Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

ntakuwa nikielemisha kuhusiana na kiharusi . mimi ni daktari wa fiziotherapia
1 Reactions
2 Replies
956 Views
Hello Dr mwenyew anaejua iyo dawa inakopatikana#au anayo plz nambie
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nasumbuliwa maumivu ya kichwa kwa muda wa mwezi huu sasa pamoja na maeneo ya shingo.
1 Reactions
4 Replies
961 Views
Mara nyingi ni kawaida kukutana na wana jeshi wastaafu wakiwa 90+ na bado wanaendesha maisha yao ya kila siku bila msaada wa mtu. Yale mazoezi wanayoyapata jeshini yanawasaidia sana kuimarisha...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Lemon Lemon is a great medicine --------------------------------------- If the lemon lemon went into the face by mistake, you have thrown it away. If you know the quality of lemon cough, you will...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefanyiwa operation ya Hernia,je nn cha kuzingatia ktk chakula na mambo yote kwa ujumla ili kufikia uponyaji ulio kamilika
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello guys. Naomba Ushauri au tiba ya maumivu ya kiuno. Nimekuwa nikipata maumivu kiunoni for almost a month now Kila nikikaa chini kiuno kinauma sana. Sijafanikiwa kupata mtoto sasa nashangaa...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Naombeni msaada wenu tafadhali nina tatzo la kuziba PUA mara kwa mara kutokana na kuwa na mafua mepesi hii hutokea wakati wa BARIDI na nikinywa MAJI YA BARIDI SANA , ni kwa muda mrefu na PIA nina...
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Ni zipi faida kama nikichanganya unga wa mdalasini na asali halaf nikalamba mchanganyiko huo?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nawashwa kweli kwenye mapaja arafu kuna michubuko kunatoa harufu mbaya sana hadi kero tatizo litakuwa ni nini
0 Reactions
5 Replies
869 Views
Ni takribani mwezi mmoja na nusu tangu Aunt yangu azidiwe na ugonjwa wa Kisukari. Hali ilianza kuwa mbaya alivyopata kidonda mguuni (maeneo ya kifundo cha mguu), kidonda hicho kilianza kama...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
https://www.dailymail.co.uk/news/article-3209959/amp/Mandy-Allwood-world-famous-announced-expecting-octuplets-lost-says-feel-babies-kicking-inside-day.html Kwa mara ya kwanza kufahamu habari ya...
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Hii huwa inanitokea mara kwa mara kwa muda mrefu tuu,madaktari naomba uzoefu wenu yaani kila funda moja la kinywaji cha tangawizi napiga Kwikwi....
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapana, hapana, hapana. Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu. Taarifa za...
19 Reactions
97 Replies
13K Views
Habari wana JF, Naomba kuuliza hivi Metronidazole Tablets zinaweza kusababisha vidonda vya tumbo??
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Jamani habarini za muda huu, tatizo la wanaume wengi kukumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kushindwa kurudia katika tendo la ndoa limekuwa miongoni mwa matatizo makubwa karibia dunia...
0 Reactions
61 Replies
14K Views
MARADHI YANAYOMSIBU BINA ADAMU NA TIBA YAKE A. MATATIZO YA MZIO (ALLERGY). MATATIZO mengi kuhusu maradhi katika mfumo wa kupumua hutokana na hisia kali sana dhidi ya baadhi ya vitu.Vitu hivi...
7 Reactions
112 Replies
257K Views
Hayaa mwenyew anaejua inakopatikana plz sema
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naweza kuishi bacteria wa tetenus kwa miaka miwili.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom