabisa lakini ndugu yangu...
0 Reactions
3 Replies
588 Views
Nimewahi kusikia kuwa ntulantu ni dawa japo sina uhakika, naomba kufahamu kama kweli ni dawa na kama ni dawa je inatibu ugonjwa gani/kitu gani na matumizi yake yapoje? Siifahamu kwa jina lingine.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hello Jf Members nawasalimu nyote,Ninatatizo la maumivu makali sana ya mgongo wakati wa usiku na kushindwa kulala wala kukaa ,haya maumivu yakianza ni shida na Mara nyingi huanza usiku kama saa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimepatwa na tatizo. Kwa kifupi najitahidi sana kuwa msafi ila sikua najua kunguni wanafanana vipi mpaka baada ya kuwaona kwa jamaa angu mmoja ambae nilishukia kwake. Baada ya kumwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari ya weekend
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu salaam, Naomba kuelimishwa kuhusu hili tatizo la Chango kwa wanaume. Nikimanisha sababu, dalili, madhara yake na ikibidi Tiba yake.
0 Reactions
7 Replies
44K Views
Habari za muda huu wakuu wa Jf , Leo asubuh saa 12 wakati naamka ghafla niliona damu zinanitoka puani nilichokifanya nikanawa uso then nikafanya kama vile napenga makamasi halafu nikarudi kulala...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarii ya Muda huu wakuuu, Kilichonifanya niandike uzi huu ni mkasa huu ulionikuta, Juzi kati nilienda hospitali kupima baada ya kujisikia vibaya wakaniambia nina Malaria wakanipa dawa inatwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF Naomba kuuliza kwenu kama kuna mtu anafahamu vyakula vinavyoboresha akili ya mtu. Nimewahi kusikia kuwa vitunguu thaumu ni moja ya vyakula hivyo lakini aliyeniambia alionyesha...
0 Reactions
117 Replies
50K Views
Habari za sahizi wanajamvi, Naombeni msaada wa kunijuza ninasumbuliwa na ugonjwa gani nina muda wa mwezi sasa nimekuwa nikipata maumivu ya kiuno, kuchoka kwa mwili lakini pia hali imendelea kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cranberries are small acidic berries which grow on evergreen shrubs that are native to North America. They were first harvested by Native Americans and later by the Europeans. The Latin name of...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
bofya link >https://benjavibe.com/2019/08/13/learn-how-to-get-a-male-baby-or-female-baby/
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom