Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za wakati huu wanajukwaa! Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi, katika siku za karibuni nimekuwa nikishuhudia ongezeko la idadi ya watoto mapacha kuzaliwa na hili ni kwa watu...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Wadau, Mimi naomba mniambie kama nina kibamia ama sina maana uume wangu ukisimama urefu upo sawa na urefu wa peni ya Obama japo naizid kidogo sana na unene ni inchi 4 kamili. Je, hiki ni kibamia...
2 Reactions
62 Replies
50K Views
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari zenu wote wana jamii. Mara nyingi umewahi kusikia wanawake wakichukia kwamba wenza wao wamekuwa wakipatwa na usingizi mara wamalizapo tendo la ndoa. Kama ujasikia hali ya kuwa wewe ni...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Kitaalam wanasema kuwa kuacha magonjwa za zinaa au fungus, Uchafu ambayo huleta harufu mbaya kwenye uke , huwa kuna harufu ya asili ambayo hutoka kwenye uke hata uwe msafi vipi huwa ipo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Siku chache zilizopita nilipewa asali lita tano kama zawadi. Baada ya kugawa baadhi kwa jirani zangu nikabakiwa na lita ka 3. Niko pekeangu so nikawaza ntawezaje kuitumia hii asali iishe...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Metformin has been found to help reduce glucose production in the liver, which is a problem in type 1 diabetes. Two, people often form resistance to the insulin they take, and metformin can help...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba msaada kqa anayefahamu dawa ya kitabibu na yenye kipimo sahihi itakayonisaidia kupunguza mafuta mwilini. Wasalaam.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ushauri wenu tafadhali, kwa anayejua.
0 Reactions
58 Replies
27K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wataalam naomba mnielekeze kama kuna njia yeyote ile ambayo inaweza ikatumika kwa mwanamke ili aweze kubeba uja uzito wa mapacha! Napenda ziwe njia za asili...
1 Reactions
26 Replies
44K Views
Salaam Naomba mnisaidie wataalam kama kuna chombo au njia rahisi inaweza kutumiwa kuona vein mapema..Nilikuwa na mtoto wangu hospitali anaumwa kila madaktari wakijitahidi wamuekee maji...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu nna mtoto Leo siku 4 hajapata choo ,nlimuona daktari akanambia n kawaida ila nna wasi wasi ,naomben msaada wa kitabibu kwenu madaktari hii hali inasababishwa na nn...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar.Sijui ni uti sugu.Msaada tafadhali ..Ninapokunywa maji mengi huwa maumivu hayasikiki mpka napomaliza .
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau mwenye ufahamu kwenye hili tatizo,nakoroma sana nikilala na hali hii siipendi sinywi pombe,siyo mnene,ila tatizo linanitesa kuna dawa au njia yoyote kupunguza tatizo hili pls nipo serious
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Mimi ni kijana tu ila nasumbuliwa na maumivu ya mgongo,, maumivu haya hutokea pale ambapo nimekaa mda mrefu kwenye kiti (3hrs+) pia pale ambapo nimesimama mda mrefu (1hr+) kiasi kwamba ukitoka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni wapendwa nasumbuliwa na mapele kichwani na kwenye ndevu,hivyo nilikuwa naulizia kama kuna mtu mwenye ufahamu wa dawa nzuri ambayo inaweza saidia.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
JF members samahani naomba kuelewa nna ndugu yangu ana ugonjwa wa ngoz lakin nimezunguka hospitali kadhaa nikapewa baadhi ya dawa ila zote ni kama zina tuliza tu na baadae ugonjw unarudia hadi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nchini kenya kuna taharuki ya hatari sana make ndani ya mwezi mmoja hivi na wamepoteza viongozi watatu.kwanza ni CEO wa Safaricom then Mbunge na sasa Gavana. Wanamjadala mkubwa sana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana Jf Doctor, kama kichwa cha habari kinavoeleza naombeni kujua sababu zinazosababisha joto la mwili kupungua maana joto langu la mwili limepungua wakati mwingine jioni mikono yangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom