Mnamo mwezi wa 6 mwishoni nilitumia dawa ya kusafishia kinywa mouth wash menthly peroxide!! Ni ilie tu nimeweka kinywani misuli ya kinywa katikati ya meno ikaanza kukakamaa! Meno na fizi misuli...
Nina bibi yangu ana umri wa miaka 85 sasa hivi, ana matatizo ya mifupa kwani kile kimiminika kati ya mifupa (yaani viungio vya mifupa) imekwisha hivyo mifupa yake ya miguu inasagika kwa msuguano...
Habari
Natumaini wazima wote,na mnendelea na mapunziko weekend....
Rafiki yangu wa kike ... Anashida ya kutokwa damu kwenye kitovu .tatizo hili lina muda hivi sasa linamiaka mitatu hivi damu...
Habari zenu wanajamii?
Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Tatizo langu sijielewi afya yangu kwa sasa kutokana na sababu nitakazozieleza na ningeomba msaada wa kiushauri.
1. Sina hamu na kufanya...
Nimeona dalili ya gono (usaha katika uume wakati wa asubuhi.
Nimemuonesha mke wangu ambaye ametoka kujifungua wiki tatu zilizo pita kanijibu kuwa yaweza kuwa gono na akaniuliza kuwa alipoondoka...
Habari wakuu,
Nawashirikisha tatizo langu, nawaomba ushauri wenu nimejigundua makende yangu yanapotea nikikagua kama moja inajisaga saga na nyingine inazidi kuwa ndogo lakini sina maumivu yoyote...
Nasikiaga tu wicket, mara run...
Pia naonaga mtu akirusha tenis mwingine anaudaka mwingine anakimbia yaani sielewi kabisa. Afu mashabiki kibao.
Mwenye uelewa anisaidie
Habari wakuu, Nina rafiki yangu ambaye ni mjamzito wa miezi Kama minne saivi leo anasema ametoka damu sana puani mfululizo na nyingine pia Kutoka kwa njia ya mdomoni kidogo Msaada kwa watalamu nn...
Hivi huu ugonjwa unatokana na kufanya mapenzi tu hakuna njia nyengine inayo sababisha huu ugonjwa
Mdogo wangu wa kiume umri 13 kaupata huu ugonjwa yani hata sex ajui.
Nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana siku hizi! waganga nao sasa hasa wa mjini wanatumia mwanya huo kuibia watu kwa kuchanganya madude madude na Viagra! Pia wale watu wa mikoani wanapata shida...
Wakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu...
wakubwa na wadogo habari zenu kuna jambo linanitatiza naombeni msaada wenu kama mtu figo zake zimeharibika anaitaji figo ata moja. akamilishe matibabu yake unapomtolea tatizo litakua nini kwa...
Habari wakuu, mke wangu mzunguko wake hubadilika kila mwezi,, hapa nimechukua miezi kadhaa, Nov 2017=32, Dec 2017=25, Jan 2018 =27, febr2018=26, March =27,, na mwezi huu kaingia kwenye siku zake...
Wakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu...
Kuna rafiki yangu juzi juzi alinipa dawa asili ya mti ni vumbi toka Kongo akaniambia nikifa faragha na mwenza wangu nichukue kidogo afu napaka na mate kwenye kichwa cha dushelele alafu naendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.